Sasa,tulale unono kwanza au tujadili kwanza?Kiongozi mmoja wa CCM amesema taarifa za kiintelejensia ya Siasani zimethibitisha kuwa Chadema imemeguka Vipande Viwili yaani Chadema Ufipa st na Chadema Mikocheni
Kiufupi Chadema si Wamoja tena
Je,kuna Ukweli wowote?
Mlale Unono 😀😀😵🌟🐼
Bangi ni ruksa siku hizi?Kiongozi mmoja wa CCM amesema taarifa za kiintelejensia ya Siasani zimethibitisha kuwa Chadema imemeguka Vipande Viwili yaani Chadema Ufipa st na Chadema Mikocheni
Kiufupi Chadema si Wamoja tena
Je,kuna Ukweli wowote?
Mlale Unono 😀😀😵🌟🐼
Mbona tuliambiwa kuwa Chadema ilisha jifia miaka mingi iliyopita! Sasa ni Chadema ipi iliyomeguka?Kiongozi mmoja wa CCM amesema taarifa za kiintelejensia ya Siasani zimethibitisha kuwa Chadema imemeguka Vipande Viwili yaani Chadema Ufipa st na Chadema Mikocheni
Kiufupi Chadema si Wamoja tena
Je,kuna Ukweli wowote?
Mlale Unono 😀😀😵🌟🐼
Hao Huwa ni wa mwisho kulala wa kwanza kuamkaWenye kauli hizi always huwa ni kula kulala wanakaa kwa shemeji au kwa uncle.
Mwache acheze mdundikoKiongozi mmoja wa CCM amesema taarifa za kiintelejensia ya Siasani zimethibitisha kuwa Chadema imemeguka Vipande Viwili yaani Chadema Ufipa st na Chadema Mikocheni
Kiufupi Chadema si Wamoja tena
Je,kuna Ukweli wowote?
Mlale Unono [emoji3][emoji3][emoji43][emoji93][emoji209]
Alimwagwa damu na naniInawezekana maana katika maisha haya usimuamini kabisa mtu mwenye malyenge I.e macho kama yale ya Mbowe na Kova. Hawaaminiki kabisa pia yule mwingine ana uchungu na Roho ya malipizi baada ya damu yake kumwagika pale Dodoma so anataka na damu ya watanzania wengine zimwagike.
Shida iko wapi? Si vyama huzaliwa, hukua na ikiwezekana hufa na kuzaliwa vingine?Kiongozi mmoja wa CCM amesema taarifa za kiintelejensia ya Siasani zimethibitisha kuwa Chadema imemeguka Vipande Viwili yaani Chadema Ufipa st na Chadema Mikocheni
Kiufupi Chadema si Wamoja tena
Je,kuna Ukweli wowote?
Mlale Unono 😀😀😵🌟🐼
Chadema na Zanzibar wapi na wapi bwashee?!Unauliza majibu hujaona leo kwenye kikao kaja mwakilishi kutoka zanzibar wakati mnyika katuambia chadema hawatashiriki? Mbowe anakaribia kuangushwa kama ali bongo ondimba.
Hata ccm ina mgawanyiko na si wa leo wala jana na ni chama kikongwe iweje cdm!Kiongozi mmoja wa CCM amesema taarifa za kiintelejensia ya Siasani zimethibitisha kuwa Chadema imemeguka Vipande Viwili yaani Chadema Ufipa st na Chadema Mikocheni
Kiufupi Chadema si Wamoja tena
Je,kuna Ukweli wowote?
Mlale Unono [emoji3][emoji3][emoji43][emoji93][emoji209]
nijuavyo tundu lisu na samia wote ni wamoja wana ajenda moja, wametoka mbali, wote ni wakenya na warwanda na zanzibar pia if you know what i mean sijui khs mbowe, lkn kama kuna usaliti wowote dhidi ya chadema culprit ni tundu lisu …
Ni sawa na si jambo la ajabu maana ata ccm waliwai gawanyika zaidi ya vipande viwili, timu lowassa na timu magu, timu mwigulu
Uzuri CCM ni chama kubwa hata likigawanyika na akina Lowassa na akina Sumaye na akina Nyalandu wakihama kwa mgawanyiko huo kesho utakuta wamerudi pale pale, ndiyo maana kuing’ia CCM hata kwa mtalimbo wa punda haiwezekani!
Inawezekana maana katika maisha haya usimuamini kabisa mtu mwenye malyenge I.e macho kama yale ya Mbowe na Kova. Hawaaminiki kabisa pia yule mwingine ana uchungu na Roho ya malipizi baada ya damu yake kumwagika pale Dodoma so anataka na damu ya watanzania wengine zimwagike.
Wewe sio mzimaInawezekana maana katika maisha haya usimuamini kabisa mtu mwenye malyenge I.e macho kama yale ya Mbowe na Kova. Hawaaminiki kabisa pia yule mwingine ana uchungu na Roho ya malipizi baada ya damu yake kumwagika pale Dodoma so anataka na damu ya watanzania wengine zimwagike.