bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,902
- 10,691
Acha kujipa marks ili watu tukuone wa maana, mawazo yako yamekaa kulinda linda tumbo lako maana mshazoea kupitisha bakuli la saidia baba kwa mshika sime wa nchiKama Mtu Mwenye Kampuni ya Ujenzi wa Umeme wa Usongo wa Viwanda, USA na anatengeneza Miradi angalau Mitano kwa Mwaka yenye wastani wa $Milioni 11, ana njaa Basi Ninanjaa Mpaka Inatisha. Somebody give me a bucket! Usiseme tena Vitu Bila Data Unajiaibisha Kunguni wangu wa Lumumba masikini wa Shetani!