Je, Hakuna namna ya kumuondoa Spika Bungeni?

Je, Hakuna namna ya kumuondoa Spika Bungeni?

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,468
Reaction score
20,877
Wataalamu mliosoma sana tena sana sheria mpaka mkaemda LAW SCHOOL na mkaitwa wakili wasomi wekeni vifungu tufunguke, binafsi ninadhani speaker hatufai. Kura ya kutokuwa na imani naye ipite mara moja. Huyu ni ufunguo utakao fungua kudidimia kwa nchi yetu

...sheria za kumuondoa ziko vipi?
 
Wataalamu mliosoma sana tena sana sheria mpaka mkaitwa wakili wasomi wekeni vifungu tufunguke, binafsi ninadhani speaker hatufai. Kura ya kutokuwa na imani naye ipite mara moja...huyu ni ufunguo utakao fungua kudidimia kwa nchi yetu

...sheria za kumuondoa ziko vipi?
Kwanini hafai?


Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Wataalamu mliosoma sana tena sana sheria mpaka mkaemda LAW SCHOOL na mkaitwa wakili wasomi wekeni vifungu tufunguke, binafsi ninadhani speaker hatufai. Kura ya kutokuwa na imani naye ipite mara moja...huyu ni ufunguo utakao fungua kudidimia kwa nchi yetu

...sheria za kumuondoa ziko vipi?
Hakufai wewe na nani?
 
Huyu jamaa (ndugai) alichangia kwa % kubwa kuuvuruga uchaguzi mkuu uliopita. Ndio alikiwa master plan, kina mahera walikuwa wanatekeleza maagizo tu. Huyu ni kumpigia maombi tu. Jiwe alipigiwa maombi ile kwaresma Mungu akajibu maombi. Sasa Ramadhan hii ni zamu ya Ndugai, tumfungie kwa swala na dua Allah atajibu maombi. Aende zake akakae na jiwe.

Simpendi kama nini....
 
Wataalamu mliosoma sana tena sana sheria mpaka mkaemda LAW SCHOOL na mkaitwa wakili wasomi wekeni vifungu tufunguke, binafsi ninadhani speaker hatufai. Kura ya kutokuwa na imani naye ipite mara moja...huyu ni ufunguo utakao fungua kudidimia kwa nchi yetu

...sheria za kumuondoa ziko vipi?
Yaani huyu jamaa asingesoma hata darasa moja angeishia kuwa mlozi na mchawi tuu akyanani...
 
Njia moja ya kuweza kumuondoa ni kwa kufukuzwa uanachama wa ccm!!! Akifukuzwa ccm anakuwa hana chama hivyo anakuwa hana uhalali wa kuwa mbunge na spika pia!!!
Kwani kina Halima Mdee Na wenzake wako chama gani!?
 
NDUGAI ni mnafiki, fisadi hivyo hana hadhi ya kuwa mbunge na spika pia!!! Hajui Katiba anayotakiwa kuisimamia!!!
Ufisadi wake uko wapi na alikunafikia wapi? Kama hajui katiba kampe seminar elekezi haina shida usilete chuki binafsi kama charles kichele na magu hii ni nchi mzee
 
Back
Top Bottom