Je, CHADEMA wamebariki vitendo vya kumkashifu Rais?

Je, CHADEMA wamebariki vitendo vya kumkashifu Rais?

Hawa watatulia tu
Maana hali kwao nitete
Walizoea juice za Jk
 
Haya matusi kwa kiongozi aliyechaguliwa na wananchi walioongozwa na Muumba kufanya uamuzi sahihi hakina Ben hautabaki salama
Alichaguliwa na wanachama wa CCM ndo maana idadi ya kura alizopata zina fanana na idadi ya wana chama wao
 
Hao ni wachache tu ambao wameamua kuandika mawazo yao mitandaoni.. Amin amin nawaambia kama mngepata mashine za kusoma yaliyomo mioyoni mwa watu mngefunga pengine hata kunyonga kila mtu... maana kuna watu wanatukana matusi yasioelezeka japokua ni kimoyo moyo tu.. Kumkamata mtu na kumfunga hakuwezi badilisha kile alichonacho moyoni!
 
Bila shaka na wewe utakua mpitisha bakuli la saidia baba kwa mshika sime wa nchi, alafu unajua ni laana kumuita huyo raisi wako "mtukufu"
Sio ''mtukufu'' ni ''Mtukufu Sana''.......Tena Sana.Hajaribiwi wala Kukosea.Wacha maneno ya Uchochezi.
 
Lisu anasimama kama wakili yoyote na si chama, ni sawa na wakili anayemtetea jambazi au mhalifu yoyote hamaanishi kwamba anaunga mkono uhalifu Bali anatafuta haki kwa mteja wake.
 
Magufuli aliyekuwa ameketi Jukwaani, Wakati Watoto Wadogo Wakisema Mpinzani wake Lowassa Ni Mfu Mtarajiwa, Hakutakuwa na Budget ya Mazishi yake Ikulu, Amejinyea, Huku Magufuli Huyu akishangilia kwa Kukenyua Meno na Kupiga Makofi, Badala ya Kuonyesha Utuuzima na Kuwatimua Jukwaani, Magufuli Huyu, Huyu, Huyu Magufuli Magufuli aliyepiga Makofi wakati Baba wa Watu Lowassa akiambiwa Kajinyea, Leo Hii anasaka watu Watzup na Facebook wanasema Nini Juu yake. Ndio Maana Nasema John Pombe Magufuli Unafiki wake Unanuka zaidi ya Maiti Iliyooza. Na Niko Tayari Kusimama Kizimbani Kutetea Ukweli Huu! What a hypocrite shameless fellow!
KMA UNAJIAMNI WEKA VERIFIED ID.......
 
Chadema si chama,chadema ni sacco,nimesema mara nyingi Na watanzania hamkunielewa sasa chama chochote cha ushirika kinapozidiwa maarifa Na chama kingine cha ushirika lazima propaganda ziwepo kuwa wale ni wezi n.k.kwa hiyo imeonyesha wazi chadema ni sacco ya wachagga.
waache wahifadhi pesa basi
[HASHTAG]#jpm[/HASHTAG]
 
Hakuna Mtanzania au Mtu yeyote anayeweza Kumkashifu Magufuli au Kumdharau, Kuliko anavyojikashifu na Kujidharaulisha Mwenyewe. Rais Moi alisema wakati Fulani Kuwa Nguruwe anajikaanga kwa Mafuta yake Mwenyewe. Heshima Haidaiwi, Heshima Unaivuna kwa Tabia na Matendo yako.
Kweli Kabisa, Asante sana mkuu, nmecheka kwa furaha, comment Tamu sana hii
 
Haujui kitu na wewe sijui unajipendekeza nini, wapi kamkashifu rais? Achana na kutafuta sifa jf.
 
Magufuli hawezi kui-rename Dunia, walioi-name wameifungamanisha na haya yafuatayo:-
Kuna wakati wa kupanda na kuna wakati wa kuvuna,
Kuna wakati wa furaha na kuna wakati wa huzuni,
Kuna wakati wa kuzaliwa na kuna wakati wa kufa,
Kuna wakati wa kucheka na kuna wakati wa kulia,
Kuna wakati kusifiwa na kuna wakati wa kulaumiwa, kukejeliwa, kudhihakiwa na kufedhuliwa.
Kuna wakati wa kushangiliwa na kuna wakati wakati wa kuzomewa,
Kuna wakati wa kuheshimiwa na kuna wakati wa kudharauliwa.

Hiyo ndio hoja ya mtoa mada kama cdm mnahalalisha vitendo vya kuhuni?Kutukana MTU kwenu no halali?Haijalushi haiba ya mtukanwa.
 
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, amekua mmoja wa mawakiliwa utetezi katika kesi inayomkabili mwanachama wake bwn Wilson ya kumkashifu Mh. Rais.

Kitendo cha ushiriki wa kiongozi wa juu kabisa wa chadema ambaye naye anashtakiwa kwa kosa kama hilo, ni kiashiria tosha kua uongozi wa CHADEMA umebariki uwepo wake katika kesi hiyo na vile vile kubariki kitendo chenyewe.

Kama ni kweli CHADEMA imebariki ushiriki wa lisu katika shauri hilo, napata mashaka na aina ya utawala watakayokua mayo watu hawa kama ikitokea wakashika dola.

Nashindwa kupata picha pindi watakachoongoza CHADEMA wataruhusu matusi na kashfa kwa Rais wao.

Nakosa maneno ya kuelezea jambo hili, kwani haliingii akilini kabisa kwa chama kinachotaka kushika dola, kubariki vitendo vya kihuni kama hivyo!

Ama CHADEMA ijitenge na vitendo hivyo, ama ituambie ipo began kwa bega na wahalifu!
Kwani kuna kashfa kusema ukweli jamani? Kwani Magufuli siyo Dictator Uchwara!!??
Lipi rahisi kuitwa kashfa kusema huyu ni dictator uchwara? Au kubainisha dhambi ya wizi wa kura na laana inayomtawala Juma Pumba!?
 
Ukijua sheria bwana haya mambo hayakupi shida kabisa,hivi wanasheria wa Serikali huwa hawajui haya au wanalazimishwa kupeleka kesi mahakamani ambazo wanajua fika kuwa wanaenda kushindwa?Inashangaza sana Serikali ikidhalilika kwa kesi hizi zisizo na mashiko kisheria
 
KMA UNAJIAMNI WEKA VERIFIED ID.......

Aweke verified user ya nn???kwani nyie Lumumba mnavoanzisha thread za kutukana watu kila siku huwa mnaweka verified user....

Mwambieni Magufuli anatukanwa matusi yasiyotamkika sema tu wengi wañatukana kimoyomoyo...angekuwa na uwezo wa kufungua mioyo ya watanzania walio wengi hakika angejiuzulu bila kupenda...
 
Back
Top Bottom