Ukweli kuhusu Biblia

deblabant

JF-Expert Member
Oct 7, 2022
896
1,328
Epuka matapeli haraka!!! hakuna "Biblia ya Waprotestanti" kama nilivyo ona sehemu fulani baada ya mimi kuandika Biblia ni Kitabu cha Kanisa Katoliki. Ieleweke kwamba kuna Biblia moja halali yaani "Biblia Takatifu" iliyoandikwa mwaka 399 BK chini ya Papa Damasius kama Biblia ya kwanza.

Historia inadhibitisha hilo kwa sababu Yesu alikuwa haongei na kuandika na wala hakuwa na Katibu na wala hakuacha maagizo ya kuandika Biblia.

MAMBO 10 KILA MKRISTO AFAHAMU.
1. Hakukuwa na Biblia kwa miaka 399 BK ya kwanza baada ya Kristo ( Kanisa Katoliki ndilo lililo anza na baadaye ndiyo ikaandikwa Biblia )

2. Kanisa katoliki ndilo lililoamua kuwa na biblia kwa kuchagua vitabu 27 kati ya vitabu zaidi ya 300 vya Injili, nyaraka na kuviita Agano Jipya.

3. Padre Tertullian ndiye alitoa jina la "Agano Jipya" kwa Biblia Takatifu, pia ndiye mwandishi wa Kilatini mzee zaidi.

4. Ni kanisa katoliki ndilo lililoamua ni vitabu vipi viingizwe katika Agano Jipya baada ya kusambaa hati nyingi za uongo.

5. Ni kanisa katoliki ndilo lililotoa Biblia kwa Ulimwengu kwa ajili ya kuwarahisishia waumini wao wakatoliki kujisomea kama kitabu kimoja chenye vitabu vingi ( Hakukuwa na madhehebu yoyote ya kiprotestant mpaka mwaka 1517 )

6. Mwaka 367 baada ya Kristo, mtakatifu Papa Damasius wa kwanza akiwa na baraza wakati wa upapa wake alichagua hati za maandiko ambazo aliona ni za kweli zilizovuviwa na Roho mtakatifu.

7. Tamko la baraza la Roma chini ya papa Damascus wa kwanza mwaka 382 BK ndiyo lilio halalisha Biblia takatifu.

8. Vitabu rasmi 27 viliongezwa kwenye hati au vitabu 46 vya Agano la Kale na kusababisha mkusanyiko mmoja wa vitabu 73 uitwao Biblia.

9. Mwaka 367 hadi 397 BK mtakatifu Padre Jerome akisaidiwa na Roho Mtakatifu alitafsiri maandiko katika wa miaka 30 na kuiita Biblia Jerusalem. yeye ni padre Mkatoliki, mwanatheolojia na daktari wa kanisa, alizungumza Kigiriki, Kiebrania na Kilatini; Pia alisoma Kiaramu Lugha ya Yesu alivyozungumza.

10. Papa Mtakatifu Siricius ndiye aliyeyaita Maandiko Matakatifu BIBLIA maana yake ni mkusanyo wa vitabu. Na Askofu Mkuu Steven Langton na Kardinali Hugo Desancto Caro wanasifiwa kwa kuunda Sura na mistari au aya katika Biblia yote.

NB
Martin Luther mwanzilishi wa kwanza wa madhehebu yote kutoka kanisa Katoliki (yaani Waprotestant) alisema "Tunawashukuru Kanisa Katoliki, Bila Kanisa Katoliki tusingekuwa na Biblia Takatifu" mwaka 1517 ujerumani. Na ndiyo huyu aliyepunguza vitabu kwenye Biblia na kutengeneza anayotaka yeye.

Wakatoliki wote tuseme Amina.
 
Imekuwaje biblia imefika roma
Wakati biblia matukio yote yamefanyika middle east

Kwa taarifa tu... roma waliiba hizo nyaraka za judah...na kuongeza baadhi ya vitabu km injili zote

Ndio maana judah hawaamin agano jipya sababu kwa wao wanaamin yesu hajaja bado
 
Maneno meengi kuongopea watu! Biblia ina vitabu 66 tu! Agano la kale vitabu 39 na agano jipya vitabu 27! Sasa wakatoliki wakajiongezea vitabu vingine vyenye mafundisho ya mashetani!
 
Kwahiyo wanaume kupelekeana moto ni kutoka kitabu kipi?
 
Imekuwaje biblia imefika roma
Wakati biblia matukio yote yamefanyika middle east

Kwa taarifa tu... roma waliiba hizo nyaraka za judah...na kuongeza baadhi ya vitabu km injili zote

Ndio maana judah hawaamin agano jipya sababu kwa wao wanaamin yesu hajaja bado
Sasa kama hawamuamini Yesu wataamini vipi injili
 
Epuka matapeli haraka!!! hakuna "Biblia ya Waprotestanti" kama nilivyo ona sehemu fulani baada ya mimi kuandika Biblia ni Kitabu cha Kanisa Katoliki. Ieleweke kwamba kuna Biblia moja halali yaani "Biblia Takatifu" iliyoandikwa mwaka 399 BK chini ya Papa Damasius kama Biblia ya kwanza.

Historia inadhibitisha hilo kwa sababu Yesu alikuwa haongei na kuandika na wala hakuwa na Katibu na wala hakuacha maagizo ya kuandika Biblia.

MAMBO 10 KILA MKRISTO AFAHAMU.
1. Hakukuwa na Biblia kwa miaka 399 BK ya kwanza baada ya Kristo ( Kanisa Katoliki ndilo lililo anza na baadaye ndiyo ikaandikwa Biblia )

2. Kanisa katoliki ndilo lililoamua kuwa na biblia kwa kuchagua vitabu 27 kati ya vitabu zaidi ya 300 vya Injili, nyaraka na kuviita Agano Jipya.

3. Padre Tertullian ndiye alitoa jina la "Agano Jipya" kwa Biblia Takatifu, pia ndiye mwandishi wa Kilatini mzee zaidi.

4. Ni kanisa katoliki ndilo lililoamua ni vitabu vipi viingizwe katika Agano Jipya baada ya kusambaa hati nyingi za uongo.

5. Ni kanisa katoliki ndilo lililotoa Biblia kwa Ulimwengu kwa ajili ya kuwarahisishia waumini wao wakatoliki kujisomea kama kitabu kimoja chenye vitabu vingi ( Hakukuwa na madhehebu yoyote ya kiprotestant mpaka mwaka 1517 )

6. Mwaka 367 baada ya Kristo, mtakatifu Papa Damasius wa kwanza akiwa na baraza wakati wa upapa wake alichagua hati za maandiko ambazo aliona ni za kweli zilizovuviwa na Roho mtakatifu.

7. Tamko la baraza la Roma chini ya papa Damascus wa kwanza mwaka 382 BK ndiyo lilio halalisha Biblia takatifu.

8. Vitabu rasmi 27 viliongezwa kwenye hati au vitabu 46 vya Agano la Kale na kusababisha mkusanyiko mmoja wa vitabu 73 uitwao Biblia.

9. Mwaka 367 hadi 397 BK mtakatifu Padre Jerome akisaidiwa na Roho Mtakatifu alitafsiri maandiko katika wa miaka 30 na kuiita Biblia Jerusalem. yeye ni padre Mkatoliki, mwanatheolojia na daktari wa kanisa, alizungumza Kigiriki, Kiebrania na Kilatini; Pia alisoma Kiaramu Lugha ya Yesu alivyozungumza.

10. Papa Mtakatifu Siricius ndiye aliyeyaita Maandiko Matakatifu BIBLIA maana yake ni mkusanyo wa vitabu. Na Askofu Mkuu Steven Langton na Kardinali Hugo Desancto Caro wanasifiwa kwa kuunda Sura na mistari au aya katika Biblia yote.

NB
Martin Luther mwanzilishi wa kwanza wa madhehebu yote kutoka kanisa Katoliki (yaani Waprotestant) alisema "Tunawashukuru Kanisa Katoliki, Bila Kanisa Katoliki tusingekuwa na Biblia Takatifu" mwaka 1517 ujerumani. Na ndiyo huyu aliyepunguza vitabu kwenye Biblia na kutengeneza anayotaka yeye.

Wakatoliki wote tuseme Amina.
Asante sana
 
Wewe ngumbaru Roman walikusanya tu Maandiko ila hawakuyaandika wao,
Kumbuka Kuna mkusanyiko wa Maandiko ambao haukukusanywa na Catholic Church,
Ni huko Ethiopia utaikuta Bible kongwe kuliko zote
na ina vitabu vyote kutoka Genesis mpaka Ufunuo mbali na hayo kuna vitabu vya ziada kama book of Enoch nk

Kingine lengo lilikua Injili ya Bwana Yesu kuenea na vitabu vya Injili ndivyo vya muhimu zaidi vingine ni ziada tu kuongeza ufahamu
Kumbuka Injili ni kitu practical sana kama mitume walivtofanya na hawakua na rejea zaidi ya kile alichokifanya Yesu pindi wapo nae nae wao wakafanya vile vile na sisi ni hivyo hivyo tunatakiwa tuwe practical na Sio hadithi tunazosomeana church na kwenda home kula magimbi!
 
WARUMI, Ndiyo waliyoivamia Israel na kuiba nyaraka za biblia, na kuleta tabu nyingi sana ulimwenguni pamoja na misukosuko! Mwaka 70.
 
Back
Top Bottom