Je, Hakuna namna ya kumuondoa Spika Bungeni?

Je, Hakuna namna ya kumuondoa Spika Bungeni?

Wataalamu mliosoma sana tena sana sheria mpaka mkaemda LAW SCHOOL na mkaitwa wakili wasomi wekeni vifungu tufunguke, binafsi ninadhani speaker hatufai. Kura ya kutokuwa na imani naye ipite mara moja. Huyu ni ufunguo utakao fungua kudidimia kwa nchi yetu

...sheria za kumuondoa ziko vipi?
Labda kufukuzwa chama kwanza zaidi ya hapo labda umvizie pale mlangoni na kirungu umtandike cha usogoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Naibu spika ashaanza kuwatetea Covid-19
 
Wataalamu mliosoma sana tena sana sheria mpaka mkaemda LAW SCHOOL na mkaitwa wakili wasomi wekeni vifungu tufunguke, binafsi ninadhani speaker hatufai. Kura ya kutokuwa na imani naye ipite mara moja. Huyu ni ufunguo utakao fungua kudidimia kwa nchi yetu

...sheria za kumuondoa ziko vipi?
Miujiza kama ile ya Chato itaenda kutendeka. Na hapo tutakunywa bia na kudemka
 
Wataalamu mliosoma sana tena sana sheria mpaka mkaemda LAW SCHOOL na mkaitwa wakili wasomi wekeni vifungu tufunguke, binafsi ninadhani speaker hatufai. Kura ya kutokuwa na imani naye ipite mara moja. Huyu ni ufunguo utakao fungua kudidimia kwa nchi yetu

...sheria za kumuondoa ziko vipi?
Duh...!. Yamekuwa haya!.
Karibu mitaa hii
Happy New Year
P
 
Njia moja ya kuweza kumuondoa ni kwa kufukuzwa uanachama wa ccm!!! Akifukuzwa ccm anakuwa hana chama hivyo anakuwa hana uhalali wa kuwa mbunge na spika pia!!!
Umebugi.Spika sio lazima atokane na chama.
 
Umebugi.Spika sio lazima atokane na chama.

Sawa lakini huyu katokana na chama!! Wakimyang'anya kadi tu kama walivyomfanya Membe amekwisha!! Sasa Samia asifanye mchezo wa kuangalia nyani usoni kwani atavuna mabua.

Maadui zake kama hajui wana kampeni ya kumfanya adharaulike mbele ya wananchi, kuwa hana weledi hivyo hafai kuongoza nchi na hilo wamelianza kwa kumchomekea taarifa za uongo kwenye hotuba zake [kuwa Akiba ya fedha za kigeni kuwa $ Billioni 6,253] !! Zile figures alizochomekwa kwenye hotuba yake ya Mwisho wa mwaka haikuwa kwa makosa bali kwa makusudi ; aonekane kuwa hajui kitu anachosema. Huo ni mkakati ambao utaendelezwa siku zijazo!!! Mama zinduka kikulacho kinguoni mwako!
 
Kwa nini usiseme hakuna namna ya kumuondoa Rais madarakani?? Nyinyi waramba miguu mnatuletea changamoto sana! Kazi kufitinisha tu hakuna hata cha maana chochote.
Niambie mlamba makalio, Sasa hivi ataka na wakina halima mdee ndio washkaji zake wa damu..imeisha hiyo
 
Mleta uzi we na ka mkubwa gwaji mje mnitabirie kuna demu nataka nimuoe je anafaa au miyayusho!!!
 
Back
Top Bottom