Je, CHADEMA imegawanyika Vipande Viwili?

Yeye ana mapolisi......siku nao wakijitambua hicho kijiti atakuwa anasimulia kama historia
 
Nadhani kinachotakiwa kujibiwa na wenye mamlaka ni wana hoja AU hawana? Mambo wanayoyasema nikweli au siyo kweli...... tofauti na hapo ni Siasa kama siasa zingine za kina Hashim Rungwe
 
Kiongozi mmoja wa CCM amesema taarifa za kiintelejensia ya Siasani zimethibitisha kuwa Chadema imemeguka Vipande Viwili yaani Chadema Ufipa st na Chadema Mikocheni

Kiufupi Chadema si Wamoja tena

Je,kuna Ukweli wowote?

Mlale Unono [emoji3][emoji3][emoji43][emoji93][emoji209]
Ndio kukua huko

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana maana katika maisha haya usimuamini kabisa mtu mwenye malyenge I.e macho kama yale ya Mbowe na Kova. Hawaaminiki kabisa pia yule mwingine ana uchungu na Roho ya malipizi baada ya damu yake kumwagika pale Dodoma so anataka na damu ya watanzania wengine zimwagike.
ww Inawezekana ni mchawi[emoji849]

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi mmoja wa CCM amesema taarifa za kiintelejensia ya Siasani zimethibitisha kuwa Chadema imemeguka Vipande Viwili yaani Chadema Ufipa st na Chadema Mikocheni

Kiufupi Chadema si Wamoja tena

Je,kuna Ukweli wowote?

Mlale Unono 😀😀😵🌟🐼
nimepigwa ban kwaajili ya nyuzi yanye tone kama hii alhamisi ilopita, nikajiuliza hivi kulikoni? kumeguka huko kwa hawa ndugu zangu, i saw it coming on a very high speed....
 
We haya umeyatoa wapi?

movement yao ilianzia huko hata fwatilia mienendo yao utaona tu kila siku wako huko kenya au rwanda hata yanga iko rwanda pia nani kaipeleka, yule mwingine naye aliibukia mpakani mwa rwanda baada ya waraka wa tec ktk na kuongelea “udini”, aliwafwata nini huko ?
 
Kiongozi mmoja wa CCM amesema taarifa za kiintelejensia ya Siasani zimethibitisha kuwa Chadema imemeguka Vipande Viwili yaani Chadema Ufipa st na Chadema Mikocheni

Kiufupi Chadema si Wamoja tena

Je,kuna Ukweli wowote?

Mlale Unono 😀😀😵🌟🐼
Propaganda. Kama ni hivyo, basi kipande kimoja kingeonekana pale! Au vipande vyote havikupenda kuwepo pale?
 
movement yao ilianzia huko hata fwatilia mienendo yao utaona tu kila siku wako huko kenya au rwanda hata yanga iko rwanda pia nani kaipeleka, yule mwingine naye aliibukia mpakani mwa rwanda baada ya waraka wa tec ktk na kuongelea “udini”, aliwafwata nini huko ?
Kwahiyo Samia ni Mnyarwanda?
 
Inawezekana maana katika maisha haya usimuamini kabisa mtu mwenye malyenge I.e macho kama yale ya Mbowe na Kova. Hawaaminiki kabisa pia yule mwingine ana uchungu na Roho ya malipizi baada ya damu yake kumwagika pale Dodoma so anataka na damu ya watanzania wengine zimwagike.
Watu kama wewe ndo mnafanya wanaCCM tuonekane wapumbavu. Toa hoja na sio kumkejeli mtu kwa ulemavu wake. Huna ndugu au rafiki mlemavu? Acha upumbavu wako.
 
Chadema iko taaban bin hoi. Hiki chama bila kufumuliwa na kusukwa upya kitabaki kubwata tu. Hakuna sera bado
 
Back
Top Bottom