Je, hii ndio asili ya mtu mweusi?

Je, hii ndio asili ya mtu mweusi?

Mungu alipoumba mwanadamu akaumba mweupe akaiona kazi ya mikono yake kuwa ni njema akaumba na mtu mweusi nayo kazi ilikuwa njema kabisa akaumba wafupi, warefu, wanene, wembamba na akaibalance dunia na matete zake akatoa uwezo tofautitofauti wa kutumia akili, ila baada ya hapo inaonekana watu weusi walikaliwa na shetani sana kwa sababu ya neema ya Mungu ndo inaanza kuonekana kutambua resources zilizopo na kuzitumia wenyewe ni baraka za Mungu. Ila Mungu alikuwa na nia njema kuwaumba Waafrika tazama Musa alimuoa mwanamke mweusi mkushi(mwethiopia) hatua na miriamu ndugu zake wakawa wanambagua na kumsengenya na siku moja Mungu akampiga miriam ukoma kwa sababu hiyo.( hesabu12:1-16)
 
Ok, fair enough. I am conjecturing. I can’t deny that.

However, they too are doing the same thing but in the guise of science.

My belief is that no one really knows for certain the origins of all the people of the world.

It’s one of those mysteries that perhaps we will never know about.
If you want to really question things, one can say that you can't know for certain that you even exist.

Even Rene Descartes maxim of "I think, therefore I exist" is based on an assumption that thinking proves existence.

The singer Billy Idol used to sing "there is nothing sure in this world", which if we get down to the nitty-gritty, is true.

So from that, we can build a framework of sifting through sensory perception and logical reasoning the chaff from the wheat (by the way, any etymological relationship between chaff and "chafu"?), the English from the Dutch, the tots (watoto?) from the grown folks.

I value skepticism. I value disent.The great American General George Paton used to say that, if you see a group of people agreing on everything, there are some who are being dragged into agreement without really wanting to.

But dissent and skepticism must be disciplined and based on reason and factual investigation. People who supposedly did their peer review and put their names on the lines shouldn't be dismissed as easily as your Tom,Dick or Harry from just any hellhole.

So, having said that, I welcome your skepticism, I welcome dissent.

But you better come with data and facts, not just wholesale dismissal.

The great science fiction writer and science popularizer, Carl Sagan used to say, "extraordinary claims require extraordinary evidence".

This is the Sagan standard (I should use this more often in my reasoning against the existence of God).

Science has been openly discussed extensively.So much is published formally and informally.

Granted, a lot of established science still has uncovered holes. But on the other hand, we shouldn't let any flaw be ground to dismiss everything. If we go by that principle, we wouldn't build bridges, because, in principle, we cannot calculate pi accurately completely.

If your skepticism holds water, you will be doing yourself and the entire JF community an injustice by summarily dismissing scientific establishment constructs. You will be doing the world disservice.

You will do well to organize your rebuttals and critiques in a more organized way, with data and well detailed arguments.

Not just summary dismissal that look nothing diferent from your common flat earth society card carrying member's anti-science default contrarianism.
 
Ok, I'm back and your points are well-taken.

Now let me hark back to one of your phrases here [excuse me if I don't get it verbatim but I think you'll know what I'm trying to say. You can correct me, no problem].

'You don't need to know the answer but you know the square root of 2 is not 3' or something like that. Right?

I don't claim to be the sharpest tool in the shed but if you come to me with stories of what happened to humans hundreds of thousands or millions of years ago, come on man!

I think I will have the right to be skeptical. And that is because I think it's not humanly possible to know with any degree of certitude what actually happened back then.

That's why I also said those so called scientific findings/ studies or whatever they call them are also conjecture.

Just look at the language used in the article you that you brought.

Here are a few examples.

"While the dark skin of some Pacific Islanders can be traced to Africa, gene variants from Eurasia also seem to have made their way back to Africa."

"Researchers agree that our early australopithecine ancestors in Africa probably had light skin beneath hairy pelts."

"Until recently, researchers assumed that after human ancestors shed most body hair, sometime before 2 million years ago, they quickly evolved dark skin for protection from skin cancer and other harmful effects of UV radiation."

"Previous research on skin-color genes fit that picture. For example, a “depigmentation gene” called SLC24A5 linked to pale skin swept through European populations in the past 6000 years. But Tishkoff ’s team found that the story of skin color evolution isn’t so black and white."

The most dramatic discovery concerned a gene known as MFSD12. Two mutations that decrease expression of this gene were found in high frequencies in people with the darkest skin. These variants arose about a half-million years ago, suggesting that human ancestors before that time may have had moderately dark skin, rather than the deep black hue created today by these mutations.

If that is not conjecture then tell me what conjecture is!

I love science. I love it because of what its all about. Therefore I appreciate it a whole lot. But come on man. Some of the things propagated in its name just don't make sense to me.

Stuff that happened millions of years ago!! Really?
 
Canaan hao walikuwa ni waarabu sio weusi
Mkuu kihistoria canaan alizaliwa na ham na kaka zake wote walikuwa weusi hta michoro ya mapangoni utaona phut(libya),cush(ethiopia) na mizraim(misri) walikuwa ni WEUSI ndio maana inaaminika hata Canaan alikuwa mweusi

Kingine canaan alishafutika kwenye uso wa dunia tokea kipindi cha vita na Joshua waliuawa wengi sana hadi wakatekezwa kabisa kwenye mass genocide na waosraeli ila kma wangekuwa hai i believe tungeweza kuprove kuwa walikuwa weusi kma kaka zake tu
 
Biblia ni kitabu chenye makosa, kujipinga chenyewe na mengi sana kama hayo na hivyo hakiwezi kuchukuliwa kama kitabu cha authority.

Stories nyingi zimeungwa ungwa tu,hakuna ushahidi kwamba hata haowatu walikuwepokweli au nihadithi tu.

Na habari nzima ya Adamu kuwa mtu wa kwanza aliyeumbwa na Mungu mwenye uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote haiyumkiniki kimantiki.

Soma Cheikh Anta Dip, soma Imhotep.

Soma The Epic of Gilgamesh.

Utaona Biblia ilikopata habari zake na kuzirudia tu.
Waache watu na imani zao, usiwaingilie.
Wewe amini unacho amini wewe!
 
Hiv uzao wa canaan walikuwa weusi??? Kwani canaan ni wapi
Canaan ni mtoto wa Ham na mjukuu wa Nuhu.... Tunawaita weusi sababu kaka zake wote walikuwa weusi so tuna assume hata wao walikuwa weusi ingawa kihistoria wanasema walikuwa wanaongea SEMITIC language sio HAMITIC ya watu weusi

Zamani dunia nzima iliishi mashariki ya kati na hata kulikuwa hakuna mabara ilikuwa ni nchi moja tu no visiwa no mabara!!! Hivyo sehem wengi walipoishi ilikuwa middle east

Hao canaan waliishi hapo hapo mashariki ya kati wakiwa chini ya utawala wa mfalme Nimrud (Enmekar) aliyetawala dunia nzima kipindi hicho

All in all kizazi hiki cha watu weusi kilifutika duniani baada ya kufanyiwa mauaji ya halaiki na waisraeli walipokuwa wakigombania ardhi moja.......
 
Jesus just ni jina kutoka uingereza na hatujui wanamaana gani na walilipataje?

Sisi kwetu ikaja wanaita yesu sijui walilipatapataje na kutikana na nini?

Je kwa nini jina lake halisi aloitwa baada ya kuzaliwa halitumiki?

Na amezaliwa wakati mafremansoni wapo ninamashaka hata haya majina yametokana na Freemason huwa napatwa ukakasi na bado haujatoka

Kwa hiyo matumizi ya biblia huwa ninakuwa na tahadhari kubwa

Kwa wale watumiao maandiko natamani wawe na tahadhari kuyatumia maana kuna maswali mengi humo
 
Kama tutakubaliana kuwa mwanadamu wa kwanza aliumbwa kwa udongo, tuanzie hapo.

Kuna aina nyingi za ranging za udongo
Utakuta mweusi
Mwekundu
Kijivu
Mweupe na kazalika

Udongo mweupe hauwezi kuwa mweusi mpaka udongo mweusi uwepo pale kwa wingi, sidhani kama udongo mweusi mpaka aweza badirika na kuwa mweupe!?

Back from Bible kuwa adamu ndo chimbuko LA wote maana hata hawa alitokana na Adam kupitia ubavu

Kwa sababu walitengezezwa kwa udongo basi kulikuwa na aina zote za udongo kwao yaani Adam na hawa

Kwa hiyo baada ya udongo kuanza kufanyiwa separation maana bado tunasema Mungu bado nkali akiumba kila siku kwa hiyo hizo mixtures ,zimeendelea kufanyiwa separation kutokana kuzaliwa mpaka zikagikia pure ambapo sasa tukapata rangi tofauti ikiwamo sasa weusi , weupe na wekundu ambapo haziwezi tena kurudishwa mwanzo .

Kwa mawazo yangu sasa tumetokana na purification ya kutoka Adam
 
Back to scientists hapa ninichukue mfano mmoja .

Kama tunaamini kutokana na Adam basi scientists baada ya discovery ya genetics wakafanya blood grouping wanasema kuna blood groups nyingi lkn kuna hii ambayo inatumika sana ABO system.

Wanasema kuwa kuna 4 major blood group ambayo ni A, B, AB na O . kwa mantiki hiyo ni Adam peke yake aliyekuwa ameposes groups zote baadaye kwanza kufanyiwa separation kutoka kwa Adam .
Lkn hapo bado MTU anaweza kuwa nazo zote mfano, mtu akawa na group AB genetically aweza kuwa na Ai, na Bi,. Hivyo aweza kutoa blood group zote kwa watoto ikitegemea group gani atamate naye.

Tokana na theory hiyo maana yake ni only purification ya Adam mpaka akapatikana mweusi .sijaweka uhusisho wa ngozi kwa kuwa wanasema is only melanin matter's. Nabaki kusema ni purification tukapatikana mweusi
 
Jesus just ni jina kutoka uingereza na hatujui wanamaana gani na walilipataje?

Sisi kwetu ikaja wanaita yesu sijui walilipatapataje na kutikana na nini?

Je kwa nini jina lake halisi aloitwa baada ya kuzaliwa halitumiki?

Na amezaliwa wakati mafremansoni wapo ninamashaka hata haya majina yametokana na Freemason huwa napatwa ukakasi na bado haujatoka

Kwa hiyo matumizi ya biblia huwa ninakuwa na tahadhari kubwa

Kwa wale watumiao maandiko natamani wawe na tahadhari kuyatumia maana kuna maswali mengi humo
Jina halisi la Yesu ni Yash'uah sema kila lugha inalitamka tofauti kutokana na matamshi ya kabila lake ila kwakuwa ni mzizi wa jina hilo hilo moja basi hakuna shida either uite Yesu au Yasu haina shida sababu hata hizo lugha alizileta Mungu mwenyewe
 
Kama tutakubaliana kuwa mwanadamu wa kwanza aliumbwa kwa udongo, tuanzie hapo.

Kuna aina nyingi za ranging za udongo
Utakuta mweusi
Mwekundu
Kijivu
Mweupe na kazalika

Udongo mweupe hauwezi kuwa mweusi mpaka udongo mweusi uwepo pale kwa wingi, sidhani kama udongo mweusi mpaka aweza badirika na kuwa mweupe!?

Back from Bible kuwa adamu ndo chimbuko LA wote maana hata hawa alitokana na Adam kupitia ubavu

Kwa sababu walitengezezwa kwa udongo basi kulikuwa na aina zote za udongo kwao yaani Adam na hawa

Kwa hiyo baada ya udongo kuanza kufanyiwa separation maana bado tunasema Mungu bado nkali akiumba kila siku kwa hiyo hizo mixtures ,zimeendelea kufanyiwa separation kutokana kuzaliwa mpaka zikagikia pure ambapo sasa tukapata rangi tofauti ikiwamo sasa weusi , weupe na wekundu ambapo haziwezi tena kurudishwa mwanzo .

Kwa mawazo yangu sasa tumetokana na purification ya kutoka Adam
It makes sense hapa nakubaliana na wwe 100% hii inaweza kuwa asili ya rangi zote duniani
 
Habari za asbuhi great thinkers.

Moja kwa moja niende kwenye topic kuhusu nilichotafiti kwangu binafsi kwa kuconnect dots ya source mbalimbali nilizosoma naweza conclude kwamba weusi wetu ulitokea kwa CAIN kwa kupita binti yake EGYPTUS au Neitamuk kisumeria aliyeolewa na Baba wa waafrika HAM

Biblia inaeleza kwamba Cain aliwekewa ALAMA

Mwanzo 3
15 BWANA akamwambia, Kwa sababu hiyo ye yote atakayemwua Kaini atalipizwa kisasi mara saba. BWANA akamtia Kaini alama, mtu amwonaye asije akampiga.

Ingawa biblia haijaeleza hiyo alama ina maana gani ila nikakusanya dots kwenye kitabu cha jasher

Jasher 2:26-30

27 And Tubal Cain told his father to draw his bow, and with the arrows he smote Cain, who was yet far off, and he slew him, for he appeared to them to be an animal.

Huu mstari ulinifanya niamini kwamba huenda alama aliyowekewa ilimfanya Cain awe mweusi ambapo kwa kuwa rangi hiyo haikuwa imezoeleka wakahisi mnyama ndio maana wakamuua

NB: Wengine mtasema book of jasher hakipo kwenye biblia hivyo sio reliable.... Ushahidi wa kwamba lamech alimuua Cain upo pia kwenye biblia maana Mungu alisema atakayemuua kain atalipia kisasi mwanzo 4:15

15 BWANA akamwambia, Kwa sababu hiyo ye yote atakayemwua Kaini atalipizwa kisasi mara saba. BWANA akamtia Kaini alama, mtu amwonaye asije akampiga

Na unabii huu unatimia kwa lamech kuonyesha ni yeye aliyemuua Cain maana anairithi ahadi ile

Mwanzo 4
23 Lameki akawaambia wake zake,Sikieni sauti yangu, Ada na Sila;Enyi wake za Lameki, sikilizeni usemi wangu;Maana nimemwua mtu kwa kunitia jeraha;Kijana kwa kunichubua;
24 Kama Kaini akilipiwa kisasi mara saba,Hakika Lameki atalipiwa mara sabini na saba.

Hivyo basi kwakuwa Cain alikuwa mweusi hivyo naamini kizazi chake chote kilikuwa cheusi na hata binti yake egyptus ndio aliekuja kuolewa na Ham ambaye alikuwa mtoto wa Nuhu.

NB: kuna watu wanadai ham alikuwa mweusi ila cha kujiuliza kama alikua mweusi kivp baba yake yani Nuhu awe mweupe azae mweusi??

Baada ya gharika tunaambiwa na kitabu cha Abraham kwamba misri ilivumbuliwa na binti wa ham na egyptus (binti wa cain )

Book of Abraham

23 The land of Egypt being first discovered by a woman, who was the daughter of Ham, and the daughter of Egyptus, which in the Chaldean signifies Egypt, which signifies that which is forbidden;

24 When this woman discovered the land it was under water, who afterward settled her sons in it; and thus, from Ham, sprang that race which preserved the curse in the land

Ushahidi zaidi kwamba misri ilivumbuliwa na binti wa ham ipo pia kwenye biblia wanapoita misri kma HEMA LA HAM au biblia ya kiingereza LAND OF HAM soma mistari hii
Zaburi.78:51; 105:23,27; 106:22; Nyakati 1 4:40

Kitabu cha Moses ambacho kinatumika na baadhi ya makanisa duniani kinaenda mbali zaidi na kueleza rangi ya uzao wa ham ilikuaje

Book of moses 7:8

8 For behold, the Lord shall curse the land with much heat, and the barrenness thereof shall go forth forever; and there was a blackness came upon all the children of Canaan, that they were despised among all people.

Pia mstari wa 8 wa kitabu hiki unaonyesha kwamba Cain alikua mweusi na hata uzao wake ulikua wa watu weusi

Moses 7:22

22 And Enoch also beheld the residue of the people which were the sons of Adam; and they were a mixture of all the seed of Adam save it was the seed of Cain, for the seed of Cain were black, and had not place among them

Je kutokana na ushahidi huu wa vitabu vya kihistoria vya dini na nje ya dini kuna ukweli kwamba asili ya mtu mweusi ni CAIN ?? Ya kwamba alilaaniwa ndio akawa mweusi ndio maana na sisi tumekuwa weusi???

Karibuni mtiririke wana jukwaa :

Cc:
Malcom Lumumba Wick Indundu Eiyer MSEZA MUKULU Kiranga Al watan Hearly Da'Vinci Izzo mshana jr Palantir n.k

Kwenda zako kizazi cha kaini kilipotea! Uzao wote wa kaini uliishia vizazi sana na kupotea kabisa hata kabla ya nuhu. Binadamu wote ni uzao wa Seth na Nuhu baada ya gharika
 
Kwenda zako kizazi cha kaini kilipotea! Uzao wote wa kaini uliishia vizazi sana na kupotea kabisa hata kabla ya nuhu. Binadamu wote ni uzao wa Seth na Nuhu baada ya gharika
Okay tunaweza kukubaliana na hoja yako ila tusaidie na haya machache

1. Uzao wake uliishia wapi??
2. Wake za watoto wa Nuhu walitoka familia ipi??
3. Kama uzao uliisha unaweza hata tuambia ni wapi kwenye biblia wanapoeleza Cain alikufa na kizazi chake??
4. Je mke wa Ham alieitwa egyptus au Nei'tamuk alikuwa katoka familia ya Cain je unazungumziaje hili??
 
Mkuu kihistoria canaan alizaliwa na ham na kaka zake wote walikuwa weusi hta michoro ya mapangoni utaona phut(libya),cush(ethiopia) na mizraim(misri) walikuwa ni WEUSI ndio maana inaaminika hata Canaan alikuwa mweusi

Kingine canaan alishafutika kwenye uso wa dunia tokea kipindi cha vita na Joshua waliuawa wengi sana hadi wakatekezwa kabisa kwenye mass genocide na waosraeli ila kma wangekuwa hai i believe tungeweza kuprove kuwa walikuwa weusi kma kaka zake tu
Inakuwaje nuhu awe ana watoto wengine weupe na wengine weusi
 
Canaan ni mtoto wa Ham na mjukuu wa Nuhu.... Tunawaita weusi sababu kaka zake wote walikuwa weusi so tuna assume hata wao walikuwa weusi ingawa kihistoria wanasema walikuwa wanaongea SEMITIC language sio HAMITIC ya watu weusi

Zamani dunia nzima iliishi mashariki ya kati na hata kulikuwa hakuna mabara ilikuwa ni nchi moja tu no visiwa no mabara!!! Hivyo sehem wengi walipoishi ilikuwa middle east

Hao canaan waliishi hapo hapo mashariki ya kati wakiwa chini ya utawala wa mfalme Nimrud (Enmekar) aliyetawala dunia nzima kipindi hicho

All in all kizazi hiki cha watu weusi kilifutika duniani baada ya kufanyiwa mauaji ya halaiki na waisraeli walipokuwa wakigombania ardhi moja.......
Ardh ipi mbona israel anawaua palestina kwa mgogoro wa ardhi mpaka leo
 
Inakuwaje nuhu awe ana watoto wengine weupe na wengine weusi
Watoto wa Nuhu inawezekana wote walikuwa weupe ila wake waliooa wana influence kwenye kuamua rangi ya uzao wao

Mfano Ham inawezekana alikuwa mweupe kma shem na japhet ila kwakuwa alioa mwanamke mweusi ndio maana uzao wake ukawa wa watu weusi yaani libya ethiopia na misri!!!

Kma Ham naye alikuwa mweusi inamaana either nuhu au mkewe mmoja alikuwa mweusi!! Ingawa haina mashiko sababu koo za shem na japhet sjjaona kabila hata moja la watu weusi
 
Back
Top Bottom