Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Kwa nini kwenye bible zenu sometimes unakuta verse fulani zinapatikana katika version fulani lakini verse hizohizo hazimo kwenye version nyingine?

  • Kwa mfano verse hii (John 5:3–4), kwenye King James Version ipo, lakini kwenye New International Version haipo.
  • Mfano wa pili ni verse hii (1 John 5:7–8), Hii imo kwenye King James version lakini haimo kwenye New International version.

Unakuta moja ina vitabu zaidi ya 70, nyingine ina vitabu 66, nyingine ina vitabu zaidi ya 80?, Nyingine aya fulani na fulani wamezifuta.

Je, Biblia itakuwa authentic katika hali hii ?
Je, Biblia itakuwa credible katika hali hii ?
Kwanza lazima ujue wanao nakili Biblia toka maandishi ya Asili ni watu na wakati mwingine wanapitiwa yaani wanaweza kuiruka Aya flani kwa makusudi au kwa bahati mbaya za kiufundi.

Pili wanao andika Biblia sio wote ni watu wa Dini au imani.
Hata wewe kama una kampuni ya kuandika unaweza kupewa tenda ya kutoa nakala za Biblia. Yaani wewe Muislamu.

Kama Verse flani haipo katika Biblia flani ni makosa ya kiuandishi tu lakini cha msingi verse hiyo ipo na haijaondolewa.

Kuhusu kuwa na vitabu vingi au vichache
Soma andiko langu hapo juu.
 
Kwanini vitabu ndani ya Biblia haijulikani idadi yake ? Unakuta moja ina vitabu 70, nyingine 66, nyingine zaidi ya 80 !!

Yesu alizaliwa mwaka, mwezi na tarehe gani ?
Unataka ujibiwe mara ngapi ,

Ni jambo la kishangaza huwa mnadai man Yesu kwenye Koran alafu inakuja tena kuuliza kazaliwa lini,

Ukikiri kwamba Yesu hayupo kwenye Koran ndo nitakupa jibu

Swali Hili hapa
Je Allah anajua yajayo , ni swali rahisi la jibu la Ndio au Hapana
 
Madhumuni ya maandishi ya kwenye vitabu vya Biblia ni.

Kupeleka ujumbe wa Mungu kwa watu kama Mungu Mwenyewe anavyoona inafaa.

Swala la Mtume au Nabii fulani, kazaliwa lini, alikula nini, alioga saa ngapi, sio nia ya Maagizo ya Mungu Mwenyezi.

Ingempendeza kutaja tarehe angewaamuru Manabii wake kuandika tarehe zao za Kuzaliwa.

Hapa nazungumzia Manabii waliopo katika Biblia.
 
Duuh hii inasikitisha sana,,

Huoni kwamba hio imetengeneza njia kwa Biblia kuchakachuliwa,, na kwamba sio kitabu Authentic ?
Kosa mojawapo la Muhammadi hili hapa.

66:1
Ewe Nabii! Kwa nini unaharimisha alicho kuhalilishia Mwenyezi Mungu? Unatafuta kuwaridhi wake zako. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu
 
Ulisema viko vingi na hujui idadi yake... Na pia hujui idadi halisi ya hivo vitabu

Hii inasikitisha sana,,

Hii ni contradiction kubwa sana juu ya ukweli wa Biblia
Soma kwanza hiyo Surar At-Tahrim Aya ya kwanza.
Uone jinsi Mtume wako Muhammadi anavyokaripiwa na Allah kwa kusema uwongo.
Yaani kuongopa.

Halafu nitakujibu swali lako.
 
Haijaandikwa kwenye biblia , kilicho tajwa ni majira

Nimeshakujibu
Swali langu ujibu sasa Je Allah anajua yajayo
Kakimbia huyo, kaikimbia Aya ya sura ya Tahrim niliyomwekea hapo juu.
Inayo onesha zambi za Mtume.
Akiikanusha namuwekea nyingine hapo sijagusa hadithi.
 
Sasa kma haijaandikwa,, tarehe 25 December kila mwaka wanasherehekea nn ?

Tumalize kiporo kile alafu tutakuja huku,, nitakujibu usiwe na shaka
Kwani nyinyi mnaposhehereka Maulidi imeandikwa wapi kwenye Qurani ?
 
Hujaelewa hiyo aya ilikuwa inataka nn...

Mtume alikuwa anafundishwa katika kazi yake ya Utume... Alikua anafanya makosa madogo madogo ( haya makosa sio madhambi lakini )...

Sasa Allah alikuwa akimrekebisha kupitia aya za Qur'an...

Kwa mfano hapo kwenye surat tahrym... Mtume hajafanya dhambi... ila ameelekezwa tu kwamba asijizuie kufanya kitu ambacho Mola wake anamruhusu.... Unaweza kunionesha dhambi ipo wapi ? Au hujui maana ya dhambi ?
Na alipo mwambia atubu dhambi zake.
Zambi gani wakati hana.

[emoji117]Basi jua ya kwamba hapana mungu ila Mwenyezi Mungu, na omba maghufira kwa [emoji117]dhambi zako na za Waumini wanaume na Waumini wanawake. Na Mwenyezi Mungu anajua mahali penu pa kwenda na kurudi, na mahali penu pa kukaa.

Wewe ni mjuzi zaidi
 
Maulidi ni mazazi ya mtume Muhammad SAW,, tarehe 12 Rabiul Awwal kila mwaka... Hii ndo tarehe na mwezi alozaliwa Mtume Muhammad SAW...

Sasa nakuuliza ikiwa hamjui tarehe na mwezi alozaliwa Yesu,,, tarehe 25 December wanasherehekea nn ?
Nipo andiko Dogo kwenye Qurani,
Au ndio Takkiya hizo.
Mara kwa lugha ya Kiarabu
Mara unajua hapo.

[emoji117]Lete andiko wapi ruksa ya kusheherekea Maulidi ?
 
Daah unachekesha sana,, unanipa vitisho ety nitakuwekea aya zote hapa,, Kumbe unaleta Longolongo tu..

Narudia tena.. Niwekee hapa hizo aya nikuoneshe ulivokuwa mjinga...

Wapi Allah amemkaripia mtume wake ? ,, hapo amemrekebisha utendaji wake wa kazi,, mtume hakufanya dhambi...

Mtume ndio kiigizo chetu sisi Waislamu,, hivyo anaambiwa atubu ilimradi waumini tupate kujifunza kutoka kwake,, lakini mtume hana dhambi Ata moja... Mpaka sasa hamjaonesha

Nasubiri
Nyingine hii hapa

Basi subiri. Hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu ni kweli. [emoji117]Na omba msamaha kwa dhambi zako, na umtakase Mola wako Mlezi kwa kumhimidi jioni na asubuhi.

Kwanini Allah anamsingizia sana Muhammadi wakati hana dhambi kabisa.
Kuambiwa mara kibao atubu dhambi zake.

Hivi dhambi anaiona Mungu au Mwanadamu ?
 
Sasa kma haijaandikwa,, tarehe 25 December kila mwaka wanasherehekea nn ?

Tumalize kiporo kile alafu tutakuja huku,, nitakujibu usiwe na shaka
Tarehe 25 inewekwa kama kumbukumbu , tungeenda na majira ingekuwa inabadilika kama mfungo wa ramadha ,

Jibu swali langu
Allah anajua yajayo , ndio au hapana
 
Hujaelewa hiyo aya ilikuwa inataka nn...

Mtume alikuwa anafundishwa katika kazi yake ya Utume... Alikua anafanya makosa madogo madogo ( haya makosa sio madhambi lakini )...

Sasa Allah alikuwa akimrekebisha kupitia aya za Qur'an...

Kwa mfano hapo kwenye surat tahrym... Mtume hajafanya dhambi... ila ameelekezwa tu kwamba asijizuie kufanya kitu ambacho Mola wake anamruhusu.... Unaweza kunionesha dhambi ipo wapi ? Au hujui maana ya dhambi ?
Unaelewa dhambi ni nini , maana kama vile una definition Yako, ILI tujue
 
Surat ghafir, Aya ya 55
" Basi subiri. Hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu ni kweli. Na omba msamaha kwa dhambi zako, na umtakase Mola wako kwa kumhimidi jioni na asubuhi "

Unajua hapo Allah alikuwa anaongea na watu gani ,, Je alikuwa anawaambia waumini, Waislamu, ama Mtume ?
Unaweza kuthibitisha ?

Tatizo lenu hamuelewi aya !!
Kumbe waumini mnapokea Wahayi kwa Allah.
Sikufahamua

Halafu Waumini wanaambiwa
Tubu zambi zako na sio Zambi zenu

Kweli mmejipanga kumtetea Mtume wenu.
 
Back
Top Bottom