Je, CHADEMA wamebariki vitendo vya kumkashifu Rais?

Je, CHADEMA wamebariki vitendo vya kumkashifu Rais?

Mkuu, thinking process yako ikufikirishe kutofautisha njaa uliyo nayo na haki. Njaa uliyo nayo inaweza kukufanya ukatema pumba zote hizi. Haki iko hivi, leo hii wewe ni jambazi, umemuua Dada yako. Kesi ipo mahakamani ya mauaji. Seeikali itakupa wakili bila hata kulia senti tano ikutetee ili Upate haki yako. Sasa jiulize, seeikali imekutuma ukamuue Dada yako?
Kama Mtu Mwenye Kampuni ya Ujenzi wa Umeme wa Usongo wa Viwanda, USA na anatengeneza Miradi angalau Mitano kwa Mwaka yenye wastani wa $Milioni 11, ana njaa Basi Ninanjaa Mpaka Inatisha. Somebody give me a bucket! Usiseme tena Vitu Bila Data Unajiaibisha Kunguni wangu wa Lumumba masikini wa Shetani!
 
Kama Mtu Mwenye Kampuni ya Ujenzi wa Umeme wa Usongo wa Viwanda, USA na anatengeneza Miradi angalau Mitano kwa Mwaka yenye wastani wa $Milioni 11, ana njaa Basi Ninanjaa Mpaka Inatisha. Somebody give me a bucket!
Njaa njaa tu. Pro-pesa amefanya kazi na UN, IMF, WB na International Organizations ngapi na bado anajidhalilisha kwa kuhongwa vi pesa vidogo na chama twawala?
 
Kwahio hapo umejiona umeandika mambo ya maanaa na kuona utaungwa mkono na watu wenye akili zao...mtu makini hashaabikii ujinga...ndio maana unaendelea kukaa hapo kisiasa unapiga 'makitaimu' kwakuwa hutaki kujitambua na kujua kuwa hata hao mabosi wako wana adabu kwa Rais ingawa wanakutumia bila wewe kujua...
Wewe umefika wapi? Afadhali hata mwenzio anajulikana hiyo nayo ni step
 
Huwezi kutetea ushoga Mahakamani kisa wewe ni wakili wa kujitegemea bila kutiliwa shaka kuwa na wewe ni shoga...tusitetee ujinga.
Wanatetea wauaji sembuse mashoga?
 
Naweza Kuandika Cheki ya Pesa za Madafu Nikakulipa Wewe na huyo Lipumbavu, hela ya Kutosha ninyi, watoto wenu, vimada wenu, mle, mnywe mnye bure kabisha mpaka mtakapokufa, Na wala nisijisikie hata senti Imetoka Katika account yangu. Hivi Hata Umeshaota Ndoto ya Kuwa na $ 1,000,000? Nikusaidie Ni Kama Tsh. 2,650,000,000 sasa Mimi Nachuma Mpunga wa agalau $ Mil. 3.5 kwa mwezi. Unaniambia Nina Njaa Una laana? Mimi sijivuni Ila Niko na Pesa Mingi sana. Sijionyeshi wala Kujivuna lakini Ukiniletea Ujinga Njikeri Mbicho N'dede!
Acha sound
 
Mlio na fikra za aina hii ya kwako mnanunua "mapanga nshaa!" wenzenu wananunua ndege za maana.

Wanatetewa wauaji, wabakaji, wezi, majambazi sembuse mashoga!!!?

Huwezi kutetea ushoga Mahakamani kisa wewe ni wakili wa kujitegemea bila kutiliwa shaka kuwa na wewe ni shoga...tusitetee ujinga.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwaiyo ukimsema JPM vibaya ni kesii?[emoji87] [emoji87]
 
Wewe mwanangu mjingamjinga ******** kama unajua sheria na una uhakika JPM ndo jina la Rais si uende mahakamani! Anyway, hata wajinga wenzio nasikia wameondoka naye tena! Lissu amesema aliyetukanwa ni Magufuli!
Hiyo ndio hoja ya mtoa mada kama cdm mnahalalisha vitendo vya kuhuni?Kutukana MTU kwenu no halali?Haijalushi haiba ya mtukanwa.
 
Kwahiyo, wakili anayemtetea jambazi naye ni jambazi????
 
John Pascal mwasandube Mbona hakulalamiki? Wanasheria Wa sirikali waache udwanzii lisu so wakili Wa mchezo wataxidi kugaragazwa
 
Hawaawakili wa serikali ni bush lawyers sijui? Kwenye mtihani huwezi ukaandika UN tu akaf ukamwambia mwalimu nilimaandisha united nations au JFK et useme nilimaanisha john Fitzgerald Kennedy...... Haikubaliku un inaeza kitu kingine pia au JFK inaeza James frank Keane ......
 
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, amekua mmoja wa mawakiliwa utetezi katika kesi inayomkabili mwanachama wake bwn Wilson ya kumkashifu Mh. Rais.

Kitendo cha ushiriki wa kiongozi wa juu kabisa wa chadema ambaye naye anashtakiwa kwa kosa kama hilo, ni kiashiria tosha kua uongozi wa Chadema umebariki uwepo wake katika kesi hiyo na vile vile kubariki kitendo chenyewe.

Kama ni kweli Chadema imebariki ushiriki wa lisu katika shauri hilo, napata mashaka na aina ya utawala watakayokua mayo watu hawa kama ikitokea wakashika dola.

Nashindwa kupata picha pindi watakachoongoza chadema wataruhusu matusi na kashfa kwa Rais wao.

Nakosa maneno ya kuelezea jambo hili, kwani haliingii akilini kabisa kwa chama kinachotaka kushika dola, kubariki vitendo vya kihuni kama hivyo!

Ama chadema ijitenge na vitendo hivyo, ama ituambie ipo began kwa bega na wahalifu!
Washike dola Nchi gani? Wataishia kutetea kesi kama hizo basiiiiii!
 
Concept ya ujumbe wa Wilson?Na pia kesi inaweza kurudishwa tena mahakamani baada ya hati ya mashitaka kurekebishwa
 
Umesahau kama hiyo ni kazi ya Lisu inayomwingizia pesa, hata kama wewe unakesi mpe mpunga uone kama hatakutetea acha ushabiki mandazi
 
Dawa yenu iko jikoni wanafiki na wehu nyie chama mfu chadema. Mmelaaniwa kwa kupungukiwa na akili na sasa hamjitambui. Na lazima tuwakomeshe kwa njia yeyote maana nyumbu hata kama akiona mamba hudhani gogo, wanasukumana tu kutaka kuvuka mto na hatimaye huuawa kwa kudakwa mmoja baada ya mwingine.
 
Kwa mfano Dennis Wilson kamtaja wapi Rais? Kamtaja JPM. Sasa yaweza kuwa "Jeuri ya Pombe-Majitaka" au "Jeuri ya Pombe-Mateke) au kwa hitimisho baya kabisa "Jitu Punguani Mjini" .Sasa lina uhusiano gani na Rais kisheria?

Lissu ni Wakili na katiba ya Chadema inamtaka kila mwanachama kukataa uonevu na kupigania haki

Sasa Lissu ni Mwanasheria mkuu lazima aoneshe umaahiri kama alivyofanya mahakamani leo na Mahakama kukubali kuwa JPM aweza kuwa "Magufuli".Kesi ikatupiliwa sio mbali tu bali kuzimu
Ujanja mwingi mbele giza.
Endeleeni na msimamo huo huo, waswahili wanasema mkataa pema pabaya panamwita.
 
Dawa yenu iko jikoni wanafiki na wehu nyie chama mfu chadema. Mmelaaniwa kwa kupungukiwa na akili na sasa hamjitambui. Na lazima tuwakomeshe kwa njia yeyote maana nyumbu hata kama akiona mamba hudhani gogo, wanasukumana tu kutaka kuvuka mto na hatimaye huuawa kwa kudakwa mmoja baada ya mwingine.
Umeandika nini mkuu ? Ukitaka uheshimiwe jiheshimu kwanza e.g.
Huwezi ita watoto wa wenzio vil aza wakati na wakwako naye yuko hapo kwa njia isiyoeleweka. Wazazi wenzio wari act vipi ?
 
Dawa yenu iko jikoni wanafiki na wehu nyie chama mfu chadema. Mmelaaniwa kwa kupungukiwa na akili na sasa hamjitambui. Na lazima tuwakomeshe kwa njia yeyote maana nyumbu hata kama akiona mamba hudhani gogo, wanasukumana tu kutaka kuvuka mto na hatimaye huuawa kwa kudakwa mmoja baada ya mwingine.
Kumbe Lisu kagaragaza wengi, punguza jazba mkuu
 
Back
Top Bottom