NEGAN
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 648
- 1,446
Ule mchuano mkali uliodumu kwa takribani miaka 18 wa wanasoka nguli kuwahi kutokea duniani wenye vipaji vya hali ya juu hatimaye unaelekea ukingoni.
Si mwingine bali ni mchuano kati ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.
Cristiano Ronaldo anasema umefika wakati sasa mashabiki kukubali ukweli kuwa wakati ni ukuta kwa kiingerea unaweza kusema"Magic era has come to an end"
Wote hawa wanaheshimiana sana Ronaldo adai hajawahi kumchukia Messi. Vile vile Messi anamuheshimu sana Cristiano Ronaldo.
Wote kwa pamoja wameshinda mataji mengi na kushinda tuzo nyingi zikiwemo tuzo 12 za ballon d'or kwa pamoja.
Messi ameshinda kombe la dunia na hivi karibuni ametajwa kuwania tuzo ya Ballon d'or kwa mwaka 2023 huku akipewa chapuo la kushinda tuzo yake ya 8 ya Ballon d'or mbele ya Erling Haaland wa Manchester City ambaye naye alikua na msimu bora sana.
Era has come to an end.

Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?
Messi better than Ronaldo - Cole Chelsea's Joe Cole says Barcelona's Lionel Messi is ahead of Manchester United star Cristiano Ronaldo as the best player in the world. Source: BBC Sport|Football Mimi binafsi nakubaliana kabisa na maneno ya Joe Cole hapo juu, Messi anatisha! Nakumbuka wakati...
www.jamiiforums.com