Je, hii ndio asili ya mtu mweusi?

Je, hii ndio asili ya mtu mweusi?

Mkuu kwani wewe unaamini na kukifuata kitabu gani?
Niki declare nachoamini nita compromise mada zangu za dini.... Mie ni free thinker huwa napenda kujifunza dini zote na vitabu vyote ili kupata maarifa husika. Ndio maana napinga hapo kusema Quran au Biblia ni bora kuliko vingine.
 
Niki declare nachoamini nita compromise mada zangu za dini.... Mie ni free thinker huwa napenda kujifunza dini zote na vitabu vyote ili kupata maarifa husika. Ndio maana napinga hapo kusema Quran au Biblia ni bora kuliko vingine.

Sawa mkuu
 
Habari za asbuhi great thinkers.

Moja kwa moja niende kwenye topic kuhusu nilichotafiti kwangu binafsi kwa kuconnect dots ya source mbalimbali nilizosoma naweza conclude kwamba weusi wetu ulitokea kwa CAIN kwa kupita binti yake EGYPTUS au Neitamuk kisumeria aliyeolewa na Baba wa waafrika HAM

Biblia inaeleza kwamba Cain aliwekewa ALAMA

Mwanzo 3
15 BWANA akamwambia, Kwa sababu hiyo ye yote atakayemwua Kaini atalipizwa kisasi mara saba. BWANA akamtia Kaini alama, mtu amwonaye asije akampiga.


Ingawa biblia haijaeleza hiyo alama ina maana gani ila nikakusanya dots kwenye kitabu cha jasher

Jasher 2:26-30

27 And Tubal Cain told his father to draw his bow, and with the arrows he smote Cain, who was yet far off, and he slew him, for he appeared to them to be an animal.


Huu mstari ulinifanya niamini kwamba huenda alama aliyowekewa ilimfanya Cain awe mweusi ambapo kwa kuwa rangi hiyo haikuwa imezoeleka wakahisi mnyama ndio maana wakamuua

NB: Wengine mtasema book of jasher hakipo kwenye biblia hivyo sio reliable.... Ushahidi wa kwamba lamech alimuua Cain upo pia kwenye biblia maana Mungu alisema atakayemuua kain atalipia kisasi mwanzo 4:15

15 BWANA akamwambia, Kwa sababu hiyo ye yote atakayemwua Kaini atalipizwa kisasi mara saba. BWANA akamtia Kaini alama, mtu amwonaye asije akampiga

Na unabii huu unatimia kwa lamech kuonyesha ni yeye aliyemuua Cain maana anairithi ahadi ile

Mwanzo 4
23 Lameki akawaambia wake zake,Sikieni sauti yangu, Ada na Sila;Enyi wake za Lameki, sikilizeni usemi wangu;Maana nimemwua mtu kwa kunitia jeraha;Kijana kwa kunichubua;
24 Kama Kaini akilipiwa kisasi mara saba,Hakika Lameki atalipiwa mara sabini na saba.

Hivyo basi kwakuwa Cain alikuwa mweusi hivyo naamini kizazi chake chote kilikuwa cheusi na hata binti yake egyptus ndio aliekuja kuolewa na Ham ambaye alikuwa mtoto wa Nuhu.

NB: kuna watu wanadai ham alikuwa mweusi ila cha kujiuliza kama alikua mweusi kivp baba yake yani Nuhu awe mweupe azae mweusi??

Baada ya gharika tunaambiwa na kitabu cha Abraham kwamba misri ilivumbuliwa na binti wa ham na egyptus (binti wa cain )

Book of Abraham

23 The land of Egypt being first discovered by a woman, who was the daughter of Ham, and the daughter of Egyptus, which in the Chaldean signifies Egypt, which signifies that which is forbidden;

24 When this woman discovered the land it was under water, who afterward settled her sons in it; and thus, from Ham, sprang that race which preserved the curse in the land


Ushahidi zaidi kwamba misri ilivumbuliwa na binti wa ham ipo pia kwenye biblia wanapoita misri kma HEMA LA HAM au biblia ya kiingereza LAND OF HAM soma mistari hii
Zaburi.78:51; 105:23,27; 106:22; Nyakati 1 4:40

Kitabu cha Moses ambacho kinatumika na baadhi ya makanisa duniani kinaenda mbali zaidi na kueleza rangi ya uzao wa ham ilikuaje

Book of moses 7:8

8 For behold, the Lord shall curse the land with much heat, and the barrenness thereof shall go forth forever; and there was a blackness came upon all the children of Canaan, that they were despised among all people.

Pia mstari wa 8 wa kitabu hiki unaonyesha kwamba Cain alikua mweusi na hata uzao wake ulikua wa watu weusi

Moses 7:22

22 And Enoch also beheld the residue of the people which were the sons of Adam; and they were a mixture of all the seed of Adam save it was the seed of Cain, for the seed of Cain were black, and had not place among them

Je kutokana na ushahidi huu wa vitabu vya kihistoria vya dini na nje ya dini kuna ukweli kwamba asili ya mtu mweusi ni CAIN ?? Ya kwamba alilaaniwa ndio akawa mweusi ndio maana na sisi tumekuwa weusi???

Karibuni mtiririke wana jukwaa :

Cc:
Malcom Lumumba Wick Indundu Eiyer MSEZA MUKULU Kiranga Al watan Hearly Da'Vinci Izzo mshana jr Palantir n.k
Hakuna Mtu mweusi Duniani? hivyo vitabu ulivo soma ivo vimechezewa sana na wazungu, usiamini hovyo hovyo hayo mambo, km sisi tulikuwa weusi mweupe nani ktk Biblia??

sasa unaamini Mzungu ni mweupe?

ile rangi ya kizeruzeru ni nyeupe?
Mzungu ana Melanini kiasi gani kulinganisha na mwafrika?
Wapi Biblia imemtaja Mzungu? kwa Mema? Kwanza wamo?
Hivi unajua kweli Rangi nyeusi ina fananaje wewe kijana? ni vile kma chungu cha kale, hakuna mwafrika wa hivo Dunia nzima, chunguza, ivo vitabu vilikudanganya sana, vimebadilishwa huko Vaticn, Mwafrika ameumbwa kwa udongo!! je udongo gani mweusi uliwahi ona humu Duniani? wala hakuna udongo mweusi,

Ok udongo mweupe uliwahi uona wapi?
Ok! udongo wa pink/mwekundu uliwahi uona wapi?
Neandethal ana fanana na race ya nani humu Duniani?

Well! km Adamu na Hawa walikuwa weupe waafrica walitoka wapi?? je mweupe aweza zaa mweusi? Je mweusi aweza zaa mweuspe jibu ni ndiyo Maalbino wapo wengi tu!

je Yesu alikuwa mzungu?
au alikuwa Muarabu si alizaliwa Middle East? kwa nini anaonekana mzungu?
Km alikuwa Mzungu basi n alikuwa kilema, wa ngozi km walivo wazungu!
 
Back
Top Bottom