Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Once a Python realizes that it has encountered a lion....it is already too late. Lions take down every animal in the animal kingdom whether it's a squirrel or an elephant. Although they hunt as a group to bring down bigger animals. A full grown male lion can take down a full grown Cape buffalo by himself so a 25 ft Python is nothing to big cats.
[emoji111]️

Naked truth
 
Kwa sababu mwili wake ni misuli mitupu
Labda upate msaada kwa watu wengine, kuna episode moja Nat Geo wanafanya expirement mtu akiwa amebanwa hadi kumezwa ile process basi mzungu hapo amevaa mavazi Special yatamsaidia asidhurike na nyute za chatu na pia asi suffocate, wakaweka camera kwa helmet pia, sikuimalizia, jaribu kucheki YouTube iko hataree yaani wazungu wana ufala sana. Wanatesa wanyama kisa experiment za kingese. 😂😂😂 Hiyo kazi hata millioni sifanyi, yaani niliwe live, aha pesa zina shida 😂
✌️
 
Huku hakuna misitu pale morogoro, sema amazon kubwa wana wigo mpana wa kutembea, hapa morogorp chap wapo kitaaa
Hapo sasa, fisi, simba, ndovu nk wenyewe wanafika mtaani saa zingine, sasa hao jaguar hawatoshindwa kula mbuzi wote 🤣🤣🤣 Alafu Amazon Forest ni refu, limejaa miti fresh, wanyama kila aina wa kutafunwa hadi mtoni anapita nao Jaguar hapana tabua, pia mvua tele kule msituni, sio ka huku kwetu mara mvua inye mara isinye, ndo maana tukapata wonder of the wild (migration ya wildebeest kutoka KE hadi Tz) yoyote hii mvua ndio chanzo,lakini Amazon pale hawatoki, full msosi land hadi deep sea 😂
✌️
 
Kiswahili kina misamiati michache , hivyo ni lugha amabayo haijitoshelezi , hata unapotafsri toka kingereza kwenda Kiswahili ukienda neno Kwa neno lazima usande , sometyme inabid usikilize senetesi nzima ili upate maana kamili ......

Kuna mnyama anaitwa Paka , wote tunamfahamu mana tukisema Paka moja Kwa moja akili inaenda Kwa Paka wa nyumbani , lakni neno Hilo ni mjumuisho wa wanyama wa Aina hyo na sifa hzo kama za Paka wa nyumbani na wala hawafanani kwa kila kitu Ila Wana common characteristics ( watu waliosoma animal science au Tourism watanisaidia) ... Kuna small cats na hapa ndo Paka wetu wa nyumbani anaangukia ( indoor cats) na wengineo kama Paka shume n.k...kuna medium size cats mfano Caracaras ( Kiswahili hapa sjui kinasemaje).... Na kuna big cats , hapa tuna Lion ( Simba ) , Jaguar (Kiswahili kinamis ) , Tiger ( Kiswahili kinamis pia) , Cheetah ( Duma), Leopard ( chui)..... N.k

Mfano wa Big cats
Simba ,( Lion) Chini[emoji39][emoji3]
View attachment 1732897


View attachment 1732898

Jaguar
View attachment 1732899
Black jaguar kama wa kwenye movie ya Apocalipto
View attachment 1732905

Tiger
View attachment 1732904

Leopard ( Chui ) Vanny boy mtu mbaya [emoji3][emoji3]
View attachment 1732903

Cheetah (Duma)
View attachment 1732900

View attachment 1732902

N.k
𝐇𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚 𝐦𝐤𝐮𝐮 𝐋𝐞𝐨𝐩𝐚𝐫𝐝 𝐧𝐚 𝐓𝐢𝐠𝐞𝐫 𝐰𝐨𝐭𝐞 𝐧𝐢 𝐕𝐲𝐮𝐢 [emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]

𝐋𝐞𝐨𝐩𝐚𝐫𝐝 𝐧𝐢 𝐂𝐡𝐮𝐢 𝐦𝐚𝐝𝐨𝐚 𝐧𝐚 𝐓𝐢𝐠𝐞𝐫 𝐧𝐢 𝐂𝐡𝐮𝐢 𝐦𝐢𝐥𝐢𝐚 (𝐦𝐢𝐬𝐭𝐚𝐫𝐢 𝐦𝐢𝐬𝐭𝐚𝐫𝐢)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Chatu huyo basi ulale flat chini, hivi hujipendi kumbe. Chatu atakupa love bites za kutosha hatari hata kama hana sumu lakini maumivu utapata na hushambulia faster kama nyoka wengine wafanyavyo, ndio maana ukitaka kumkamata unashika mkia ndio um'burute, ukienda mbele yake tu, ana strike miguu au hata mikono, hiyo ndio defense technique yake pamoja na hiyo ya ku kuzunguka na kumeza mzima mzima.
𝐃𝐚𝐚𝐡 𝐂𝐡𝐚𝐭𝐮 𝐚𝐧𝐚𝐳𝐢𝐧𝐠𝐮𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚 [emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]
 
Kweli, chatu hana issue kwa binadamu. Hata huku KE visa vingi vya watu kupoteza maisha kupitia wanyama pori ni vya 'Mamba', 'Kiboko', na Nyoka hawa wa sumu.
✌️
Kwahiyo hata umpitie karibu chatu uwe ujamuona anaweza akakuacha
 
Back
Top Bottom