Je, Dkt. Kigwangalla amekata tamaa?

Je, Dkt. Kigwangalla amekata tamaa?

Hivi unapoandika kila wakati "bwashee" unaamnisha "Bashe" au "Bwana Shemeji". Na ikiwa ni ndivyo huwa una maana gani kuwaita watu wote humu "Bashe" au "Bwana Shemeji"? Swali la ufahamu tu hebu tujibu tukuelewe
Ni sawa tu kama nikikuita ngosha au Segito......kuna ubaya wowote?
 
Hi mbona kama kauli ya kutia huruma?

Kwa hiyo wote wanaojitoa katika utimishi wao wakienda nje ya utaratibu eti kwa sababu ya kututumikia sisi tusio na shukran hii nchi itakuwaje?

Waziri mwenye hadhi ya udokta kweli haya ni maneno ya kuwajibu wananchi kweli?

Du!!! Kweli awamu ya 5 mmepoteza dira kiasi cha kutaka kuhalalisha na kulazimisha maendeleo nje ya utaratibu.

Kwa staili hii ni ngumu sana kuifikia nchi ya ahadi ase!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuna shukran kwa privilege zote anazopata si kodi zetu au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kauli kama vile anamtisha Magu, yani anadai haogopi kutumbiliwa, pia uwaziri sio fursa kwake? amechoka kuwatumia watz?kwani nafasi ya uwaziri alipigiwa kura au aliteuliwa? Hii ni dharau sana kwa mamlaka ya uteuzi iliyomteua
 
Ameona mwaka huu sababu ya Corona kwny utalii hakuna 'high season' so hakuna hela itaingia huko kwny wizara yake so bora atumbuliwe tu maana hana cha kupoteza.
 
Hii kauli kama vile anamtisha Magu, yani anadai haogopi kutumbiliwa, pia uwaziri sio fursa kwake? amechoka kuwatumia watz?kwani nafasi ya uwaziri alipigiwa kura au aliteuliwa? Hii ni dharau sana kwa mamlaka ya uteuzi iliyomteua
Aah kumbe uwaziri siyo kazi ya kuomba? Anaekuteuwa ndiye anakuomba umsaidie au siyo?
 
Mteuzi ni Allah?
Hii ni serikali ya Allah?
Theocracy regime ilianza lini?
It seems you are highly ignorant, learn...

Basic articles of faith
Muslims have six main beliefs.

  • Belief in Allah as the one and only.
  • Belief in angels
  • Belief in the holy books
  • Belief in the Prophets...
    • e.g. Adam, Ibrahim (Abraham), Musa (Moses), Dawud (David), Isa (Jesus).
    • Muhammad (peace be upon him) is the final prophet.
  • Belief in the Day of Judgement...
    • The day when the life of every human being will be assessed to decide whether they go to heaven or hell.
  • Belief in Predestination...
    • That Allah has the knowlege of all that will happen.
    • Muslims believe that this doesn't stop human beings making free choices.
Allah
 
Back
Top Bottom