Regent
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 2,306
- 3,576
- Thread starter
- #81
Unachanganya Chui(Leopard) na Duma(Cheetah).ila mi naona kumuuwa chui Hawa cheetah ni rahisi maana Wana tabia ya kuwinda kwa kunyemelea na akikukaribia ndo anajitokeza ili ukimbie anakujaza hofu kabla ya kukushambulia ila akitokea ukatulia na yeye anabak anazubaa anapata hofu anaona huy jamaa anajiamin nn? Yan hivyo hivyo hata akiwa anawinda nyati akifika karibu na nyat kama nyat katulia na yeye chui anazubaa
Cheetah ndio mwenye tabia hizo kwasababu katika wanyama walanyama cheetah ndio mdhaifu anazinguliwa hadi na fisi ila sio
Leopard huyo ni Badass anaroho mbaya fisi mwenyewe anamuheshimu hana haja ya kukutisha ukimbie yeye anakuvaa mzimamzima