Je, hii ndio asili ya mtu mweusi?

Je, hii ndio asili ya mtu mweusi?

Unafahamu swali ulilouliza kwanza, na hili unalouliza sasa ni maswali tofauti?

Kwanza ulitaka kujua asili ya mtu mweusi, alipotoka.

Sasa unatakakujua inakuwaje mtu anapata kuwa mweusi.

Haya ni maswali mawili tofauti, unaelewa hilo?
😀😀😀😀😀 typical kiranga

Anyway ngoja niulize upya je asili ya watu wenye rangi nyeusi kma wabantu ilikuwaje wakawa na rangi tofauti na watu weupe kama donald trump.

What about that for a try!!
 
😀😀😀😀😀 typical kiranga

Anyway ngoja niulize upya je asili ya watu wenye rangi nyeusi kma wabantu ilikuwaje wakawa na rangi tofauti na watu weupe kama donald trump.

What about that for a try!!
Genetical makeup yao imefafanya ngozi zao ziwe na melanin zaidi, melanin ndiyo inayosababisha weusi.

Weupe hawazalishi melaninkwa sana.
 
Genetical makeup yao imefafanya ngozi zao ziwe na melanin zaidi, melanin ndiyo inayosababisha weusi.

Weupe hawazalishi melaninkwa sana.
Hivyo basi mwanadamu wa kwanza alikuwa mweusi au mweupe na je kwanini wao wawe na genetical make up tofauti na sisi au unataka useme black man na caucasian walikuja into existence separately kabisa ??
 
Kwa niniunauliza mweusi au mweupe tu? Ikiwa alikuwa na rangi tofauti kabisa je?
 
Kwa niniunauliza mweusi au mweupe tu? Ikiwa alikuwa na rangi tofauti kabisa je?
Ndio hapo utupe atheistic point of view ya asili ya genetic make up kuwa tofauti kati ya sample ya bantu na caucasians kwanini mmoja awe na rangi hii mwingine awe na tofauti ilihali tunaamini wote tumetoka kwa uzazi mmoja
 
Mbona kuna familia anazaliwa mtu zeruzeru mweupe na wengine weusi na wote wamezaliwa kwa mzazi mmoja?

Ni genetic mutations, over time, natural advantages ina toa advantage kwa watu fulani, wanakuwa wengi, mpaka population yote ya sehemu hiyo inakuwa watu hao.
 
Mkuu nina swali..
kwa hiyo kuna uwezekano mfano wazungu pure wawili me/ke wakawekwa kwenye dunia ya peke yao ili kuanzisha kizazi chao,
je hicho kizazi chao jinsi miaka inavyozidi kwenda na wanavyozidi kuzaliana wataweza kupata kizazi cheusi?
 
Kujua mwanzo wetu sisi black inatakiwa tukauchukue ukweli wote upo huko kwenye black holes.
 
Mkuu nina swali..
kwa hiyo kuna uwezekano mfano wazungu pure wawili me/ke wakawekwa kwenye dunia ya peke yao ili kuanzisha kizazi chao,
je hicho kizazi chao jinsi miaka inavyozidi kwenda na wanavyozidi kuzaliana wataweza kupata kizazi cheusi?

Inategemea na mutations zitakavyokwenda, wanaweza kupata hata mtu wa kijani,over time.

Kwa mazingira ya dunia yetu, na uchunguzi unavyoonesha kuhusiana na mazingira yalivyo influence muonekanowa ngozi, imeonekana ni rahisi weupe kutokak wenye weusi kuliko weusi kutoka kwenye weupe.

Nafikirindiyo maana hata kuna zeruzeru wa Kiafrika wanazaliwa weupe, lakini hakuna ugonjwa unaofanya weupe wazae watoto weusi.
 
Shukrani mkuu nimekupata..
kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa kizazi chetu cha mwanzo binadamu kilikuwa ni cha rangi nyeusi..
Sababu Uwezekano wa weupe kutoka kwa weusi ni mkubwa
 
Shukrani mkuu nimekupata..
kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa kizazi chetu cha mwanzo binadamu kilikuwa ni cha rangi nyeusi..
Sababu Uwezekano wa weupe kutoka kwa weusi ni mkubwa
Wanasayansi wanakubaliana kwa kiwango kikubwa kwamba watu weupe walitoka katika watu weusi.

http://www.sciencemag.org/news/2017/10/new-gene-variants-reveal-evolution-human-skin-color

...The study, published online this week in Science, traces the evolution of these genes and how they traveled around the world. While the dark skin of some Pacific Islanders can be traced to Africa, gene variants from Eurasia also seem to have made their way back to Africa. And surprisingly, some of the mutations responsible for lighter skin in Europeans turn out to have an ancient African origin.

http://www.sciencemag.org/news/2015/04/how-europeans-evolved-white-skin

...When it comes to skin color, the team found a patchwork of evolution in different places, and three separate genes that produce light skin, telling a complex story for how European’s skin evolved to be much lighter during the past 8000 years. The modern humans who came out of Africa to originally settle Europe about 40,000 years are presumed to have had dark skin, which is advantageous in sunny latitudes. And the new data confirm that about 8500 years ago, early hunter-gatherers in Spain, Luxembourg, and Hungary also had darker skin: They lacked versions of two genes—SLC24A5 and SLC45A2—that lead to depigmentation and, therefore, pale skin in Europeans today.
 
Habari za asbuhi great thinkers.

Moja kwa moja niende kwenye topic kuhusu nilichotafiti kwangu binafsi kwa kuconnect dots ya source mbalimbali nilizosoma naweza conclude kwamba weusi wetu ulitokea kwa CAIN kwa kupita binti yake EGYPTUS au Neitamuk kisumeria aliyeolewa na Baba wa waafrika HAM

Biblia inaeleza kwamba Cain aliwekewa ALAMA

Mwanzo 3
15 BWANA akamwambia, Kwa sababu hiyo ye yote atakayemwua Kaini atalipizwa kisasi mara saba. BWANA akamtia Kaini alama, mtu amwonaye asije akampiga.

Ingawa biblia haijaeleza hiyo alama ina maana gani ila nikakusanya dots kwenye kitabu cha jasher

Jasher 2:26-30

27 And Tubal Cain told his father to draw his bow, and with the arrows he smote Cain, who was yet far off, and he slew him, for he appeared to them to be an animal.

Huu mstari ulinifanya niamini kwamba huenda alama aliyowekewa ilimfanya Cain awe mweusi ambapo kwa kuwa rangi hiyo haikuwa imezoeleka wakahisi mnyama ndio maana wakamuua

NB: Wengine mtasema book of jasher hakipo kwenye biblia hivyo sio reliable.... Ushahidi wa kwamba lamech alimuua Cain upo pia kwenye biblia maana Mungu alisema atakayemuua kain atalipia kisasi mwanzo 4:15

15 BWANA akamwambia, Kwa sababu hiyo ye yote atakayemwua Kaini atalipizwa kisasi mara saba. BWANA akamtia Kaini alama, mtu amwonaye asije akampiga

Na unabii huu unatimia kwa lamech kuonyesha ni yeye aliyemuua Cain maana anairithi ahadi ile

Mwanzo 4
23 Lameki akawaambia wake zake,Sikieni sauti yangu, Ada na Sila;Enyi wake za Lameki, sikilizeni usemi wangu;Maana nimemwua mtu kwa kunitia jeraha;Kijana kwa kunichubua;
24 Kama Kaini akilipiwa kisasi mara saba,Hakika Lameki atalipiwa mara sabini na saba.

Hivyo basi kwakuwa Cain alikuwa mweusi hivyo naamini kizazi chake chote kilikuwa cheusi na hata binti yake egyptus ndio aliekuja kuolewa na Ham ambaye alikuwa mtoto wa Nuhu.

NB: kuna watu wanadai ham alikuwa mweusi ila cha kujiuliza kama alikua mweusi kivp baba yake yani Nuhu awe mweupe azae mweusi??

Baada ya gharika tunaambiwa na kitabu cha Abraham kwamba misri ilivumbuliwa na binti wa ham na egyptus (binti wa cain )

Book of Abraham

23 The land of Egypt being first discovered by a woman, who was the daughter of Ham, and the daughter of Egyptus, which in the Chaldean signifies Egypt, which signifies that which is forbidden;

24 When this woman discovered the land it was under water, who afterward settled her sons in it; and thus, from Ham, sprang that race which preserved the curse in the land

Ushahidi zaidi kwamba misri ilivumbuliwa na binti wa ham ipo pia kwenye biblia wanapoita misri kma HEMA LA HAM au biblia ya kiingereza LAND OF HAM soma mistari hii
Zaburi.78:51; 105:23,27; 106:22; Nyakati 1 4:40

Kitabu cha Moses ambacho kinatumika na baadhi ya makanisa duniani kinaenda mbali zaidi na kueleza rangi ya uzao wa ham ilikuaje

Book of moses 7:8

8 For behold, the Lord shall curse the land with much heat, and the barrenness thereof shall go forth forever; and there was a blackness came upon all the children of Canaan, that they were despised among all people.

Pia mstari wa 8 wa kitabu hiki unaonyesha kwamba Cain alikua mweusi na hata uzao wake ulikua wa watu weusi

Moses 7:22

22 And Enoch also beheld the residue of the people which were the sons of Adam; and they were a mixture of all the seed of Adam save it was the seed of Cain, for the seed of Cain were black, and had not place among them

Je kutokana na ushahidi huu wa vitabu vya kihistoria vya dini na nje ya dini kuna ukweli kwamba asili ya mtu mweusi ni CAIN ?? Ya kwamba alilaaniwa ndio akawa mweusi ndio maana na sisi tumekuwa weusi???

Karibuni mtiririke wana jukwaa :

Cc:
Malcom Lumumba Wick Indundu Eiyer MSEZA MUKULU Kiranga Al watan Hearly Da'Vinci Izzo mshana jr Palantir n.k

Usipende kuamini maandiko japo sikukatazi...tafta series ya the Great Roman Empire kidogo itakufunza jambo. Biblical na msahafu ni vya juzi sana...havina hata miaka 2500..vipo vitabu Vingi tuu vina zaidi hata ya miaka 5000...like the art of war...historia ya Africa Ipo tangu kipindi cha the Greek Empire waliopokuwa wanafanya biashara ya wanyama Hai na Africa...Simba walikuwa wanashikwa live na kuuzwa huko...chui....tembo...hiyo ni miaka zaidi ya 4000 brother
 
Mkuu habari za Cain kwa kirefu zipo kwenye vitabu vya kiyahudi ndio maana nimeviquote mfano jasher , book of abraham na book of moses havitumiwi na wakristo bali wayahudi wa kale indio maana nmezungukia kwenye hizi dini mbili ila kama una source kupitia quran inayoweza kuelezea Nature ya watu weusi funguka utuelemishe

Ahsante
Mmh
 
Wanasayansi wanakubaliana kwa kiwango kikubwa kwamba watu weupe walitoka katika watu weusi.

http://www.sciencemag.org/news/2017/10/new-gene-variants-reveal-evolution-human-skin-color

...The study, published online this week in Science, traces the evolution of these genes and how they traveled around the world. While the dark skin of some Pacific Islanders can be traced to Africa, gene variants from Eurasia also seem to have made their way back to Africa. And surprisingly, some of the mutations responsible for lighter skin in Europeans turn out to have an ancient African origin.

http://www.sciencemag.org/news/2015/04/how-europeans-evolved-white-skin

...When it comes to skin color, the team found a patchwork of evolution in different places, and three separate genes that produce light skin, telling a complex story for how European’s skin evolved to be much lighter during the past 8000 years. The modern humans who came out of Africa to originally settle Europe about 40,000 years are presumed to have had dark skin, which is advantageous in sunny latitudes. And the new data confirm that about 8500 years ago, early hunter-gatherers in Spain, Luxembourg, and Hungary also had darker skin: They lacked versions of two genes—SLC24A5 and SLC45A2—that lead to depigmentation and, therefore, pale skin in Europeans today.

Sayansi na yenyewe wakati mwingine nadhani huwa inalazimisha tu mambo!

Sitoshangaa kama hao waliofanya huo utafiti ni wanasayansi wenye mrengo wa kushoto na hivyo wanasukumwa na makosa ya kihistoria yaliyofanywa na watu weupe na hivyo kutaka kuonyesha kuwa watu weusi nao wamo!
 
Conjecture my dude.

Conjecture. On your part.

As long as we are conjecturing,I will venture to hazard a guess that it is also possible there were racists who were set out to prove that white people are superior, only to discover that they are actually descended from "blackpeople".

Pia,

Ukisema hivyo utakuwa unafanya kosa la kufikiri kwamba "watu weusi" hao wa asili, ndio "watu weusi' hawa wa sasa.

Wakati kuna tofauti kubwa sana.
 
Ok, fair enough. I am conjecturing. I can’t deny that.

However, they too are doing the same thing but in the guise of science.

My belief is that no one really knows for certain the origins of all the people of the world.

It’s one of those mysteries that perhaps we will never know about.
 
Sababu kwa uzao wa Nuhu tunaona makabila ya bara la ulaya wengi wametokana na Japhet naye Shem akazaa makabila mengi sana yaliyopo mashariki ya kati na asia ya leo vilevile Ham kibiblia inataja watoto wake ambao jamii zile tunaona mpaka leo ni za watu weusi ndio maana hoja hii inapata mashiko kwamba HAM ALITOA WAPI WATOTO WEUSI ???
Hiv uzao wa canaan walikuwa weusi??? Kwani canaan ni wapi
 
Back
Top Bottom