Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,017
- 51,157
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, amekua mmoja wa mawakiliwa utetezi katika kesi inayomkabili mwanachama wake bwn Wilson ya kumkashifu Mh. Rais.
Kitendo cha ushiriki wa kiongozi wa juu kabisa wa chadema ambaye naye anashtakiwa kwa kosa kama hilo, ni kiashiria tosha kua uongozi wa CHADEMA umebariki uwepo wake katika kesi hiyo na vile vile kubariki kitendo chenyewe.
Kama ni kweli CHADEMA imebariki ushiriki wa lisu katika shauri hilo, napata mashaka na aina ya utawala watakayokua mayo watu hawa kama ikitokea wakashika dola.
Nashindwa kupata picha pindi watakachoongoza CHADEMA wataruhusu matusi na kashfa kwa Rais wao.
Nakosa maneno ya kuelezea jambo hili, kwani haliingii akilini kabisa kwa chama kinachotaka kushika dola, kubariki vitendo vya kihuni kama hivyo!
Ama CHADEMA ijitenge na vitendo hivyo, ama ituambie ipo began kwa bega na wahalifu!