Je, hii inawezekana kwa mtu kuwa msambazaji wa gesi ya kupikia (LPG - Liquefied Petroleum Gas) mitaani kwa njia ya Bomba !?..

Brother, hapa nazungumzia supply sio hizo mbaga nyingine ndio maana nikasema panakuwa na PPP (Public Private Partnership). Ukumbuke Serikali ndio mjenzi wa miundombinu ya Gas sababu ana interest na umma moja kwa moja upo.

Kwani hiyo Gesi hapo nyumbani wanaokuuzia wana mitaji ya US Dollar ($) ngapi mangi !?.
Ndio nakuuliza utakuwa unaitoa wapi
 
Ndio nakuuliza utakuwa unaitoa wapi
Supplier wa LPG kwani wao wanazitoa wapi hizo mitungi zikiwa na Gesi; na wanazifikishaje kwa wananchi!?.

Brother, hii ni akili sana.

Hoja yangu, ni kufanya mabadiliko kwa kuongeza ufanisi na kuacha njia za kizamani ndugu.

Ipo hivi: panajengwa tank kubwa la kawaida mtaani. Wananchi wanafungiwa bomba kama huduma ya maji ilivyo; tunakuwekea kifaa bill metre; then unafanya maisha. Unakiwa una acha njia ya kubadilisha mtungi mara kwa mara ndugu yangu.
 
Supplier wa LPG kwani wao wanazitoa wapi hizo mitungi zikiwa na Gesi; na wanazifikishaje kwa wananchi!?.

Brother, hii ni akili sana.
Unazungumzia nadharia ambayo haiwezekani bro. Gharama zitakuwa juu sana huwezi Afford .
Ku import Lpg kutoka mataifa mengine uje uweke tena miundombinu yakusambazia watu hata government haiwezi price itakuwa kubwa sana.
Ndio maana Gesi inayosambazwa kwenye nchi zilizoendelea majumbani Ni Lng ambayo na sisi tunayo.
Mfano Gesi yetu Lng composition yake ni Methane kwa 98 % sasa ni ujinga uliozidi kiwango tuache methane tutumie mabaki yake ambayo ni Propane na butane ambayo hayafiki hata asilimia mbili Kusambaza majumbani.
Hiyo Lpg unayozungumza ni mabaki ambayo ukichakata pia mafuta kwenye refinery unapata ambayo ni kiasi tu. Unahoja nzuri lakini ungebase kwenye Lng ambayo price yake inaeleweka.
Miundombinu tu ndio hiyo unasikua bilioni 800 hadi trillion 1. Pia uweke metering skid kila nyumba. Monitoring, Maintainance naona kama unaota
 
Kama wao wanahisi gharama; watoe kibali au vibali alafu tuwape show hakuna shida; kila mtu atakuwa na chakujifunza.
 
Back
Top Bottom