Je, CHADEMA imegawanyika Vipande Viwili?

Je, CHADEMA imegawanyika Vipande Viwili?

Kiongozi mmoja wa CCM amesema taarifa za kiintelejensia ya Siasani zimethibitisha kuwa Chadema imemeguka Vipande Viwili yaani Chadema Ufipa st na Chadema Mikocheni

Kiufupi Chadema si Wamoja tena

Je,kuna Ukweli wowote?

Mlale Unono 😀😀😵🌟🐼

Vipande 4:

1. Kaskazini.
2. Magharibi.
3. Kusini.
4.......
 
Kiongozi mmoja wa CCM amesema taarifa za kiintelejensia ya Siasani zimethibitisha kuwa Chadema imemeguka Vipande Viwili yaani Chadema Ufipa st na Chadema Mikocheni

Kiufupi Chadema si Wamoja tena

Je,kuna Ukweli wowote?

Mlale Unono [emoji3][emoji3][emoji43][emoji93][emoji209]
Kwa viongozi kama lisusu bora hata kigekufa hicho chama
 
Back
Top Bottom