Je, CHADEMA wamebariki vitendo vya kumkashifu Rais?

[QUOTE="babylata, post: 17826173, membe ]Huyo mwenye plastic anakosa hata kufikiri amkalishe nani chini[/QUOTE]
Amkalishe nani!!?
Kuna sehemu umenukuu kumkalisha MTU!?
 
Kwa mfano Dennis Wilson kamtaja wapi Rais? Kamtaja JPM. Sasa yaweza kuwa "Jeuri ya Pombe-Majitaka" au "Jeuri ya Pombe-Mateke) au kwa hitimisho baya kabisa "Jitu Punguani Mjini" .Sasa lina uhusiano gani na Rais kisheria?

Lissu ni Wakili na katiba ya Chadema inamtaka kila mwanachama kukataa uonevu na kupigania haki

Sasa Lissu ni Mwanasheria mkuu lazima aoneshe umaahiri kama alivyofanya mahakamani leo na Mahakama kukubali kuwa JPM aweza kuwa "Magufuli".Kesi ikatupiliwa sio mbali tu bali kuzimu
Makosa ya kiongozi na mwanachama wake yanafanana! Si ajabu kusikia hata kua resources za kuendesha shughuli zote mbili zinatoka sehemu moja!
 
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, amekua mmoja wa mawakiliwa utetezi katika kesi inayomkabili mwanachama wake bwn Wilson ya kumkashifu Mh. Rais.

Kitendo cha ushiriki wa kiongozi wa juu kabisa wa chadema ambaye naye anashtakiwa kwa kosa kama hilo, ni kiashiria tosha kua uongozi wa CHADEMA umebariki uwepo wake katika kesi hiyo na vile vile kubariki kitendo chenyewe.

Kama ni kweli CHADEMA imebariki ushiriki wa lisu katika shauri hilo, napata mashaka na aina ya utawala watakayokua mayo watu hawa kama ikitokea wakashika dola.

Nashindwa kupata picha pindi watakachoongoza CHADEMA wataruhusu matusi na kashfa kwa Rais wao.

Nakosa maneno ya kuelezea jambo hili, kwani haliingii akilini kabisa kwa chama kinachotaka kushika dola, kubariki vitendo vya kihuni kama hivyo!

Ama CHADEMA ijitenge na vitendo hivyo, ama ituambie ipo began kwa bega na wahalifu!
Kwanza uelewe kua Tundulisu kazi yake ni wakili hata wewe unaweza kumtumia kwenye Kesi yako mladi makubariano tu (pesa) kwenye kazi yake haihusiani na CHADEMA hiyo moja,na pili je wewe unauhakika gani kama yule jamaa Wilson alimkashifu Rais?nipe kifupi cha majina Magufuli acha unazi wewee
 
Kwa mfano Dennis Wilson kamtaja wapi Rais? Kamtaja JPM. Sasa yaweza kuwa "Jeuri ya Pombe-Majitaka" au "Jeuri ya Pombe-Mateke) au kwa hitimisho baya kabisa "Jitu Punguani Mjini" .Sasa lina uhusiano gani na Rais kisheria?

Lissu ni Wakili na katiba ya Chadema inamtaka kila mwanachama kukataa uonevu na kupigania haki

Sasa Lissu ni Mwanasheria mkuu lazima aoneshe umaahiri kama alivyofanya mahakamani leo na Mahakama kukubali kuwa JPM aweza kuwa "Magufuli".Kesi ikatupiliwa sio mbali tu bali kuzimu
[emoji1] [emoji2] [emoji3]
 
WAMEMPA WEMBE AJIKATE NAO NA ANAJIKATA KWELI KWELI NZURI ZAIDI ANAKATA ADI WANACHAMA WANYWA MAJI YA BENDERA YA KIJANI WAFIA CHAMA KAMA WEWE
 
Huwezi kutetea ushoga Mahakamani kisa wewe ni wakili wa kujitegemea bila kutiliwa shaka kuwa na wewe ni shoga...tusitetee ujinga.

Wewe ndiye mjinga lakini hujijui kuwa ni mjinga!!

Wauji wenyewe wanatetewa mahakamani, sembuse ushoga au kukosolewa kwa "mtukufu" wenu huyu!!??
 
Mkuu, thinking process yako ikufikirishe kutofautisha njaa uliyo nayo na haki. Njaa uliyo nayo inaweza kukufanya ukatema pumba zote hizi. Haki iko hivi, leo hii wewe ni jambazi, umemuua Dada yako. Kesi ipo mahakamani ya mauaji. Serikali itakupa wakili bila hata kutoa senti tano akutetee ili Upate haki yako. Sasa jiulize, serikali ndio ilikutuma ukamuue Dada yako?

Utamfanya "Stroke" apigwe na "stroke" bure kwa maswali haya!!

Hawezi kujibu huyu na hawezi kurudi milele na akirudi, atarudi kwa sura nyingine!!
 
Wewe mwanangu mjingamjinga ******** kama unajua sheria na una uhakika JPM ndo jina la Rais si uende mahakamani! Anyway, hata wajinga wenzio nasikia wameondoka naye tena! Lissu amesema aliyetukanwa ni Magufuli!

....na huyo JPM = Magufuli hajawahi kujitokeza kulalamika kutukanwa si central police au kile cha Buguruni!!
 
Kwa mfano Dennis Wilson kamtaja wapi Rais? Kamtaja JPM. Sasa yaweza kuwa "Jeuri ya Pombe-Majitaka" au "Jeuri ya Pombe-Mateke) au kwa hitimisho baya kabisa "Jitu Punguani Mjini" .Sasa lina uhusiano gani na Rais kisheria?

Lissu ni Wakili na katiba ya Chadema inamtaka kila mwanachama kukataa uonevu na kupigania haki

Sasa Lissu ni Mwanasheria mkuu lazima aoneshe umaahiri kama alivyofanya mahakamani leo na Mahakama kukubali kuwa JPM aweza kuwa "Magufuli".Kesi ikatupiliwa sio mbali tu bali kuzimu
Duh! Nyie ndio mnawaharibia ukawa. Kwa staili hii ya uandishi, ni ngumu sana kupewa uongozi wa nchi na watu wanaojielewa
 
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, amekua mmoja wa mawakiliwa utetezi katika kesi inayomkabili mwanachama wake bwn Wilson ya kumkashifu Mh. Rais.

Kitendo cha ushiriki wa kiongozi wa juu kabisa wa chadema ambaye naye anashtakiwa kwa kosa kama hilo, ni kiashiria tosha kua uongozi wa CHADEMA umebariki uwepo wake katika kesi hiyo na vile vile kubariki kitendo chenyewe.

Kama ni kweli CHADEMA imebariki ushiriki wa lisu katika shauri hilo, napata mashaka na aina ya utawala watakayokua mayo watu hawa kama ikitokea wakashika dola.

Nashindwa kupata picha pindi watakachoongoza CHADEMA wataruhusu matusi na kashfa kwa Rais wao.

Nakosa maneno ya kuelezea jambo hili, kwani haliingii akilini kabisa kwa chama kinachotaka kushika dola, kubariki vitendo vya kihuni kama hivyo!

Ama CHADEMA ijitenge na vitendo hivyo, ama ituambie ipo began kwa bega na wahalifu!

Kwanza ufahamu kuwa Tundu ni wakili. Kila mtuhumiwa ana haki ya kuwakilishwa/ kutetewa akiwa na kesi. Ina kwenda mbali kabisa kuwa kama hana wakili kwa makosa fulani serikali inapaswa kumwekea wakili mshitakiwa huyo. Pili, kabla hata huyo mtu hajapatikana na hatia wewe umeshamhukumu. Akishinda kaesi yake utasema nini? Ngoja kwanza mahakama iseme kama yaliyotolewa ni matusi au la.
 
Duh! Nyie ndio mnawaharibia ukawa. Kwa staili hii ya uandishi, ni ngumu sana kupewa uongozi wa nchi na watu wanaojielewa
Upo sahihi kabisa mkuu, hawajielewi kua hawajielewi.
 
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, amekua mmoja wa mawakiliwa utetezi katika kesi inayomkabili mwanachama wake bwn Wilson ya kumkashifu Mh. Rais.

Kitendo cha ushiriki wa kiongozi wa juu kabisa wa chadema ambaye naye anashtakiwa kwa kosa kama hilo, ni kiashiria tosha kua uongozi wa CHADEMA umebariki uwepo wake katika kesi hiyo na vile vile kubariki kitendo chenyewe.

Kama ni kweli CHADEMA imebariki ushiriki wa lisu katika shauri hilo, napata mashaka na aina ya utawala watakayokua mayo watu hawa kama ikitokea wakashika dola.

Nashindwa kupata picha pindi watakachoongoza CHADEMA wataruhusu matusi na kashfa kwa Rais wao.

Nakosa maneno ya kuelezea jambo hili, kwani haliingii akilini kabisa kwa chama kinachotaka kushika dola, kubariki vitendo vya kihuni kama hivyo!

Ama CHADEMA ijitenge na vitendo hivyo, ama ituambie ipo began kwa bega na wahalifu!

Kikatiba na kisheria ni mahakama pekee inayoweza kudhibitisha kosa na kutoa adhabu. Hivyo basi pale unamfungulia mtu shitaka lolote mahakamani ni LAZIMA vile vile uwe tayari kuwa na ushahidi wa kudhibitisha shitaka lako bila kuacha shaka yoyote.
Kwa kesi hii ni juju ya Jamhuri (Polic) kuidhibitishia mahakama kosa hilo alilotenda Wilson bila kuacha shaka yoyote, na kwa jinsi hiyo basi Lisu hana cha kuisaidia Polisi kwa hili maana si yeye aliyefungua shauri.
 
Back
Top Bottom