Je, Dkt. Kigwangalla amekata tamaa?

Je, Dkt. Kigwangalla amekata tamaa?

It seems you are highly ignorant, learn...

Basic articles of faith
Muslims have six main beliefs.

  • Belief in Allah as the one and only.
  • Belief in angels
  • Belief in the holy books
  • Belief in the Prophets...
    • e.g. Adam, Ibrahim (Abraham), Musa (Moses), Dawud (David), Isa (Jesus).
    • Muhammad (peace be upon him) is the final prophet.
  • Belief in the Day of Judgement...
    • The day when the life of every human being will be assessed to decide whether they go to heaven or hell.
  • Belief in Predestination...
    • That Allah has the knowlege of all that will happen.
    • Muslims believe that this doesn't stop human beings making free choices.
Allah
Hivi ndugu waislam hivi kwann mkikamatwa pabaya mnaanza kuingiza udini? Unajuwa tuna wamonito mda mrefu ina maana wakrsito hawatumbuliw ? Acheni hii mambo bana
 
Hivi ndugu waislam hivi kwann mkikamatwa pabaya mnaanza kuingiza udini? Unajuwa tuna wamonito mda mrefu ina maana wakrsito hawatumbuliw ? Acheni hii mambo bana
Kama wewe huna dini si tatizo letu hilo.

Kwani Tanzania ni haramu kuwa na dini? Au unaota?
 
It seems you are highly ignorant, learn...

Basic articles of faith
Muslims have six main beliefs.

  • Belief in Allah as the one and only.
  • Belief in angels
  • Belief in the holy books
  • Belief in the Prophets...
    • e.g. Adam, Ibrahim (Abraham), Musa (Moses), Dawud (David), Isa (Jesus).
    • Muhammad (peace be upon him) is the final prophet.
  • Belief in the Day of Judgement...
    • The day when the life of every human being will be assessed to decide whether they go to heaven or hell.
  • Belief in Predestination...
    • That Allah has the knowlege of all that will happen.
    • Muslims believe that this doesn't stop human beings making free choices.
Allah
We mama mada ya kisiasa umeiharibu na kupachika mambo ya kidini bila hata aibu !
 
We mama mada ya kisiasa umeiharibu na kupachika mambo ya kidini bila hata aibu !
Muislam cha kwanza (primary) ni Uislam, mengine yote yanafatia.

Uislam ni kwa Walimwengu wote, na wewe ukiwemo, na asiyefata mafundisho ya Uislam ni kafiri.

Huwezi kumtisha Kigwangwala kwa cheo kwani kama Muislam ni qajib wake kuitumikia jamii awe au asiwe waziri. Na majibu yake juu hapo yanaashiria hayo. Kumbuka hilo.
 
Sasa Raisi atataka kuwaonyesha kuwa yy hafundishwi kazi hivyo hatamtumbua. Huu mstari utamuokoa "mimi siogopi kutumbuliwa"
 
Huyo unaye muelewesha unajisumbua bure maana akili zake alisha zikabidhi kwa chakubanga tangu 2015
Kigwanga hizo Tsh 2.58 bil alitakiwa kuziombea IDHINI ya Bunge kuzitumia kupitia SHERIA ya MAREKEBISHO ya MATUMIZI ya Wizara yake. Na huko bungeni CCM ina majority, wangempitishia tu na kumuachia azitumie atakavyo. Kigwanga hata hilo HAJUI? Kwa kweli HAELEWI Governance at ALL! Soma maana ya WIZI kwenye Penal Code.

In God we Trust
 
Back
Top Bottom