Je, CHADEMA wamebariki vitendo vya kumkashifu Rais?

Pumbavu Nilimjibu aliyeniambia Njaa Itaniua? Nikampa Live, La sivyo Nisingesema Kitu! Nimemjibu yeye na Wajinga wanaowatuma Kuja hapa Kutukana Watu na Kuwatisha. Jibu Mtu Kwa hoja Usijifanye Kusema mtu kwa usiyoyajua. I do not even show off like other flashy childish guys, No body know much bout me but I hate bullies!
Mlikuwa mnatukanana chumbani?
How feeble minded!
 
Nilimsoma Mzito Kabwela Vibaya, Naomba Radhi Kujibu nikidhani alileta Vitisho na Kebehi. Samahani sana Mh.
 
Mlikuwa mnatukanana chumbani?
How feeble minded!
Sio Kwa Hofu au La, Ila Pamoja na Kejeli zako, Nafikiri Uko sahihi Na Mimi Nilimsoma Vibaya Mzito Kabwela, sasa sijui Kama Ni wewe Una ID mbili au La Kama Ni wewe Uniwie Radhi, Nilimsoma Vibaya Kwa Hiyo hata Na Majibu yangu Kwake Kweli hayana Maana itakuwa Ni majigambo Kama Ulivyoasa, Ingawa I did not like the way you presented it to me.
 
Tatizo nyie mnaoshabikia chama mfu chadema mmerukwa na akili, mnachukiwa na kila mpenda haki, kila mzalendo anawaona mmekuwa wasaliti
chama mfu mbona kimesababisha serikali kukomba hazina na kubadili ratiba ya utendaji ya serikali ili kuzuia UKUTA
 
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, amekua mmoja wa mawakiliwa utetezi katika kesi inayomkabili mwanachama wake bwn Wilson ya kumkashifu Mh. Rais.

Kitendo cha ushiriki wa kiongozi wa juu kabisa wa chadema ambaye naye anashtakiwa kwa kosa kama hilo, ni kiashiria tosha kua uongozi wa Chadema umebariki uwepo wake katika kesi hiyo na vile vile kubariki kitendo chenyewe.

Kama ni kweli Chadema imebariki ushiriki wa lisu katika shauri hilo, napata mashaka na aina ya utawala watakayokua mayo watu hawa kama ikitokea wakashika dola.

Nashindwa kupata picha pindi watakachoongoza chadema wataruhusu matusi na kashfa kwa Rais wao.

Nakosa maneno ya kuelezea jambo hili, kwani haliingii akilini kabisa kwa chama kinachotaka kushika dola, kubariki vitendo vya kihuni kama hivyo!

Ama chadema ijitenge na vitendo hivyo, ama ituambie ipo began kwa bega na wahalifu!
Imekuwaje tena?ni Jana tu Lissu kawabipu kilio kimetawala Lumumba atakapo wapigia Si ndiyo tutazika kabisa.
 
Huwezi kutetea ushoga Mahakamani kisa wewe ni wakili wa kujitegemea bila kutiliwa shaka kuwa na wewe ni shoga...tusitetee ujinga.
unamaanisha mtuhumiwa wa mauaji asiwe na wakili maana wakili wake atahesabika ni muuaji pia? unamaanisha mtuhumiwa wa uhaini asiwe na wakili maana wakili wake atahesabika ni mhaini? unamaanisha mtuhumiwa wa ufisadi asiwe na wakili maana wakili wake atahesabika ni fisadi? unamaanisha mtuhumiwa wa ujambazi asiwe na wakili maana wakili wake atahesabika ni jambazi? hili pia unamaanisha jambazi aliyejeruhiwa asitibiwe maana atakayemtibu atahesabika ni jambazi? Jamhuri ilituhumu Wilson katenda kosa la kumkashifu mtu/mdudu/mnyama anayeitwa JPM ikafuata taratibu zinavyotaka yaani kumfikisha mbele ya hakimu atoe hukumu kwa mujibu wa sheria za nchi. hakimu kaona hakuna kosa alilotenda mtuhumiwa, wewe ni nani unayemkosoa DPP na hakimu? tofauti zetu za kiitikadi za siasa zisifanye tutamani wapinzani wetu waonewe tu. BTW, Lissu ni wakili na anaishi (anapata kipato chake)kwa kutetea washtakiwa iwe watuhumiwa wa ugoni, au wizi, au ujambazi nk.
 
Kwa mfano Dennis Wilson kamtaja wapi Rais? Kamtaja JPM. Sasa yaweza kuwa "Jeuri ya Pombe-Majitaka" au "Jeuri ya Pombe-Mateke) au kwa hitimisho baya kabisa "Jitu Punguani Mjini" .Sasa lina uhusiano gani na Rais kisheria?

Lissu ni Wakili na katiba ya Chadema inamtaka kila mwanachama kukataa uonevu na kupigania haki

Sasa Lissu ni Mwanasheria mkuu lazima aoneshe umaahiri kama alivyofanya mahakamani leo na Mahakama kukubali kuwa JPM aweza kuwa "Magufuli".Kesi ikatupiliwa sio mbali tu bali kuzimu
WEWE nae unatetea upuuzi tuh HIVI kiuhalisia kabsa BILA kumung'nya maneno UNATAKA KUTUAMBIA huyo DENNIS WILSON ni kweli hakumlenga RAISI katika hayo maneno aliyoandika?????Sisi wote ikiwemo na wewe TUNAKUBALI KABSA HIZI KASHFA ZOTE ZA WALIOPELEKWA mahakamani tokana na kumkashifu RAISI ikiwemo na HUYO NDIMI MBILI MWANASHERIA WENU UCHWALA ni kweli kabsa wamekusudia kumtukana RAISI....sema ndio mapungufu ya sheria yalivyo DUNIANI unaweza UKAWA NI MUUAJI KWELI still bado SHERIA ikakubea ukaonekana sio muuaji.....SASA KWENYE HILI KILA MWANANCHI ANAONA KABSA MUHANGA MKUU kwenye haya matusi ni RAISI wetu SEMA na nyie mnajificha kwenye hiki kivuli cha kuwatetea WAOVU na mnajisahau ya kuwa mnajiharibia na kujijengea picha mbaya kwa WANANCHI na kuonekana ni CHAMA chenye nia ovu kinacholea vijana wenye maadili machafu kabsa.....REJEA NA MICHANGO VIONGOZI WENU WANAYOCHANGIA KUWASAIDIA VIJANA WANAOFIKISHWA MAHAKAMANI..........SERIOUS HUU NI KWELI USIOPINGIKA HIKI CHAMA CHENU NI CHAMA OVU KABSA KINACHOTUPOTEZEA MAADILI MEMA YA VIJANA WETU NA KUANZA KUWAPA CONFIDENCE ZA KIHUNI HUNI na kuwaaminisha ya kuwa kutukana VIONGOZI WA KITAIFA NI HALALI
 
Mimi Sina Kamanda Wala Sina Chama, Mimi Langu Ni Kutaka Haki, Amani, Kweli na Utawala wa Sheria. Nachukia Uonevu, Unafiki , Hila na Uonevu na Magufuli, Magufuli John Pombe is Full of it.
WEWE nae unatetea upuuzi tuh HIVI kiuhalisia kabsa BILA kumung'nya maneno UNATAKA KUTUAMBIA huyo DENNIS WILSON ni kweli hakumlenga RAISI katika hayo maneno aliyoandika?????Sisi wote ikiwemo na wewe TUNAKUBALI KABSA HIZI KASHFA ZOTE ZA WALIOPELEKWA mahakamani tokana na kumkashifu RAISI ikiwemo na HUYO NDIMI MBILI MWANASHERIA WENU UCHWALA ni kweli kabsa wamekusudia kumtukana RAISI....sema ndio mapungufu ya sheria yalivyo DUNIANI unaweza UKAWA NI MUUAJI KWELI still bado SHERIA ikakubea ukaonekana sio muuaji.....SASA KWENYE HILI KILA MWANANCHI ANAONA KABSA MUHANGA MKUU kwenye haya matusi ni RAISI wetu SEMA na nyie mnajificha kwenye hiki kivuli cha kuwatetea WAOVU na mnajisahau ya kuwa mnajiharibia na kujijengea picha mbaya kwa WANANCHI na kuonekana ni CHAMA chenye nia ovu kinacholea vijana wenye maadili machafu kabsa.....REJEA NA MICHANGO VIONGOZI WENU WANAYOCHANGIA KUWASAIDIA VIJANA WANAOFIKISHWA MAHAKAMANI..........SERIOUS HUU NI KWELI USIOPINGIKA HIKI CHAMA CHENU NI CHAMA OVU KABSA KINACHOTUPOTEZEA MAADILI MEMA YA VIJANA WETU NA KUANZA KUWAPA CONFIDENCE ZA KIHUNI HUNI na kuwaaminisha ya kuwa kutukana VIONGOZI WA KITAIFA NI HALALI
 
Kwahio hapo umejiona umeandika mambo ya maanaa na kuona utaungwa mkono na watu wenye akili zao...mtu makini hashaabikii ujinga...ndio maana unaendelea kukaa hapo kisiasa unapiga 'makitaimu' kwakuwa hutaki kujitambua na kujua kuwa hata hao mabosi wako wana adabu kwa Rais ingawa wanakutumia bila wewe kujua...
Ma fisiemu utayajua tu, mapovu mda wote maana mmezoea kupitisha bakuli la saidia baba kwa mshika sime wa nchi
 
WEWE nae unatetea upuuzi tuh HIVI kiuhalisia kabsa BILA kumung'nya maneno UNATAKA KUTUAMBIA huyo DENNIS WILSON ni kweli hakumlenga RAISI katika hayo maneno aliyoandika?????Sisi wote ikiwemo na wewe TUNAKUBALI KABSA HIZI KASHFA ZOTE ZA WALIOPELEKWA mahakamani tokana na kumkashifu RAISI ikiwemo na HUYO NDIMI MBILI MWANASHERIA WENU UCHWALA ni kweli kabsa wamekusudia kumtukana RAISI....sema ndio mapungufu ya sheria yalivyo DUNIANI unaweza UKAWA NI MUUAJI KWELI still bado SHERIA ikakubea ukaonekana sio muuaji.....SASA KWENYE HILI KILA MWANANCHI ANAONA KABSA MUHANGA MKUU kwenye haya matusi ni RAISI wetu SEMA na nyie mnajificha kwenye hiki kivuli cha kuwatetea WAOVU na mnajisahau ya kuwa mnajiharibia na kujijengea picha mbaya kwa WANANCHI na kuonekana ni CHAMA chenye nia ovu kinacholea vijana wenye maadili machafu kabsa.....REJEA NA MICHANGO VIONGOZI WENU WANAYOCHANGIA KUWASAIDIA VIJANA WANAOFIKISHWA MAHAKAMANI..........SERIOUS HUU NI KWELI USIOPINGIKA HIKI CHAMA CHENU NI CHAMA OVU KABSA KINACHOTUPOTEZEA MAADILI MEMA YA VIJANA WETU NA KUANZA KUWAPA CONFIDENCE ZA KIHUNI HUNI na kuwaaminisha ya kuwa kutukana VIONGOZI WA KITAIFA NI HALALI

Magufuli aliyekuwa ameketi Jukwaani, Wakati Watoto Wadogo Wakisema Mpinzani wake Lowassa Ni Mfu Mtarajiwa, Hakutakuwa na Budget ya Mazishi yake Ikulu, Amejinyea, Huku Magufuli Huyu akishangilia kwa Kukenyua Meno na Kupiga Makofi, Badala ya Kuonyesha Utuuzima na Kuwatimua Jukwaani, Magufuli Huyu, Huyu, Huyu Magufuli Magufuli aliyepiga Makofi wakati Baba wa Watu Lowassa akiambiwa Kajinyea, Leo Hii anasaka watu Watzup na Facebook wanasema Nini Juu yake. Ndio Maana Nasema John Pombe Magufuli Unafiki wake Unanuka zaidi ya Maiti Iliyooza. Na Niko Tayari Kusimama Kizimbani Kutetea Ukweli Huu! What a hypocrite shameless fellow!
 
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, amekua mmoja wa mawakiliwa utetezi katika kesi inayomkabili mwanachama wake bwn Wilson ya kumkashifu Mh. Rais.

Kitendo cha ushiriki wa kiongozi wa juu kabisa wa chadema ambaye naye anashtakiwa kwa kosa kama hilo, ni kiashiria tosha kua uongozi wa Chadema umebariki uwepo wake katika kesi hiyo na vile vile kubariki kitendo chenyewe.

Kama ni kweli Chadema imebariki ushiriki wa lisu katika shauri hilo, napata mashaka na aina ya utawala watakayokua mayo watu hawa kama ikitokea wakashika dola.

Nashindwa kupata picha pindi watakachoongoza chadema wataruhusu matusi na kashfa kwa Rais wao.

Nakosa maneno ya kuelezea jambo hili, kwani haliingii akilini kabisa kwa chama kinachotaka kushika dola, kubariki vitendo vya kihuni kama hivyo!

Ama chadema ijitenge na vitendo hivyo, ama ituambie ipo began kwa bega na wahalifu!
Vilaza na malofa sio kashfa tena ....au kashifa inakuwa kashfa inategemea anaambiwa nan,,,,tuacheni bana
 
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, amekua mmoja wa mawakiliwa utetezi katika kesi inayomkabili mwanachama wake bwn Wilson ya kumkashifu Mh. Rais.

Kitendo cha ushiriki wa kiongozi wa juu kabisa wa chadema ambaye naye anashtakiwa kwa kosa kama hilo, ni kiashiria tosha kua uongozi wa Chadema umebariki uwepo wake katika kesi hiyo na vile vile kubariki kitendo chenyewe.

Kama ni kweli Chadema imebariki ushiriki wa lisu katika shauri hilo, napata mashaka na aina ya utawala watakayokua mayo watu hawa kama ikitokea wakashika dola.

Nashindwa kupata picha pindi watakachoongoza chadema wataruhusu matusi na kashfa kwa Rais wao.

Nakosa maneno ya kuelezea jambo hili, kwani haliingii akilini kabisa kwa chama kinachotaka kushika dola, kubariki vitendo vya kihuni kama hivyo!

Ama chadema ijitenge na vitendo hivyo, ama ituambie ipo began kwa bega na wahalifu!
Sidhani kama unavyofikilia ni sahihi.
 
Kwa mfano Dennis Wilson kamtaja wapi Rais? Kamtaja JPM. Sasa yaweza kuwa "Jeuri ya Pombe-Majitaka" au "Jeuri ya Pombe-Mateke) au kwa hitimisho baya kabisa "Jitu Punguani Mjini" .Sasa lina uhusiano gani na Rais kisheria?

Lissu ni Wakili na katiba ya Chadema inamtaka kila mwanachama kukataa uonevu na kupigania haki

Sasa Lissu ni Mwanasheria mkuu lazima aoneshe umaahiri kama alivyofanya mahakamani leo na Mahakama kukubali kuwa JPM aweza kuwa "Magufuli".Kesi ikatupiliwa sio mbali tu bali kuzimu
Haya matusi kwa kiongozi aliyechaguliwa na wananchi walioongozwa na Muumba kufanya uamuzi sahihi hakina Ben hautabaki salama
 
Back
Top Bottom