Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

sehemu gani hapo inasema huo moto ni Allah ??
Hapa


إِنِّي أَنَا رَبُّكَ فَاخْلَعْ نَعْلَيْكَ ۖ إِنَّكَ بِالْوَادِ الْمُقَدَّسِ طُوًى ( 12 )
Hakika Mimi ndiye Mola wako Mlezi! Basi vua viatu vyako. Kwani upo katika bonde takatifu la T'uwa.
 
UTANGULIZI
Historia ya Biblia ya kikristo ni ndefu jinsi vitabu vilivyopatikana lakini ntaandika kwa kifupi sana na mengine tutaandaika tunavyozidi kuchangia kwenye uzi huu. Na pia nitoe rai mapema kuwa uzi huu sio wa kidini bali wa kielimu/historia hivyo sitegemei watu kurushiana matusi ya kuhusu dini sijui Mungu yupo au hayupo!! N.k
View attachment 993939
Prologue
Biblia ya kikristo ni mjumuiko wa vitabu mbalimbali vya manabii/Mitume wa Mungu ambao vimejumuishwa pamoja ili kutoa muongozo wa kiimani kwa wakristo kote ulimwenguni. Biblia inatambulika kama iliandikwa na vitabu kujumuishwa kwa uweza wa MUNGU hivyo ni kitabu kitakatifu, lakini kilichonishtua ni kugundua kwamba kati ya wakristo wanatumia Biblia tofauti kabisa yaani Wakatoliki Biblia yao ina vitabu 73, waprotestant vitabu 66, Orthodox Tawahedo (Ethiopia) ina vitabu 81 hili limenifanya nifungue uzi ili tumalize mkanganyiko huu na naomba tusome taratibu na kwakuelewa mada inazungumzia nini kabla ya kuchangia kwa kuongozwa na ushabiki au mihemko.

Historia
Wayahudi (Israel) walikuwa wanaandika maandiko wanayovuviwa na Mungu wao Yahweh tokea miaka 600 kabla ya Yesu na walikuwa na fixed canon ya vitabu 24 (39 ukivigawa) mpaka kipindi cha nabii wa mwisho Malachi 400 BC hivyo inasemekana ndio vitabu pekee vilivyokuwepo. kufikia karne ya 4 kabla ya kristo (KK) wayahudi waliokuwa uhamishoni hasa misri walitafsiri vitabu vya agano la kale vilivyoandikwa kiebrania kwenda kigiriki na kuzaa Biblia iliofahamika kama ''Septuagint''.... Biblia hii ilipata ushawishi sana kuliko ya kiebrania na ieleweke kwamba ni Biblia hii ndio imetumika mpaka na Yesu alipokuwa akinakili maandiko ya agano la kale kiufupi 70% ya quotes kutoka agano la kale kwenye vitabu vya Agano jipya vimetolewa kwenye Greek Septuagint. Kufikia hapa kukawepo na Biblia mbili kuu hivyo twende pamoja.
View attachment 993940
Mgogoro
Ikumbukwe Septuagint ilijumuisha vitabu vya kimafundisho ambavyo Hebrew bible haikuvitambua vitabu hivi vinajumuisha Macabees, Sirach,Wisdom of solomon n.k. Sasa ikafika mahali Septuagint (kigiriki) ikawa inatumika zaidi kuliko maandiko ya kiebrania (wayahudi) hivyo kwa mujibu wa mwanahistoria Heinrich Graetz ikabidi kikundi cha wayahudi kikutane kwa kilichoitwa council of Jamnia kilichofanyika 70 Baada ya kristo ambapo ndio kiliweka msimamo wa vitabu gani vya biblia ya kiebrania ndio vitambulike kwa wayahudi wote yote hii ili kuzuia upepo wa Biblia ya Greek sepruagint na hivyo hapa wakawa na msimamo wa vitabu vichache hasa vya agano la kale 39 tofauti na 46 vya septuagint. Hivyo tokea hapa madhehebu tofauti ya kikristo yakachukua Biblia mojawapo ya pande hizi mfano RC wao waliendelea na Greek Septuagint ambayo ndio ilitumiwa na mitume ila waprotestant wao waliamua kuendelea na Hebrew Bible wakiamini ndio halali na haijachakachuliwa pia madhehebu mengine kma Tawahedo Orthodox na mengineo yalikuwa na misimamo yao juu ya vitabu fulani hivyo utakuta baadhi ya makanisa yana vitabu kati ya hivyo 39 hadi 46 vya agano la kale.

Martin Luther
Karne ya 16 kiongozi wa wanamabadiliko/protestants walioamua kujitenga na ukatoliki Dr. Martin Luther naye aliamua kufanya tafsiri ya Biblia kwenda lugha ya kijerumani. Kiliandikwa 1520-34 na katika kuifanyia majumuisho naye alitaka kupunguza vitabu 7 vya agano jipya vikiwemo Ufunuo,Yuda,Waebrania na Yakobo n.k kwa kile alichokiita kwamba "havikuwa na uvuvio wa Roho mtakatifu" na hata leo hii kwenye Luther bible cha waprotestant hivyo vitabu 4 vimewekwa vya mwisho kabisa katika biblia yao na nakala za mwanzoni viliwekwa kundi moja na vitabh vilivyoitwa ''apocrypha''.

Pia luther alikipinga vikali kitabu cha esther nakutaka kifutwe kutoka kwa Biblia. Alisema hakina uvuvio wa Roho mtakatifu maana hakuna mahala kinamtaja MUNGU!! Martin luther alipinga pia uwepo wa kitabu cha James/Yakobo kwenye Biblia sabau kwanza kiliandikwa karne ya 2 ambapo muandishi wanayedai ni Yakobo kaka yake yesu alishakuwa amekufa toka mwaka 67 BK hivyo aliona kma ni kilifojiwa tu.
View attachment 993938

HITIMISHO
Sasa baada ya kuwa nimepitia baadhi ya hoja za wana JF humu hasa zinazogusa maslahi ya kikristo huwa wana conclude kuwa Biblia haina makosa maana ilivuviwa na Roho mtakatifu sasa nilikuwa nataka wajuzi mnisaidia maswali yafuatayo

1.je kauli hii inapotolewa huwa ina maana ya Biblia ipi ambayo ilivuviwa na Roho?

2. Je Biblia gani ni halali

3. Manabii wanasema usiongeze au kupunguza neno kwenye Vitabu vyao sasa Je kama mmoja ndio yupo sahihi ina maana wengi wamepotoshwa??

4. Na kama wamepotoshwa je nini hatma ya ukristo kama wahuni wachache wanaweza ongeza maneno au kupunguza kwenye Biblia

5. Swali la mwisho naamini MUNGU anaona haya makosa Je ina maana karuhusu neno lake lipotoshwe?? Na kama sio kwanini mpaka sasa kaacha wahuni wachezee NENO lake.

Naomba kuwasilisha

Cc: ningeomba Moderator kina Active na Mhariri msihamishe uzi huu jukwaa la dini ili niweze kupata mawazo ya wana JF wote hta wasio na access na jukwaa la dini, nitashukuru kwa hilo.
"Je Biblia ya kweli/Halisi ni ipi?"

Hicho ni kichwa cha habari kama ulivyoandika.

Je, Biblia ya uongo ni ipi na ni kwa nini?
 
Thibitisha hii kauli yako
Nilisha kwambia Koran nimeikariri yote
48:2 That Allah may forgive thee of thy sin that which is past and that which is to come.....

Leseni ya kufanya dhambi hiyo hapo ya Muhammad only Allah amaesha msamehe dhambi zilizopita na atakazofanya
 
"Je Biblia ya kweli/Halisi ni ipi?"

Hicho ni kichwa cha habari kama ulivyoandika.

Je, Biblia ya uongo ni ipi na ni kwa nini?
Hakunaga kweli mbili? Lazima moja iwe kweli nyingine iwe uongo. Sasa inapotokea Biblia mbili zinakinzana je huoni haziwezi zote kuwa kweli? Ssa tunaambiwa Biblia ilivuviwa na Roho mtakatifu. Sasa kitabu cha Henoko kipo biblia ya Orthodox ila protestants hamna, hawa wanadai hakifai kimefojiwa ila wale wanasema hapana kimeletwa na Roho mtakatifu. Sasa je huoni mmoja muongo na mwingine mkweli??? Ama unatafsirije ukweli kwenye muktadha huu
 
Sasa mwanadamu anazidi vp sifa Allah ?

Allah hana sifa za kibinadamu kama kuzaa, kula, kufanya mapenzi, kunya, kukojoa, etc. ....

Kiufupi,, Allah sio binadamu,, na binadamu hawezi kuwa Mungu
Allah kasema akitaka mke anachukua Malaika au horis ,
Allah pia ana viungo kama ugoko , mguu , mikono na akaaa kwenye kiti na uzito wake ni kubebwa na Malaika 8
 
Ndugu, miaka hiyo kulikuwa hakuna taiga LA Tanzania hata USA na baadhi.... Na Mungu alijidhihirisha kwa mataifa mengine kupitia Israel....
Mfano tu wa kawadia, ukitaka kwenda ndani ya nyumba yako no maamuzi yako, kupita mlango wa sebule, wa jikoni au hata dirisha ni wewe tu, ilimradi uhakikiishe kiwiliwili kipo ndani... Lakini Mungu sio mbaguzi... Marko 16:15 Akawambia, enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
Hujaelewa hoja yangu
1. Mimi nilisema Kitabu cha ufunuo inakataza kuongeza au kupunguza neno.

2. Jamaa akanijibu eti hutakiwi uongeze au upunguze maneno ya ufunuo tu.

3. Ndio namuuliza kwani Biblia ni kisiwa? Kwamba katazo fulani basi ni kwa kitabu fulani au jamii fulani tu.

4. Ndio nikamhoji je amri 10 za Mungu zilikua kwa wayahudi peke yao? Kwa sababu Musa aliziadress kwao sio kwa Edomites au gilgashites ama Akkad.

5. Hoja ni kwamba ukikatazwa kitu na kitabu A basi ujue ni applicable kwa vitabu vyote otherwise ukipinga generalization ya kitabu kimoja basi usipinge mtu akikataa kufuata amri 10 za Mungu
 
Nimekwambia nioneshe sehemu Allah anasema yeye ndo alikuwa ule moto... Au sehemu anasema ule moto ndo ulikuwa yeye..

Usibadilishe mada

You can fool all the people some of the time, and some people all the time, but you can't fool all people all the time
Kwa hiyo mti ulidanganya ilivyo sema yeye ni Allah? Huu mti unatakiwa tutafute tuupe adhabu ya kuukata maana kuuchoma moto haitasaidia maana unauwezo wa kuwaka moto bila kuteketea.

27:7 : Hakika nimeona moto, nitakwenda nikuleteeni khabari,............
27:9. Ewe Musa! Hakika Mimi ndiye Allah,


Mti unawaka moto ukasema Hakika Mimi ndiye Allah
 
Nataka uthibitishe hili....

Unaweza kuthibitisha kuwa hapo mti ndo uliongea hayo ?
Hapana sio mti ni mussa ndo aliongea

27:7 : Hakika nimeona moto, nitakwenda nikuleteeni khabari,............
27:9. Ewe Musa! Hakika Mimi ndiye Allah,

Mussa akasema Hakika Mimi ndiye Allah
 
Hio ni Akitaka,, lakini hawezi kufanya hivyo

Hio sio sahihi kwasababu Allah alisema hafanani na kiumbe chochote

Akisema ana mguu haimaanishi ana mguu wa kutembelea kama binadamu,, hio ni lugha ilotumika ili tupate kuelewa kulingana na ufahamu wetu
Allah kutofanana na kiumbe sio tija hata binadamu hatufanani
Kasema ana mguu kazi ya mguu inajulukana
 
Hakunaga kweli mbili? Lazima moja iwe kweli nyingine iwe uongo. Sasa inapotokea Biblia mbili zinakinzana je huoni haziwezi zote kuwa kweli? Ssa tunaambiwa Biblia ilivuviwa na Roho mtakatifu. Sasa kitabu cha Henoko kipo biblia ya Orthodox ila protestants hamna, hawa wanadai hakifai kimefojiwa ila wale wanasema hapana kimeletwa na Roho mtakatifu. Sasa je huoni mmoja muongo na mwingine mkweli??? Ama unatafsirije ukweli kwenye muktadha huu
Maelezo ni mengi, lakini sijajibiwa swali langu.
Napenda unitajie Biblia ipi ni ya uongo na kwa nini? Nitajie tu na toa sababu zake.
 
Sasa kama alipewa leseni does it mean kwamba alifanya madhambi ?

Nimekwambia nioneshe dhambi alofanya Mtume Muhammad SAW,, Acha longolongo

Nasubiri
Mimi nimekuthibitishia hiyo ni leseni alipewa
Kwa hiyo unataka kusema wewe unajua kuliko Allah aliempa leseni ya dhambi
Yani Allah hajui kwamba Muhammad alifanya dhambi au atafanya dhambi , kwanini unampinga Allah sana
 
Sasa kama alipewa leseni does it mean kwamba alifanya madhambi ?

Nimekwambia nioneshe dhambi alofanya Mtume Muhammad SAW,, Acha longolongo

Nasubiri
-Alioa mtoto wa miaka 6 mtoto ambae alitakiwa awe darasa la kwanza
-Alibaka house girl anaitwa maria akapiga shoo Kwenye kitanda Cha mke wake anaitwa Hafsa
-Alifanya umalaya kwa mwamvuli wa MUTa
-alisema wanawake wote wanaweza kwenda kwake apige nao ngono bila ndoa
  • aliua mtoto mdogo
  • alimkata Bibi kizee katikati kwa upanga
  • alikutwa na kijana mtanashati Al Kalb chumbani anadai ni jibril
Listi ni ndefu ila mwisho Allah akampa leseni ya kufanya dhambi atakavyo
 
Leo mimi napenda kutoa heshima kwa mwana Jamii forum zitto junior,
kwa michango yake makini.
Ni msomi.
Mambo ya imani au Dini ni magumu sana.
Yanategemea umezaliwa wapi, umelelewa na nani.

Swali la Biblia ipi ni ya Kweli, ipi sio, ni swala mtambuka.

Swala muhimu ni,
" sisi Binadamu hatima yetu ni ipi ?
Nani kasema nini, na nani katuahidi nini.

Tunaye Mjua kama Mungu alitufanyia utafiti.
Sample aliyo itumia ni ya watu wa Israeli.
Akapata matokeo kuwa.
1. Kuna viumbe wake wanataka uhuru, yaani, Wanywe, (ashakum) watombe, wafire, walale nk.)
2. Kuna watu wanataka wamsikilize YEYE, watende vile Mungu anataka.

Nitaendelea Kesho.
 
Nioneshe scholar anayetetea

Sawaa amepewa leseni,, je, hio inamaanisha aliwahi kutenda dhambi ?

Mbona uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana mkuu.

Mwenzako jana kashindwa kutaja dhambi alofanya Mtume Muhammad SAW kakimbia...
Wewe umekuja kudandia,, haya nasubiri uniambie dhambi Ata moja alofanya Mtume Muhammad SAW
Kwa hiyo wewe unajua kuliko Allah.
Kama alikuwa hana dhambi lesini ya nini yani Allah alikuwa hajui kama Muhammad ana dhambi zilizopita na zinazo kuja, kijana kuwa makini
 
Huu ni uongo na uzushi....

Niletee ushahidi wa haya unayoyasema...
Huwa siongei kitu sina ushahidi hata siku moja , ntakuandalia kila moja ushahidi wake ,

Ila unanitiwa wasiwasi wewe ni muislamu kweli?? Vitu vingi mno hujui
 
Hili swali mpaka leo hujajibu

Yesu alizaliwa mwaka, mwezi na tarehe gani
Je Allah anajua yajayo?
Kama hajui amewezaje kumsamehe Muhammad dhambi zijazo na wakati wewe umesema hakuwa na dhambi
Yani wewe ni mjuzi kuliko Allah
 
Back
Top Bottom