Je, hii ndio asili ya mtu mweusi?

Je, hii ndio asili ya mtu mweusi?

Ardh ipi mbona israel anawaua palestina kwa mgogoro wa ardhi mpaka leo
Ardhi ya canaan yaani mashariki ya kati eneo iliopo palestina Jordan lebanon na syria za leo ndio kuendana na biblia Mungu alimuamuru abraham akakae hapo baada ya kuwa ameraruana na mfalme Nimrud

Kibiblia wayahudi wanadai walipewa lile eneo ila kidunia dunia walipoondoka walikuja kukaa waarabu na wavamizi wengine hivyo kupata suluhu ni ngumu kidogo ndio maana wanapigana

However kama waisraeli wataona wapalestina nao wana haki ya kukaa hapo wangekubaliana iwe nchi moja tu maybe yenye majimbo mawili ili kila mmoja ajitawale kivyake waishi kwa amani ila kuendelea kung'ang'ania ardhi bila kuafikiana ndio inapelekea mauaji
 
Watoto wa Nuhu inawezekana wote walikuwa weupe ila wake waliooa wana influence kwenye kuamua rangi ya uzao wao

Mfano Ham inawezekana alikuwa mweupe kma shem na japhet ila kwakuwa alioa mwanamke mweusi ndio maana uzao wake ukawa wa watu weusi yaani libya ethiopia na misri!!!

Kma Ham naye alikuwa mweusi inamaana either nuhu au mkewe mmoja alikuwa mweusi!! Ingawa haina mashiko sababu koo za shem na japhet sjjaona kabila hata moja la watu weusi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa
hao wake weusi walitoka wapi wakati baada ya gharika familia iliyobaki duniani ilikuwa ni moja tu ya nuhu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa
hao wake weusi walitoka wapi wakati baada ya gharika familia iliyobaki duniani ilikuwa ni moja tu ya nuhu
Mkuu baada ya gharika walikuwa watu 8 ila SIO wa familia moja sababu watoto wa Nuhu walioa mabinti wa kutoka FAMILIA nyingine hivyo kuna uwezekano hao mabinti mmoja wao ALIKUWA MWEUSI

Na ndio maana hoja ya kusema mke wa Ham alikuwa mweusi inaanzia hapa.... Kumbuka nuhu hakuwa na watoto 3 pekee bali alikuwa na watoto wengi ila kuna wengine hawakufuata misimamo yake na walifia milimani
 
Ok, I'm back and your points are well-taken.

Now let me hark back to one of your phrases here [excuse me if I don't get it verbatim but I think you'll know what I'm trying to say. You can correct me, no problem].

'You don't need to know the answer but you know the square root of 2 is not 3' or something like that. Right?

I don't claim to be the sharpest tool in the shed but if you come to me with stories of what happened to humans hundreds of thousands or millions of years ago, come on man!

I think I will have the right to be skeptical. And that is because I think it's not humanly possible to know with any degree of certitude what actually happened back then.

That's why I also said those so called scientific findings/ studies or whatever they call them are also conjecture.

Just look at the language used in the article you that you brought.

Here are a few examples.

"While the dark skin of some Pacific Islanders can be traced to Africa, gene variants from Eurasia also seem to have made their way back to Africa."

"Researchers agree that our early australopithecine ancestors in Africa probably had light skin beneath hairy pelts."

"Until recently, researchers assumed that after human ancestors shed most body hair, sometime before 2 million years ago, they quickly evolved dark skin for protection from skin cancer and other harmful effects of UV radiation."


"Previous research on skin-color genes fit that picture. For example, a “depigmentation gene” called SLC24A5 linked to pale skin swept through European populations in the past 6000 years. But Tishkoff ’s team found that the story of skin color evolution isn’t so black and white."

The most dramatic discovery concerned a gene known as MFSD12. Two mutations that decrease expression of this gene were found in high frequencies in people with the darkest skin. These variants arose about a half-million years ago, suggesting that human ancestors before that time may have had moderately dark skin, rather than the deep black hue created today by these mutations.

If that is not conjecture then tell me what conjecture is!

I love science. I love it because of what its all about. Therefore I appreciate it a whole lot. But come on man. Some of the things propagated in its name just don't make sense to me.

Stuff that happened millions of years ago!! Really?

1. As I mentioned before, thee is nothing sure in this world. Some people went as far as saying the universe does not exist, it is a hologram The Holographic Universe - Simulation Hypothesis - Crystalinks

2. I respect anyone employing cautious language that leaves room for discussion, dissent, improvement over anyone who says "God did it, and that is final, anything else is blasphemy". The parts you highlighted in red are the strengths of science, not the weakness.The humility to say "we think", "we believe", "it seems", is the precise reason that you cannot fault these people for pretending they know what they are talking about beyond any degree of doubt.

3. You can improve science by contributing to the discussion and publishing papers in a way that you can't do in arguably most areas of life. If you have ground breaking evidence that currently accepted science is wrong - say, if you can prove Einstein's Relativity is wrong or inaccurate and you know why, science will embrace and celebrate you in a way that religion and politics will not.

4. People used to think that we will never know what stars are made of, because they are so far away. Then came spectrometers and spectronomy.

How do we know what stars like our Sun are made of?

I certainly doubt some Anthropologists who would look at one piece of a broken tooth of someone who was supposed to live a milion years ago, and tell us what the diet was, tools used, even the smell of the fart in the morning!

But that does not mean people cannot study genes and work their way backwards to reasonably, with a lot of caveats and context, deduce things.

After all, if you don't want caveats, context and framework, you can't even prove that you exist.

I don't have a problem with extraordinary claims.

I have a problem with extraordinary claims that do not have extraordinary evidence.

The Sagan standard is so important.
 
Jesus just ni jina kutoka uingereza na hatujui wanamaana gani na walilipataje?

Sisi kwetu ikaja wanaita yesu sijui walilipatapataje na kutikana na nini?

Je kwa nini jina lake halisi aloitwa baada ya kuzaliwa halitumiki?

Na amezaliwa wakati mafremansoni wapo ninamashaka hata haya majina yametokana na Freemason huwa napatwa ukakasi na bado haujatoka

Kwa hiyo matumizi ya biblia huwa ninakuwa na tahadhari kubwa

Kwa wale watumiao maandiko natamani wawe na tahadhari kuyatumia maana kuna maswali mengi humo
Kwani ni lazima uandike Mkuu?.mbona unaandika vitu ambavyo hata wew hujui unaandika nn?.soma ulichoandika halafu oanisha na mada utaamini ninachokwambia,usipoamin utashangaa!!.
 
Mkuu baada ya gharika walikuwa watu 8 ila SIO wa familia moja sababu watoto wa Nuhu walioa mabinti wa kutoka FAMILIA nyingine hivyo kuna uwezekano hao mabinti mmoja wao ALIKUWA MWEUSI

Na ndio maana hoja ya kusema mke wa Ham alikuwa mweusi inaanzia hapa.... Kumbuka nuhu hakuwa na watoto 3 pekee bali alikuwa na watoto wengi ila kuna wengine hawakufuata misimamo yake na walifia milimani
Point tunarudi pale pale hao wake weusi walitoka wapi????
 
Wazazi wa Cain walikuwa weupe au weusi hebu tueleweshane
Haaahahahaha mkuu naona umenibana hadi kwenye kona...... Naamini alikuwa mweupe sababu uzao wa adam hadi Seth na mjukuu wake yaani noah alizaa watoto weupe shem na japhet hivyo its impossible adam alikuwa mweusi sababu hta nuhu angezaa watoto weuse

Ila nasema Cain ni mweusi sababu vitabu vingi vya historia vina husianisha alama aliowekewa na a Mungu kuwa ndio ilikuwa ngozi NYEUSI

Hata ukisoma book of jasher ambacho GENESIS imetoholewa humo, utaona mwanae alieitwa lamech alimpiga mshale CAIN sababu alidhani ni mnyama!!!!

So conclusion angu ni kwamba Wazazi wa CAIN si weusi ila CAIN alikuwa mweusi baada ya laana!!!
 
Mkuu zitto junior
nasikitika kuwa biblia inakuacha njia panda unapojitazama na kujiona kuwa mweusi wakati kichwani una wazo kuwa wazazi wetu wa kwanza walikuwa weupe!

Ni kweli kwamba watu wa kwanza kuumbwa walikuwa wawili tu, mwanaume na mwanamke walioitwa Adamu na Eva. Na ukweli wa jambo hilo unathibitishwa kwanza katika biblia hasa katika kitabu cha mwanzo ile sura ya 1:27-28a. Inasomeka hivi,
“Mungu akaumba mtu kwa mfano wa Mungu alimwumba mwanaume na mwanamke”

Katika Agano Jipya Bwana wetu Yesu Kristo kusisitiza kuwa walioumbwa kwanza ni watu wawili tu yaani Adamu na Eva, alisema hivi,
“Hamkusoma ya kuwa yeye aliyeumba mwanzo, aliwaumba mume na mke?” mwisho wa kunukuu. Mt 19:4.

Ushahidi mwingine ni wa kuenea kwa dhambi ya asili, dhambi ambayo walioifanya walikuwa wazazi wetu wa kwanza yaani Adamu na Eva. Dhambi hiyo imeenea kwa kila binadamu wote. Ndiyo kusema, kama Mungu angekuwa ameumba watu zaidi ya Adamu na Eva, wenye kuambukizwa dhambi hiyo wangekuwa ni wale tu wa uzao wa Adamu na Eva.

Uthibitisho mwingine wa kwamba hapo mwanzo Mungu aliumba watu wawili tu yaani Adamu na Eva na kutokana na hao wawili sisi tumepatikana (yaani binadamu wote) ni jina letu. Watu wote duniani wanaitwa binadamu. Maana yake bin-Adamu, hakuna anayeitwa binjiwe. Hiyo ni ishara wazi kwamba watu wote shina lao ni Moja tu yaani Adamu na Eva kama baba na mama yao.

Hizo ni baadhi tu ya thibitisho la imani yako kuwa hapo mwanzo Mungu aliumba kwanza watu wawili tu, Adamu na Eva na kutokana na hao, binadamu wote wamepata kuwepo duniani. Hivyo hilo unaloamini ndilo unalopaswa kulishika na kuwaambia wengine.

Katika swali linauliza kuwa hao Adamu na Eva ndiyo wazazi wa wayahudi na hao Adamu na Eva walikuwa weupe kama walivyo wayahudi, je sisi kama binadamu, yaani wa uzao wa Adamu hivyo mbona tu weusi? Sasa huo weusi tumeupata wapi? Kabla ya kukupa jibu la swali lako, naomba kwanza nikuweke sawa kwa jambo hili,
Ni kweli kuwa wayahudi ni weupe kama ulivyosema katika swali lako na ni kweli kuwa wayahudi wametokana na Adamu na Eva kwa sababu wayahudi ni watu na watu wote wametokana na Adamu na Eva hivyo lazima Adamu na Eva wawe ndiyo asili ya wayahudi, kama ilivyo kwa binadamu wengine kama vile wazungu, waasia, wachina waafrika n.k.
Lakini naomba nikuondoe hisia kwamba Adamu na Eva walikuwa weupe kama wayahudi. Najua utashtuka sana kwa maneno hayo, lakini baada ya muda si mrefu utanielewa ninachotaka kukuambia.

Ni hivi Biblia haisemi lolote juu ya rangi waliyokuwa nayo Adamu na Eva kama vile ambavyo haisemi kuwa watu hao wa kwanza walikuwa wafupi au warefu, wanene au wembamba. Na kama haisemi na leo hii sisi tunawaona waiskimo, watu walio wafupi kabisa duniani –wao wametoka wapi? Au tunawaona watu warefu kama waingereza –na wao wametoka wapi. Au tunawaona wachina watu wanene kama baadhi ya wachina-wao wametoka wapi. Leo hii tunawaona watu wembamba kama waingereza hata tukawaita English figure wao nao wametoka wapi. Ninachotaka kusema hapa ni kwamba, kama vile ambavyo hatujui kama Adamu na Eva walikuwa warefu au wafupi, wanene au wembamba ndivyo ambavyo hatuwezi kusema kwa uwazi kuwa Adamu na Eva walikuwa weupe kama walivyo wayahudi.

Inafaa tufahamu kwamba, wayahudi –ni kweli kuwa ni weupe, lakini wayahudi kama taifa lisihesabiwe kuwa ndilo uzao wa moja kwa moja wa Adamu na Eva na hivyo tukitaka kujua rangi ya Adamu na Eva basi tuwatazame wayahudi, la hasha! Kwa taarifa tu, taifa la wayahudi lilianza kupata historia yake baada ya mwito wa Abrahamu ambaye aliishi miaka zaidi ya maelfu baada ya kuumbwa kwa Adamu na Eva. Hilo urejee Mwanzo. 5-12. ninachotaka kusema hapa ni kwamba, baada ya Adamu na Eva hadi kipindi cha Noah yaani kipindi cha gharika kuu iliyoangamiza watu wote duniani, kulikuwa na watu wengi sana duniani kwani tayari ilikwishapita miaka zaidi ya elfu mbili. Tena baada ya gharika kuu iliyomnusuru Noah tu na wana hadi Abraham ambaye wayahudi wanamhesabu kama ndiye babu yao aliyechaguliwa miongoni mwa mataifa mengi, ilipita miaka zaidi ya elfu moja na hivyo kulikuwa na watu wengi duniani wakiwemo weusi-kama kwani wakati huo bara la Afrika lilikuwapo.

Kuthibitisha kuwa wakati huo, yaani kabla ya kuitwa kwa Abrahamu tayari dunia ilikuwa na watu wa rangi mabalimbali, kutajwa kwa majina ya watoto wa Hamu ambaye alikuwa mmoja kati aya watoto wa Noah. Watoto hao ni Misri na Kushi. Kumbe Misri ni sehemu ya Afrika hali kadhalika Kushi ni eneo la Ethiopia ya sasa ambako watu wake ni weusi. Rejea Mwanz. 10:6. Hapo zamani majina ya watu ndiyo pia yalikuwa yanachukua majina ya mahali. Miaka mingi baadaye ndipo Abrahamu ambaye alitokana na ukoo wa Shemu aliyekuwa mmoja wa wana wa Noah alipopata kuwapo. Rejea Mwanzo. 11:10-31.
Kuhusu Agano kati ya Mungu na Abrahamu rejea kitabu cha Mwanzo 17:1-24.

Mpaka hapa bado sijakupa jibu la swali lako la kuwa wewe au watu weusi wametoka wapi. Kama umenifuata vizuri wewe mwenyewe unaweza kubaini kwamba watu wa rangi zote wametokana na Adamu na Eva kama vile ambavyo watu wa maumbile mbalimbali wametokana na wazazi hao wawili. Sasa, walikujaje? Hapa sasa uniruhusu nikupe hoja za kisayansi. Lakini kabla ya kukupa hoja hiyo naomba ukubali kwamba kama vile ambavyo biblia haisemi kuwa mtu wa kwanza alikuwa wa rangi gani, nami nakuambia kuwa inawezekana mtu wa kwanza yaani Adamu na Eva si lazima kuwa walikuwa weupe na inawezekana wazazi hao walikuwa weusi kuliko weupe kama wanavyodhani watu wengi na wewe pia. Nasema walikuwa weusi kwa sababu, kinachofanya watu watofautiane katika rangi ni mazingira. Watu wengi wanaoishi katika ukanda wa Ikweta ni weusi kwani sehemu hiyo ina jua kali sana, hivyo rangi hiyo nyeusi ni muhimu katika kuwalinda watu hao dhidi ya magonjwa ya ngozi kama kansa yanayotokana na mionzi ya jua.

Weusi huo hutaokana na muunganiko wa chembechembe hai iitwayo melanini iliyopo katika vishina vya vinyoleo ambavyo huwa ni vyeusi. Lakini kadiri watu wanavyoishi mbali na ukanda wa Ikweta ambako jua hupungua makali yake, melanini pia hupungua na hata kutoweka kabisa na hivyo mtu aishiye maeneo hayo yenye jua hafifu huwa mweupe kwa sababu ya kukosa chembechembe hizo kwa sababu hawazihitaji katika mazingira yale ya jua hafifu. Ndiyo maana watu wanaoishi Kongo katika Afrika ni weusi zaidi kuliko wale wanaoishi Afrika kusini na Afrika ya Kaskazini ambako makali ya jua yamepungua. Au ukienda India, wahindi wanaoishi upande wa kusini si weupe kama wale wa Kaskazini, wao ni wekundu au weusi kabisa kwa sababu upande huo umepitiwa na Ikweta hivyo kuna joto na jua kali. Au ukienda Amerika ya kusini kama vile Brazil. Watu wa kule wengi ni weusi sababu si tu kwamba weusi hao walitoka Afrika kipindi kile cha utumwa, la hasha! Historia inatuambia kwamba wakazi wa asili wa Amerika ya kusini ni wahindi wekundu ambao nimekuambia kuwa wapo pia upande wa kusini wa India.

Ninachosema hapa ni kwamba, Mungu aliumba watu wawili tu Adamu na Eva, lakini watu walivyoongezeka mno duniani na kwenda kuishi sehemu mbalimbali duniani zenye mazingira na hali ya hewa tofauti zikawafanya watu hao wawe na rangi inayotofautiana kadiri ya mazingira waliyoishi na kuzaliana. Kwa mfano, watu walioenda kuishi mazingira kama ya Ulaya ambako melanini haihitajiki walipata kuwa weupe kama wayahudi, wale waliokwenda kuishi katika mazingira ambayo kuna jua kali na hivyo melanini inahitajika wakawa rangi yao nyeusi kama unavyowaona waafrika sababu katika Afrika kuna jua kali na hivyo melanini inatakiwa.

Hapo awali nilidokeza kuwa kuna uwezekano mkubwa kwamba Adamu na Eva walikuwa weusi na si weupe kama watu wengi wanavyodhani. Tena wapo watu wanaosema kuwa watu weusi walitokana na uzao wa Hamu mtoto wa Noah ambaye baba yake alimlaani baada ya kuutazama uchi wa baba yake. Mwanzo 9:20-27. Habari hizo ni za uwongo zilizotungwa na wazungu wa karne ya kumi na tisa waliotaka kuhalalisha biashara halamu ya utumwa kwa kusema kuwa waafrika ni uzao wa Hamu ambaye alilaaniwa na hivyo waafrika wamelaaniwa ndiyo maana ni halali kuwa watumwa.
Hoja ya kwamba huenda wazazi wetu wa kwanza yaani Adamu na Eva walikuwa weusi inatolewa na wanasayansi wengi wakitoa hoja kwamba ni rahisi kwa mtu kubalika kutoka weusi kwenda rangi nyingine kuliko kutoka weupe kuja weusi. Kwa hoja hiyo, wanadai kwamba kama Adamu na Eva wangekuwa weupe basi watu weusi wasingepatikana. Hata katika mazingira ya kawaida watu waliozaliwa weupe hawawezi kujifanya weusi ila weusi wanaweza kujifanya weupe.

Ni kweli kwamba wayahudi ni weupe, na ni kweli kwamba Adamu na Eva walikuwa wazazi wa kwanza wa watu wote pamoja na wayahudi. Ni kweli pia kwamba hapa duniani kuna watu weusi kama walivyo waafrika. Utofauti au asili ya rangi hizo tofauti umetokana na mabadiliko ya kimazingira ambamo watu wamekuwa wakiishi. Lakini biblia haituambii kuwa watu hao wa kwanza yaani Adamu na Eva walikuwa wa rangi gani; yawezekana walikuwa weupe au pia yawezekana walikuwa weusi kama wanasayansi wengi wanavyosema wakitoa hoja zao za kisayansi. Hivyo usidhani kuwa wayahudi au watu weupe wataanza kuwahodhi Adamu na Eva wakidai kuwa ndiyo wazazi wao halisi na sisi watu weusi tumepatikana kwa ajali tu. Siyo hivyo hata kidogo.

Kuelewa kwamba biblia haikuwa na lengo la kuweka rekodi ya namna gani kitu kilivyoanza. Kitabu cha Mwanzo kinatoa masimulizi ya namna gani binadamu na ulimwengu kwa jumla ulivyoanzishwa kwa mkono wa Mungu. Kwa namna ya pekee, kitabu hicho kinatoa masimulizi ya namna gani binadamu alianza na si namna watu walivyoanza. Watu wote weusi kwa weupe wote ni binadamu walioumbwa na Mungu wakianzia kwa wazazi wao Adamu na Eva. Mabadiliko ya kimazingira ndiyo yaliyowafanya waonekane tofauti baada ya miaka ya miaka min


Cc.
Palantir MONG'ONYO @Zainab002
Barikiwa Sana kwa usomaji wenye tija
 
Wazungu Wana DNA za Nefilim!!ni uzao wa Neandethals kisayansi. kibiblia wanaitwa Nephilim! Walikukufa wengi wakati wa gharika akabaki nephilim mmoja tu Mfalme ogu wa Bashan basi!

Wazungu wana DNA za Nefilim.weusi hawana.
zaidi machotala wa kizungu wanazo.

Biblia inaongelea utumwa saaana!! na walio fanywa watumwa wa kudhalilika zamani mpaka leo ni wayahudi. ambao kwa leo ni watu weusi tu!

Ktk Kumbu la torati Mungu alitamka "Musa! wana wa Israel wakinihasi tena nitawarudisha Misri kwa mitumbwi km watumwa! forever hawatarudi israel tena kamwe".
huko wataabudu wasichokijua! Misri ni iko Africa" sasa hawa wayahudi wa leo wanatoka wapi???

Aliyebebwa kwa mitumbwi km mateka wa kitumwa ni Mweusi tu Duniani kote uliza popote. Wahindi walipojaribu kutumikishwa kitumwa mashambani walikufa km nzi. Tena kwa kupigwa na jua tu.

Neandethals walitokea bara africa hadi Ulaya na wengi walifia Gibrata valley Spain na nchi ya ujerman ya leo.

Wengi mabaki ya mifupa yao yalipatikana sana kwenye mabonde .kwa mujibu wa wanasayansi yalikuwa manene marefu na zana nzuri za kumudu vita!

swali Jiulize ilikuwaje wakapotea?

Adamu na hawa walipoumbwa hawakuwa peke yao humu Duniani yalikuwepo hayo manefili. Huko ndo cain aliishi.akazaa!!
Kitabu cha Nabii James (Biblia) kilitabili falme zenye nguvu zitatoka kaskazini. mpaka leo ndo ilivo!
Kumbuka wkt anatabiri hivi alikuwa israel ya leo.

Biblia haiwataji wazungu kwa mema kwa nini??

Ni pale tu kitabu cha Enock kiliwataja majeshi na makamanda wa Alexander de great Mzungu huyu. kwa uharibifu mkubwa waliofanya hapo Misri na mashariki ya kati.

Kifupi:
Wayahudi wa kwenye Biblia ni weusi hasa wabantu! Mungu alimtamkia Abraham baba yetu uzao wake utakuwa km nyota za mbinguni na kweli tumejaa Duniani kote!

Wayahudi wa leo ni sinagogi la shetani kitabu cha ufunuo soma chote! Kinadhihirisha

Hkn myahudi mzungu ni tumeporwa haki yetu!! Hawa wa leo wanalazimsha tu tangu 1948 kurudi nyuma huko. Poa walitabiriwa watakuwepo......
Nimechoka...ntarudi
 
Kwa kifupi sana ni mtu mweusi tu ndiye mwenye vinasaba vya rangi zote za binadamu wanaishi sasa ....anaweza kuzaa mweupe, mweusi, mweusitii, mweupe pee, mwenye macho ya rangi zote, nywele aina zote nk. other races NO... Tafiti utanielewa.
So to conclude the first human was black and from him or her all other races were generated. Swala mabadiliko ya kijiografia lipo ingawa halina nguvu sana.
 
Mkuu umeshiba kwelikweli! Ila naomba nichangie kidogo.
Hoja ya kwamba biblia haijaweka wazi kuwa Adam na Eva hawajulikani ni rangi gani ni sawa, pia katika vitabu vyengine kama Quran haijaweka was (watanisahihisha kama nimekosea).

Lkn turudi katika mfumo wa uumbaji, wote tunakunaliana kwamba muumbaji alitumia udogo kuumba. Ila kuna maandiko kuwa Adam aliumbwa kwa aina tofauti za udongo (kuna taarifa zinasema ni aina saba ila Sina uhakika).

Hivyo kutokana na huo mchanganyiko wa udongo ndio kunakosekana ushahidi wa rangi halisi ya Adam. Inasemakana hakuwa mweupe wala mweusi ila muonekano wa rangi yake ulikua unakuja kutoka kwenye muono wako. Ukihisi mweusi unaona hivyo kweli na ukihisi mweupe, mwekundu au rangi yoyote utakayo hisi unamuona hivyo kweli.

Kwahiyo kutokana na kutokujulikana rasmi kwa rangi ya Adam ila tunajua asili yake ni udongo wa aina tofauti ndio maana tunaona leo kuna watu weusi, weupe na wekundu.
Wote tumetokana na vinasaba (genetics) moja.

Na kuhusiana na kimo chake, Adam alikua na urefu wa futi 60.

Katika Quran kuna maneno Mungu anasema.

"Enyi wanadamu kwa hakika Tumekuumbeni wote kutokana na mwanaume mmoja (Adamu) na mwanamke mmoja, (Hawwa).
Na Tumekufanyeni Mataifa na Makabila mbalimbali ili mjuane. Hakika aheshimiwaye sana miongoni mwenu mbele ya Mwenyezi Mungu ni Yule amchaye Mungu zaidi katika nyinyi. Kwa yakini, Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, Mwenye habari za mambo yote.” Quran (49:13)
Samahani kwenda nje ya mada.hua nasikia waislam wanaupinga utatu mtakatifu ila Kwa andiko hili ulilolileta LA koran " hakika tumekuumbeni".Hapo Allah anasema tumekuumbeni kaumba na nani?utatu mtakatifu ni halisia au sio??mniwie radhi kua nje ya mada
 
Wazungu wako wanachapakazi nyie mko kupiga madomo humu haya chukueni uyahudi ni wenu sasaa [emoji16][emoji16][emoji16] ila nyie punda sana mnajilazimu kuwa wayahudi na hata chembe za kiyahudi hamna acheni ujinga uzeni maduka huko.
 
Ni kweli kwamba wayahudi ni weupe, na ni kweli kwamba Adamu na Eva walikuwa wazazi wa kwanza wa watu wote pamoja na wayahudi. Ni kweli pia kwamba hapa duniani kuna watu weusi kama walivyo waafrika. Utofauti au asili ya rangi hizo tofauti umetokana na mabadiliko ya kimazingira ambamo watu wamekuwa wakiishi. Lakini biblia haituambii kuwa watu hao wa kwanza yaani Adamu na Eva walikuwa wa rangi gani; yawezekana walikuwa weupe au pia yawezekana walikuwa weusi kama wanasayansi wengi wanavyosema wakitoa hoja zao za kisayansi. Hivyo usidhani kuwa wayahudi au watu weupe wataanza kuwahodhi Adamu na Eva wakidai kuwa ndiyo wazazi wao halisi na sisi watu weusi tumepatikana kwa ajali tu. Siyo hivyo hata kidogo.
Wewe!! weweee!! Mkuu kifupi bila kumungunya maneno wazungu siyo watu wa Dunia hii!! ni Masalia ya Nephilim!!! Weusi sisi wabntu ndo wana wa Isrel!! tulimuudhi Mungu kwa kuhasi neno lake na aliwahi sema hata Mkinihasi nitanyanyua Mawe yaniabudu!!

Mtarudishwa Misri kwa Mitumbwi, akaongeza tena '' the jouney dat you will not make it again'' na huko mtaabudu msichokijua, japo hapo awali mlienda kwa Miguu yenu!! soma kumbukumbu la torati yoote ile!! inawahusu waafrica!!

Mungu hakukomea hapo akaongeza From the river of Cush my doughters and my people will bring my suppliant!! sasa fikiria beyond de river of cush ni wapi Tanzania mpaka South africa!! na hii nchi haikukoloniwa Maksudi ili mjue mlipotoka!!

Africa Mashariki yoote hii Bado tunaishi kwenye ndani ya Bustani ya Eden soma vizuri Jiografia ya Bustani ya Edeni utajua! nayokwambia. ndo maana Israel ya leo inapenda sana kwenda Uganda ili tuwekwe mtu kati miaka ijayo!! wanaitamani East Africa ili kukamilisha marengo yao wakisaidiwa na Ibilisi Baba yao!!

sababu huyu Nabii aliongea haya akiwa mashariki ya kati, Nabii James alisema akiwa Middle east ya leo kuwa Falme zenye Nguvu na Tata zitatokea Kaskazini, manake Ulaya!! na ndivo ilivokuwa Lexander de Great, Napoleon Bona parte!! hawa kwa nini walielekea Kusini ya Ulaya??

Ni wazi walilenga Israel ya Weusi, na Yesu (joashua) ni mweusi ti, Ufunuo soma chote!! Biblia imetamka, Manabii wote ni weusi tii!! Natumia weusi ili kufikisha ujumbe kirahisi lkn sisi siyo weusi, bali sisi ni rangi ya udongo!! ''Dark brown'' kutupachika weusi na wazungu nikupoteza identity yetu maksudi!

Watu weupe ni Nephilim wa kale ambao kisayansi tunawaita Neandethals, Biblia inasema nephilim walifutwa kwenye Gharika lakn walirudi tena, Nephilim pekee aliyepona kwenye ila gharika alikuwa ni Ogu Mfalme wa Bashan!! alizaa!!

Wazungu wote wahindi ni Cauccasians walitokea huko Cauccasians Mt mika kadhaa nyuma wala si mingi, ni kama miaka 7ooo tu huko nyuma wakawa maarufu, wakati Yesu anazaliwa walisha tawala middle east miaka km 30- 40 hivi.

Biblia ya Leo imechezewa sana na hawa Nephilims kwa miaka Mingi, hicho kizazi cha kiarabu ni sawa unavoona wapemba leo, wale siyo waarabu ni mazalia ya Magiriki Hellenistic generation mchanganyiko na waafrica watumwa wanawake waliochukuliwa uarabuni!! kwa sababu ya utamu wao matawala ya kigiriki yaliwapenda sana walizaa sana huko!! watumwa wengi walichukuliwa africa mashariki walikuwa wanawake kule waliwekwa kwenyekambi maarufu km Harlem Camp!! {watumwa wanawake hao} lengo kuwaburudisha mabwana kuba!!!

Watoto walio zaliwa na wajakazi watumwa walirithisishwa utawala , milki za utajiri wa kigiriki na kuaminishwa wao ni taifa la Waarabu, wakajengewa chuki na waafrica weusi mpaka leo!! wanaamini hivo, Kama tatizo ni jua au hali ya kitropiki Mbona weusi walioko Ulaya hawabadiriki?

Mbona wahindi wa kisutu, Wazungu, wamezaliwa na wamekaa miaka dahali hapa Bongo hii hawawi weusi??? hii ni Total westernised Brain wash!! ili kuhalalisha ubwana kubwa wao!! hawataki wajulikane kuwa wao si wa Dunia hii kwa asili!!! WAZUNGU ni kzazi cha Nephilim yaani Malaika waovu walio hasi Mungu!

Baba yao shetani anawapa mafanikio fake! wanaenda mpaka anga za juu kiubwete tu!!! walikuwepo hawa na watakuwepo!! kizazi kutoka Bustani ya Edeni ni watu weusi yaani ndo wayahudi Original...

Biblia imelia weeee!! kuhusu utumwa humu Duniani je nakuuliza nani alikuwa, Mtumwa na ni Mtumwa mpaka leo??? kati ya watu...
WEUSI
weupe wazungu.
wahindi
waarabu?
Hawa watumwa walisafirishwa kwa Mitumbwi kama inavo bainishwa kwenye kitabu cha Kumbukumbu la torati... na kwa nini hawa hawa unaowaita wana wa Mungu waliipiga vita Biblia Duniani. yaani ipotee kabisa, Maelfu ya tani na tani yaliteketezwa na moto ikawa kama haitoshi yakatupwa Bahari mengine, lkn Mungu ni Mungu tu Biblia iliendelea kuibuka na mpaka leo inaongoza kwa mauzo mazuri Duniani.

Wabantu weusi ndo wayahudi Original, hawa wayahudi wa leo siyo ni sinagogi la shetani!!! wanaishi kwa nguvu za ibilisi, rejea kitabu cha ufunuo kikufunue!! soma chote ufaidi. hapo nimekupa kwa kifupi mno!!
 
Wazungu wako wanachapakazi nyie mko kupiga madomo humu haya chukueni uyahudi ni wenu sasaa [emoji16][emoji16][emoji16] ila nyie punda sana mnajilazimu kuwa wayahudi na hata chembe za kiyahudi hamna acheni ujinga uzeni maduka huko.
Teh!teh! tete!! Najua Waarabu karoho kanawauma sana!! tunajitambua sasa!!! kuwa mpole tu dogo hakuna jinsi kule ndo kwetu bana wee!! mlitupora tu Mungu ametuchagua!! sisi ni wateule wake!!

hata mfanyeje iko hivo mlitutesa sana!! mnatuchukia sana mpaka kesho bila sababu sababu ya uungu ulioko ndani yetu, sasa dhambi inawatafuna Huko mashariki ya kati!!! hamtakuwa na amani pale!! nakwambia...

Jamani waafrica weusi Hivi mmewahi jiuliza kwa nini tuna chukiwa sana humu Duniani kote na ngozi nyeupe?? sababu ni hii............

''ALL ISRAELITIS SHALL BE SAVED '' hii Kiroho inwasumbua sana Wazungu, Waarabu na wahindi. km huyu!
 
Kila mmoja na majibu yake kutokana na anavyoamini yeye, na wengine hufuata hostoria za kutungwa/kusadikika, na wengine hufuata sayansi.

Kwakuwa Qur'an na hadithi hazijazungumzia kuhusu rangi ya Aadam na Hawaa ni ipi. Hivyo ukweli kuupata kwenye vitabu vya upande wa pili, Biblia, historia za kutungwa, sayansi wanayoiamini n.k ni kupoteza muda tu. Wakati Qur'an kitabu kitukufu na hadithi hazijazungumzia rangi ya Nabii Aadam na Mkewe Hawaa.
 
Canaan ni mtoto wa Ham na mjukuu wa Nuhu.... Tunawaita weusi sababu kaka zake wote walikuwa weusi so tuna assume hata wao walikuwa weusi ingawa kihistoria wanasema walikuwa wanaongea SEMITIC language sio HAMITIC ya watu weusi

Zamani dunia nzima iliishi mashariki ya kati na hata kulikuwa hakuna mabara ilikuwa ni nchi moja tu no visiwa no mabara!!! Hivyo sehem wengi walipoishi ilikuwa middle east

Hao canaan waliishi hapo hapo mashariki ya kati wakiwa chini ya utawala wa mfalme Nimrud (Enmekar) aliyetawala dunia nzima kipindi hicho

All in all kizazi hiki cha watu weusi kilifutika duniani baada ya kufanyiwa mauaji ya halaiki na waisraeli walipokuwa wakigombania ardhi moja.......

Waisraeli ni watu makatili sana, hadi wa leo wanaendeleza ukatili wao dhidi ya wapalestina.
 
Kila mmoja na majibu yake kutokana na anavyoamini yeye, na wengine hufuata hostoria za kutungwa/kusadikika, na wengine hufuata sayansi.

Kwakuwa Qur'an na hadithi hazijazungumzia kuhusu rangi ya Aadam na Hawaa ni ipi. Hivyo ukweli kuupata kwenye vitabu vya upande wa pili, Biblia, historia za kutungwa, sayansi wanayoiamini n.k ni kupoteza muda tu. Wakati Qur'an kitabu kitukufu na hadithi hazijazungumzia rangi ya Nabii Aadam na Mkewe Hawaa.
Mkuu unaposema Quran ni tukufu na vitabu vingine havifai una uhakika gani? Yaani kwanini kila mtu anadai dini yake ndio ya kweli na ya mwenzake ndio potofu?
 
Back
Top Bottom