sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,569
- 11,490
Magufuli alikuwa tofauti na hao wote...Magufuli alipenda sana lakini pia alichukia sana.
Magufuli alikuwa mkali sana lakini pia alipenda utani sana.
Alikuwa na misimamo isiyotetereka..kwake yeye rafiki ni yule aliyependa kufanya kazi na kutanguliza mbele maslahi ya nchi..kinyume na hapo hata ungekuwa mtoto wake angekutengua tu kiuno tena bila unafiki, waziwazi.
Aliamini katika kuweza na kujiamini..alikuwa mtu mwenye uthubutu bila kujali watu wanasemaje au watamuonaje lakini ukijichanganya ukaingia kwenye kumi na nane zake anakutandika haswa..hapa anakuwa totally animal.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app