Je, CHADEMA wamebariki vitendo vya kumkashifu Rais?

Umeandika nini mkuu ? Ukitaka uheshimiwe jiheshimu kwanza e.g.
Huwezi ita watoto wa wenzio vil aza wakati na wakwako naye yuko hapo kwa njia isiyoeleweka. Wazazi wenzio wari act vipi ?
Wewe na wenzako hamna akili, mmelaaniwa! Huwezi kuruhusu mtu asiye na sifa chuoni. Mbona vyuo vikuu wengi wamefukuzwa vyuoni baada ya kuingia bila sifa! Iweje udom waachwe? Mbona wafanyakazi waliofoji wameondolewa, iweje udom waachwe. Kwanza najibizana na mtu wewe ambaye ni kichaa huwezi elewa
 
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, amekua mmoja wa mawakiliwa utetezi katika kesi inayomkabili mwanachama wake bwn Wilson ya kumkashifu Mh. Rais.

Kitendo cha ushiriki wa kiongozi wa juu kabisa wa chadema ambaye naye anashtakiwa kwa kosa kama hilo, ni kiashiria tosha kua uongozi wa Chadema umebariki uwepo wake katika kesi hiyo na vile vile kubariki kitendo chenyewe.

Kama ni kweli Chadema imebariki ushiriki wa lisu katika shauri hilo, napata mashaka na aina ya utawala watakayokua mayo watu hawa kama ikitokea wakashika dola.

Nashindwa kupata picha pindi watakachoongoza chadema wataruhusu matusi na kashfa kwa Rais wao.

Nakosa maneno ya kuelezea jambo hili, kwani haliingii akilini kabisa kwa chama kinachotaka kushika dola, kubariki vitendo vya kihuni kama hivyo!

Ama chadema ijitenge na vitendo hivyo, ama ituambie ipo began kwa bega na wahalifu!
Kabla ya kuandika post Jihoji . Usipende uchochezi dhidi ya Rais. Rais ni high authority ya kuheshimu.
 
Wewe na wenzako hamna akili, mmelaaniwa! Huwezi kuruhusu mtu asiye na sifa chuoni. Mbona vyuo vikuu wengi wamefukuzwa vyuoni baada ya kuingia bila sifa! Iweje udom waachwe? Mbona wafanyakazi waliofoji wameondolewa, iweje udom waachwe. Kwanza najibizana na mtu wewe ambaye ni kichaa huwezi elewa
Achana naye huyo kaka. Linaonekana ni jinga lililokubuhu lisilofundishika! Hao wamechanganyikiwa na sasa kazi ni kutetea hata wanaomtukana Rais! Ndio wapewe dola watu wa namna hii?
 
Kwa mfano Dennis Wilson kamtaja wapi Rais? Kamtaja JPM. Sasa yaweza kuwa "Jeuri ya Pombe-Majitaka" au "Jeuri ya Pombe-Mateke) au kwa hitimisho baya kabisa "Jitu Punguani Mjini" .Sasa lina uhusiano gani na Rais kisheria?

Lissu ni Wakili na katiba ya Chadema inamtaka kila mwanachama kukataa uonevu na kupigania haki

Sasa Lissu ni Mwanasheria mkuu lazima aoneshe umaahiri kama alivyofanya mahakamani leo na Mahakama kukubali kuwa JPM aweza kuwa "Magufuli".Kesi ikatupiliwa sio mbali tu bali kuzimu

Sikumbuki alisema maneno gani, all in all, wilson was objecting uvunjaji wa sheria unaofanywa na mamlaka. Hii ni nzuri kukataa uvunjaji wa sheria
 
Njaa njaa tu. Pro-pesa amefanya kazi na UN, IMF, WB na International Organizations ngapi na bado anajidhalilisha kwa kuhongwa vi pesa vidogo na chama twawala?
Una ushahidi wewe? Mkitakiwa mtoe ushahidi mnajinyea!
 
Wewe na wenzako hamna akili, mmelaaniwa! Huwezi kuruhusu mtu asiye na sifa chuoni. Mbona vyuo vikuu wengi wamefukuzwa vyuoni baada ya kuingia bila sifa! Iweje udom waachwe? Mbona wafanyakazi waliofoji wameondolewa, iweje udom waachwe. Kwanza najibizana na mtu wewe ambaye ni kichaa huwezi elewa
Mbona matusi ?! Au ndio point zenyewe? Sipingi wasiona sifa kuondolewa ktk taasisi yoyote . Ninachosema unawaita watoto wa wenzio vil aza wakati na wa kwako naye ni kil aza (jes ika) yuko hapo hapo na ameingia kwa njia anayoijuwa mwenyewe. WENZIO WAKIKURUDISHIA KASHFA HIZO UNAWAPELEKA MAHAKAMANI? ?????
 
Tatizo nyie mnaoshabikia chama mfu chadema mmerukwa na akili, mnachukiwa na kila mpenda haki, kila mzalendo anawaona mmekuwa wasaliti
 
Basi sijibizani tena nawe na usijibu kwa sababu unakimbilia matusi unaacha kujibu point
 
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, amekua mmoja wa mawakiliwa utetezi katika kesi inayomkabili mwanachama wake bwn Wilson ya kumkashifu Mh. Rais.

Kitendo cha ushiriki wa kiongozi wa juu kabisa wa chadema ambaye naye anashtakiwa kwa kosa kama hilo, ni kiashiria tosha kua uongozi wa Chadema umebariki uwepo wake katika kesi hiyo na vile vile kubariki kitendo chenyewe.

Kama ni kweli Chadema imebariki ushiriki wa lisu katika shauri hilo, napata mashaka na aina ya utawala watakayokua mayo watu hawa kama ikitokea wakashika dola.

Nashindwa kupata picha pindi watakachoongoza chadema wataruhusu matusi na kashfa kwa Rais wao.

Nakosa maneno ya kuelezea jambo hili, kwani haliingii akilini kabisa kwa chama kinachotaka kushika dola, kubariki vitendo vya kihuni kama hivyo!

Ama chadema ijitenge na vitendo hivyo, ama ituambie ipo began kwa bega na wahalifu!
mbona hajatukanwa,unajua sheria inakubana sehemu ndogo sana,jpm ni nn?,Au ukawa nn?
 
Hiyo ndio hoja ya mtoa mada kama cdm mnahalalisha vitendo vya kuhuni?Kutukana MTU kwenu no halali?Haijalushi haiba ya mtukanwa.

kwani ccm na viongozi wenu mlihalalisha kumtukana lowasa ?

[HASHTAG]#Jitu[/HASHTAG] Punguani Mjini
 
Kwa mfano Dennis Wilson kamtaja wapi Rais? Kamtaja JPM. Sasa yaweza kuwa "Jeuri ya Pombe-Majitaka" au "Jeuri ya Pombe-Mateke) au kwa hitimisho baya kabisa "Jitu Punguani Mjini" .Sasa lina uhusiano gani na Rais kisheria?

Lissu ni Wakili na katiba ya Chadema inamtaka kila mwanachama kukataa uonevu na kupigania haki

Sasa Lissu ni Mwanasheria mkuu lazima aoneshe umaahiri kama alivyofanya mahakamani leo na Mahakama kukubali kuwa JPM aweza kuwa "Magufuli".Kesi ikatupiliwa sio mbali tu bali kuzimu
Waoga wakubwa.
Kumbe hata kumtaja rais JPM kwa jina lake mnaogopa eeh?
Hapo ndo pakuonyesha ujasiri sio unabip na kujificha uvunguni..aibu sana.
Kama unapigana na mtu kunja ngumi na sio kuficha silaha za maangamizi mfukoni na kunyunyiza akiwa hakuoni.
Nimetambua kuwa nyie maneno mwngi lakini ni waoga wa kutupwa..
Acheni hii michezo ya kipuuzi, kwanza hamna ubavu nayo.
By the way yale maandamano yenu ya ukuta yaliishia wapi?
Waoga utawajua tu ..."toothless dogs" cannot hunt.
 
Hivi anayekashifiwa ni moja tu? Mbona lowasa amekashifiwa Sana na hakuna Hata kiongozi mmoja aliyekemea vutendo hivyo
 
Kwa mfano Dennis Wilson kamtaja wapi Rais? Kamtaja JPM. Sasa yaweza kuwa "Jeuri ya Pombe-Majitaka" au "Jeuri ya Pombe-Mateke) au kwa hitimisho baya kabisa "Jitu Punguani Mjini" .Sasa lina uhusiano gani na Rais kisheria?

Lissu ni Wakili na katiba ya Chadema inamtaka kila mwanachama kukataa uonevu na kupigania haki

Sasa Lissu ni Mwanasheria mkuu lazima aoneshe umaahiri kama alivyofanya mahakamani leo na Mahakama kukubali kuwa JPM aweza kuwa "Magufuli".Kesi ikatupiliwa sio mbali tu bali kuzimu

????
 
Wewe na wenzako hamna akili, mmelaaniwa! Huwezi kuruhusu mtu asiye na sifa chuoni. Mbona vyuo vikuu wengi wamefukuzwa vyuoni baada ya kuingia bila sifa! Iweje udom waachwe? Mbona wafanyakazi waliofoji wameondolewa, iweje udom waachwe. Kwanza najibizana na mtu wewe ambaye ni kichaa huwezi elewa
Wewe Ni Mpumbavu Kama Huyo Aliyewatimulia Mitaani, Kwani Walijisajili wenyewe? Kama huyo Uchwara ni Maarufu wa Kurekebisha Upuuzi Uliofanywa na Wengine, Mbona anasimamia Upuuzi wa Kuiba Ushindi wa Cuf Zanzibar kwa aibu sana, Na Kisha anataka Jecha Apewe tuzo. Kama Unamlinda Mtu Kisiasa Mlinde kwa Hoja sio Kwa Makalio! Na Baada ya Kuona Hekima na Uwezo wake Mdogo, Hata tu wa Lugha ya Kiingereza alichosomea kwa Miaka 16, Magu Nahisi Uhalali wa vyeti vyake! Nitatoa Dola Mil 5 za Kununua Madawati au Madawa Iwapo Magu atasimama mbele ya Maprofesa na Kutetea Thesis ya PHD anayodai anayo! Itakuwa Ni Kichekesho cha Mwaka!
 
Back
Top Bottom