Unaota, Now Lets Go, Magufuli Unafiki wake Unanuka zaidi ya Maiti Iliyooza. Na Hata akiwa Mbele yangu Nitamwambia Kinomanoma, Si Huwa anapenda Kuwapa Wakondorasi na Wengine Live, Sasa Mimi Jeuri yangu Ni Mara 100% Magufuli ameshajiinua Kama mungu CCM Mnamwabudu, Mnafikiri Na wengine Tunamwabudu au Kumwogopa, Mimi simwogopi Magufuli as wala Simkopeshi as Long as anaendeleza Hila, Unafiki, Siasa za Maji Taka na Uwongo, Vitisho. Mimi Nitampinga hata Face to face The F! Ati Tuogope Kumtaja, Pope Anatajwa Obama anapigwa Kinomanoma pamoja na Kukali Kiti cha Rais Mwenye Nguvu Kuliko Wote Duniani, akina Putin etc wanatajwa ati Tumwogope Kumtaja nani? Magufuli? Who is he Katika Safu ya Viongozi Doniani? He is Nobody but a man like me n you. Mwabudu wewe!