Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Tatizo ni kwamba ni mjumuiko/mkusanyiko wa vitabu, sasa hapo kutaka kujua kwamba mjumuiko upi ni sahihi bila vigezo vya kuongoza kujua usahihi wake unatakiwa uweje ndipo shida inapoanzia,ndio maana wengine wanasema biblia zote sahihi.
 
He left as a Donkey, never came back as a Horse!
Keep on drinking Camel Urine and praising Bewitched prophet!!
Shukrani labda hivi ndivyo ulivyofundishwa na unavyoongozwa.
Sasa njoo kwenye mada ya thread please

Biblia ipi sahihi?
 
Kuna ipo inayoruhusu dhambi!? Au mnapokosa kazi mnaanza kusumbua humu jf?

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ya wafia dini hamsomi mada mkaielewa mkiona tu imani zenu zimeguswa mnaanza kupanic

Ni hivi kwa observation yangu humu JF hasa mada za imani wakristo huwa wanadai Biblia haihojiwi sababu haina makosa na imepangiliwa na Roho mtakatifu (ambayo ni kweli kabisa)

Sasa hoja yangu ni kwamba je Biblia wanayosema ni ya Roho mtakatifu ni ipi maana kila dhehebu lina biblia yake na zinakinzana ikimaanisha haziwezi zote kuwa za Roho maana zote zinakinzana nmetoa mfano Biblia ya wakatoliki inawatambua malaika kma watakatifu ila Orthodox Bible inadai malaika walibaka wanadamu?? Biblia ya katoliki inatambua Abraham kma mtakatifu sana ila Bible ya Mormon kupitia Apocalypse of Abraham inasema alipewa vazi la shetani!!

Sasa wewe huoni kuna shida hapo kma makanisa yanakinzana maandiko... Je huoni kupitia huu upotoshaji wengi wataikosa pepo??

Anyway kuliko kejeli embu jibu hapo Biblia gani ni sahihi?? Na kama zote zina baraka ya roho mtakatifu inakuwaje zikinzane ilohali roho ni yuleyule habadiliki??

Naksubiri
 
Maneno husika ya. Mungu.
Mafarisayo waliamini kwamba kazi ya Yesu ilikuwa tofauti na ile waliyoijua ya mtoto mchanga wa kiume aliyetabiriwa maana wengi wao walitaka Mungu afanye kazi ndani ya dhana zao na hata walifnya ivo kumwekea Mungu mipaka.

Mwanadamu wa Leo anamkana Mungu kwasababu kazi ya Mungu mwenye mwili haikubaliani na Bible. Si kiini cha uasi dhidi ya Mungu mmoja na sawa?; unaweza kuwa Yule anaekubali tu bila swali. Kazi yeyote ya Roho Mtakatfu? Kama Ni kazi ya Roho Mtakatfu basi Ni "Mkondo" sawa unapaswa kuikubali bila wasiwasi hata kidgo, badala ya kuokota na kuchagua nini cha kukubali ukipata maarifa kiasi kutoka kwa Mungu na kujitahadhari dhidi yake , hili si tendo linalohitajka? Unachopaswa kufnya Ni kukubali, bila haja ya kuthibitsha zaid na kuchunguza, kazi yeyote iwapo tu niya Roho Mtakatfu, kwani ulimwamini Mungu kumfuata Mungu, sio kumchunguza. Haupaswi kutafuta ushuhuda zaidi ili nioneshe Mimi Ni Mungu wako. Badala yake unapaswa kupambanua kama Nina faida kwako. Hiyo ndiyo mhimu hatakama umegundua ushuhuda usiopingika ndani ya Bible ama katka principal za duniani. Bible haiwezi wala dunia haiwez kukuleta kikamilifu ndani yangu....wewe ndiwe mmoja unaeishi ndani ya mipaka ya dunia na Bible, na sio mbele yangu.
Bible haiwezi kukusaidia kunijua wala haiwezi kuimarisha upendo wako kwangu . ingawa Bible ilitabiri kwamba mtoto mchanga wa kiume angezaliwa hakuna yeyote angeweza kuelewa kupitia nani unabii ungetimia, kwani mwanadamu hakujua kazi ya Mungu, na hii ndio ilisababisha mafarisayo kusimama. Dhidi ya Yesu,

Mwanadamu anapaswa kuelewa kwamba sifnyi kazi ndani ya dhana zake, anachopaswa mwanadamu Ni kunipenda na kuja mbele zangu na kunifuata, mwanadamu mjinga anaejarbu kunichunguza hatonielewa kamwe Kwa maana Niko ndani na nje ya mipaka aliyeniwekea yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nadhani swali la msingi lilipaswa kuwa "Jee Biblia ni kitabu cha Mungu" maana kingekuwa cha Mungu sidhani kama kingekuwa na tofauti kubwa namna hiyo
Hebu mtafuteni Ahmed Deedat katika kitabu chake "Is the Bible God's Word" ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno husika ya. Mungu.
Mafarisayo waliamini kwamba kazi ya Yesu ilikuwa tofauti na ile waliyoijua ya mtoto mchanga wa kiume aliyetabiriwa maana wengi wao walitaka Mungu afanye kazi ndani ya dhana zao na hata walifnya ivo kumwekea Mungu mipaka.

Mwanadamu wa Leo anamkana Mungu kwasababu kazi ya Mungu mwenye mwili haikubaliani na Bible. Si kiini cha uasi dhidi ya Mungu mmoja na sawa?; unaweza kuwa Yule anaekubali tu bila swali. Kazi yeyote ya Roho Mtakatfu? Kama Ni kazi ya Roho Mtakatfu basi Ni "Mkondo" sawa unapaswa kuikubali bila wasiwasi hata kidgo, badala ya kuokota na kuchagua nini cha kukubali ukipata maarifa kiasi kutoka kwa Mungu na kujitahadhari dhidi yake , hili si tendo linalohitajka? Unachopaswa kufnya Ni kukubali, bila haja ya kuthibitsha zaid na kuchunguza, kazi yeyote iwapo tu niya Roho Mtakatfu, kwani ulimwamini Mungu kumfuata Mungu, sio kumchunguza. Haupaswi kutafuta ushuhuda zaidi ili nioneshe Mimi Ni Mungu wako. Badala yake unapaswa kupambanua kama Nina faida kwako. Hiyo ndiyo mhimu hatakama umegundua ushuhuda usiopingika ndani ya Bible ama katka principal za duniani. Bible haiwezi wala dunia haiwez kukuleta kikamilifu ndani yangu....wewe ndiwe mmoja unaeishi ndani ya mipaka ya dunia na Bible, na sio mbele yangu.
Bible haiwezi kukusaidia kunijua wala haiwezi kuimarisha upendo wako kwangu . ingawa Bible ilitabiri kwamba mtoto mchanga wa kiume angezaliwa hakuna yeyote angeweza kuelewa kupitia nani unabii ungetimia, kwani mwanadamu hakujua kazi ya Mungu, na hii ndio ilisababisha mafarisayo kusimama. Dhidi ya Yesu,

Mwanadamu anapaswa kuelewa kwamba sifnyi kazi ndani ya dhana zake, anachopaswa mwanadamu Ni kunipenda na kuja mbele zangu na kunifuata, mwanadamu mjinga anaejarbu kunichunguza hatonielewa kamwe Kwa maana Niko ndani na nje ya mipaka aliyeniwekea yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unataka tukubali tu kuwa kila Biblia imetokana na Roho mtakatifu sio?? Okay Nimekubali sasa basi kama zote zimeongozwa na Roho iweje tena zikinzane je inawezekana Roho mtakatifu akinzane mwenyewe??

Mfano iweje New international Version ipunguze maneno ya Biblia ya masoretic/septuagint.... Yaani mistari zaidi ya 100, maneno zaidi ya 64,000 yamefutwa sasa basi mtu akikuhoji Je iweje Roho awafunulie watu maandiko alafu mwingine aje ayafute kwa kusema yameongezwa sasa hapo Biblia zitakuwa sawa?? Na kama zikiwa sawa as you claim je iweje Roho ashushe Biblia yenye maneno kadhaa alafu aje ashushe maandiko mengine yanayofuta maneno ya Mungu ambayo alishusha hapo nyuma!!!

Does it make sense??
 
Nimeshakusaidia, usihoji kazi ya Roho Mtakatfu, nimeshakupa mwanga usimchunguze Mungu Bali mfuate, nimeshakufungua akili Biblia haikupeleki kikamilifu mbele za Mungu, hivyo unapaswa kuishi maisha matakatifu basi inatosha, kwa maana hakuna atakae muona Mungu bila kuwa Mtakatfu,
Mtu yeyote anaeshikilia dhana za kibiblia lazima ampinge Mungu, na lazima ashindane na kazi mpya za Roho Mtakatfu, kwa maana kazi za Leo anazozifanya Mungu hazijahifadhiwa kwenye Biblia, hivyo na wote wanaodhani yakwamba Mungu yupo kweny biblia basi wanajua machache Sana kuhusu Mungu:

Zingatia ninachokuambia usihoji kazi ya Roho Mtakatfu, unachopaswa kujiuliza ndani yako yakwamba Mungu anamsaada kwako? Kwani umemuamini Mungu ili umfuate na sio kumchunguza,

Mungu hufanya kazi mpya kila siku, anafnya kulingana na mazingira na fikira panuzi za mwanadamu.

Kwahiyo unataka tukubali tu kuwa kila Biblia imetokana na Roho mtakatifu sio?? Okay Nimekubali sasa basi kama zote zimeongozwa na Roho iweje tena zikinzane je inawezekana Roho mtakatifu akinzane mwenyewe??

Mfano iweje New international Version ipunguze maneno ya Biblia ya masoretic/septuagint.... Yaani mistari zaidi ya 100, maneno zaidi ya 64,000 yamefutwa sasa basi mtu akikuhoji Je iweje Roho awafunulie watu maandiko alafu mwingine aje ayafute kwa kusema yameongezwa sasa hapo Biblia zitakuwa sawa?? Na kama zikiwa sawa as you claim je iweje Roho ashushe Biblia yenye maneno kadhaa alafu aje ashushe maandiko mengine yanayofuta maneno ya Mungu ambayo alishusha hapo nyuma!!!

Does it make sense??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakristo Wenyewe Wanasemaje
Juu ya Tatizo Hili​

Huko nyuma katika karne ya nne, Mt. Augustino aligundua makosa mengi, ndani ya Biblia. Akizungumzia juu ya suala hili katika barua yake Na. 82.
Alisema kwamba makosa katika uelewaji ndio sababu ya tatizo hili (la kuona aya zinapingana, na nyingine zipo katika toleo hili, lakini katika toleo jingine hazipo na utatanishi mwingine mwingi).
Anasema yeye haamini kwamba watu kuongeza, kupunguza na kubadilisha baadhi ya mambo katika Biblia kuwa ni tatizo ila tatizo ni uelewaji mbaya katika usomaji. Kwa maneno mengine anasema kwamba baada ya msomaji kukumbana na mikorogano hii katika Biblia anatakiwa abuni maelezo fulani yatakayokuwa ni msamaha wa makosa haya.

Utafiti unaojaribu kuangalia na kuonyesha makosa katika Maandiko Matakatifu, tofauti na watu wengi wanavyofikiri, umeanza hivi karibuni. Kwa mamia ya miaka Biblia ilikubalika tu "kama ilivyo". Ilichukuliwa kuwa ni dhambi kubwa sana kujaribu kukosoa kosa, hata dogo lililomo ndani ya Biblia na viongozi wa kanisa walifanikiwa sana kuyazima majaribio yoyote ya kujaribu kuikosoa Biblia.

Kitabu cha kwanza kuonyesha na kukosoa makosa katika Biblia kilichoandikwa na Richard Simon kiitwacho Critical History of the Old Testament (Historia inayojaribu kuonyesha na kukosoa makosa yaliyomo katika Agano la kale), kilitoka mwaka 1678. Kitabu hiki kilileta tafrani na mtafaruku mkubwa lakini kilisaidia sana kufungua njia kwa wale waliokuja baadaye katika karne ya 18 na 19 kwa dhumuni la kufanya utafiti juu ya makosa yaliyomo katika Agano la Kale.

Kutokana na ukweli mwingi usiopingika uliotolewa na watu mbalimbali, Halmashauri ya awamu ya Pili ya Vatican (1962- 1965) ilitoa maelezo yanayoshangaza juu ya jambo hili "- - - Vitabu vya Agano la Kale vina (ndani yake) habari zisizo sahihi na zenye mapungufu mengi --."( The Bible, the Qur'an and Science, p. 41. (Biblia, Qur'an na Sayansi, uk. 41)

Agano Jipya pia lina kasoro na mapungufu mengi. Ingawa Halmashauri ya awamu ya pili ya Vatican inashikilia kwamba Injili "kihistoria ni ya kweli " na kwamba wao "kwa uaminifu kabisa wanaeneza yale ambayo Yesu alifanya na kufundisha watu wakati wa maisha yake".( Ibid, p. 57. ).
Wanazuoni wengine wamekuwa na maelezo ambayo ni kinyume kabisa na msimamo wa Vatican.

Katika kitabu chake "The Call of the Minaret" (Wito kutoka katika mnara wa msikiti, Adhana), Dr. Kenneth Cragg anasema kwamba kuna "mambo yaliyoongezwa na kupunguzwa" katika Agano Jipya Injili na ni kazi ya akili ya viongozi wa kanisa ikiongozwa na waandishi, na kwamba katika kazi zao wanatumia uzoefu na historia."[Is the Bible God's Word? pp. 1,2 (Je Biblia ni Neno la Mungu? Uk. 1,2).

Padre Kannengiesser, Profesa katika taasisi ya kikatoliki katika mji wa Paris, alionya katika kitabu chake "Faith in Resurrection" (Imani juu ya ufunuo), kwamba watu wasijaribu "kuyatafsiri na kuyaelewa maneno kama yalivyo" juu taarifa za kweli kuhusiana na Yesu katika Injili - onyo ambalo pia lilitolewa na Padre Rognet wa Paris katika kitabu chake "Initiation to the Gospels".

Carl Andrey, profesa wa falsafa na masomo ya dini katika Chuo kikuu cha Ball State kilichopo Indiana anasema kwamba vitabu vinne vya Injili: "- - - viliandikwa na watu wenye shauku wa harakati za mwanzo za kikristo na kwamba wanatupatia nusu tu ya habari kamili na kwa kiasi kikubwa ni mazao ya fikra za waandishi wao"[Jesus and the Four Gospels, pp. 6,7. (Yesu na Injili nne, vitabu vinne vya injili, uk. 6,7

Mwisho tuna maelezo ya Dr. W. Graham Scroggie wa "Prestigious Moody Bible Institute" ambaye anasema: "Ndiyo, Biblia ni zao la kazi iliyofanywa na binadamu - - - vitabu hivyo vimetokana na akili za watu, vimeandikwa kwa mikono ya watu, na fani ya uandishi wake ni ya kibinadamu.[Is the Bible God's Word?, p. 1. (Je Biblia ni Neno la Mungu, uk . 1 )

Kama huu ndio msimamo wa wanazuoni wa Biblia, wakristo wa "kawaida" watakuwa na lipi la kusema juu ya jambo hili?

Wengi (wa wakristo wa kawaida) hata hawajui lolote juu ya kasoro nyingi zilizomo ndani ya Biblia kwa sababu waandishi wa utangulizi na washereheshaji (wanatoa maelezo ya ziada) wa Biblia. Wanatumia mbinu mbalimbali za kijanja ili kuwafanya Wakristo wasiyajali na wajisahaulishe na maswali ambayo wangejiuliza juu ya kasoro nyingi zilizomo ndani ya Biblia. Pamoja na mambo mengine, waandishi hawa:

1) Wanaandika mambo kama ukweli uliothibitika wakati ukweli na uthabiti wake una mashaka, na

2) Wanayafunika makosa na kasoro zilizomo ndani ya Biblia kwa kutoa nyudhuru na kuomba radhi mbinu ambayo inaondoa umakini wa msomaji kutoka kwenye dosari na kasoro zilizomo ndani ya Biblia na badala yake kuangalia mambo mengine.

Kina wanachokwenda washereheshaji (Commentators) katika kujaribu kutetea kasoro na dosari zilizomo ndani ya Biblia ni alama na ushahidi tosha juu kutojisikia kwao vizuri na ugumu wanaoupata katika jitihada zao za kujaribu kutetea makosa, dosari na kasoro zilizomo ndani ya Biblia.

Pamoja na ukweli huu juu ya kasoro na dosari zilizomo ndani ya Biblia, ajabu ni kwamba mtu anapojaribu kuzionyesha hataambulia chochote kutoka kwa wakristo isipokuwa uadui. Niliwahi kupeleka makaratasi yenye utafiti wangu juu ya kasoro na dosari mbalimbali zilizomo ndani ya Biblia katika mishenari ya kikristo ambapo walinijia muda mfupi baadaye wakinishutumu kwa kufanya "uvamizi dhidi ya Biblia. Muongeaji aliendelea kusema kwamba "Biblia imefanyiwa uvamizi (imevamiwa) kwa karne nyingi, lakini bado ipo. Imestahimili vishindo (vyote) vya nje na ndani".[Personal Communication, Del Kingsriter of Centre for Ministry to Muslims, March 3, 1993. (Mawasiliano ya mtu binafsi). ]

Nastaajabu vipi mtu awe na msimamo kama huu mbele ya mifano tele inayoweza kuthibitishwa, sielewi anamaanisha nini katika neno "vishindo". Labda linaendeleza lile linalopatikana katika "kazi bora " ya vitabu vinavyotetea dosari na kasoro zilizomo katika vitabu vya Kikristo iliyomo katika kitabu kiitwacho "Is Bible Reliable. (Je, Biblia inaaminika?).

Katika kitabu hiki, mwandishi Bjug Horstal anasema kwamba Mungu "aliwashawishi" waandishi wa Maandiko Matakatifu "- - - kuandika kasoro na dosari zilizoambatana (zinazotokana) na lugha , na kwamba tunatakiwa tuliache jambo hili kwa Mungu mwenyewe, awe huru kutumia idadi yoyote ile ya fani na hata udhaifu wa kibinadamu kama anavyotaka mwenyewe - - -".[Is the Bible Reliable? pp. 86, 87. (Je biblia inaaminika? Uk. 86, 87). ]

Mashahidi wa Yehova wameandika kitabu kizima kiitwacho: Bible: God's Word or Man's? (Biblia: Ni neno la Mungu au la Mwanaadamu?), ambacho kinazungumzia kasoro na dosari zilizomo ndani ya Biblia. Katika kitabu hiki, wamelizungumzia suala hili kwa namna tofauti na ya pekee kwa kusema kwamba: 'kuna baadhi ya "kasoro na dosari za wazi" katika Biblia ambazo "ni vigumu kuzitetea". Hata hivyo tusizichukulie dosari na kasoro hizi kuwa ni kugongana na kupingana kwa aya za Biblia; mara nyingi ni kwa sababu ya ukosefu wa taarifa na habari kamili'.[The Bible: God's Word or Man's? p. 97. (Biblia ni neno la Mungu au la Mwanadamu? uk. 97 ]

Nilibahatika kupata nakala ya tafsiri ya Biblia ya Mashahidi wa Yehova "The New World Translation of the Holy Scriptures". Nilimuuliza mjumbe mmoja wa ngazi za juu wa jopo la Wafasiri wa mjini petu kuwa ana maelezo gani juu ya aya ya Mathayo 17:21, ambayo inasomeka: "Hakuna aya, kuna namba tu mstari mrefu ulio wazi". Mjumbe yule alibabaika sana alipoangalia sehemu hiyo. Akaahidi kuwa angekuja kuniona kwa mara nyingine tena ningependa kujua anasemaje kuhusiana na suala hili.

Kwa kifupi, Wakristo hawako tayari kuukubali ukweli kwamba Maandiko yao Matakatifu yamepotolewa kwa madai kwamba, ikiwa msingi utayumba na kutokuwa na uhakika, je tutasimama juu ya nini katika siku za masaibu na mashaka?"[Is the Bible Reliable? p. 84. (Je Biblia inaaminika, uk. 84). ]

Sio hayo tu, bali kuna aya inayozungumzia juu ya kuyabadilisha maandiko matakatifu katika maandiko hayo hayo:

" - - - ikiwa mtu yeyote ataongeza (au kufuta) neno lolote katika kitabu hiki, Mungu atamuongezea balaa zilizoandikwa katika kitabu hiki". (Ufunuo 22:18,19)

Ushahidi uko hapo, upo wazi na rahisi kwa kila mtu kuelewa. Ikiwa Mungu aliwaongoza kwa ufunuo kuandika vitabu vya Biblia, hakuna shaka kwamba wanadamu wameingilia na kubadilisha mambo mengi.

Swali muhimu kabisa la kumuuliza Mkristo ni kwamba:

Inawezekanaje kwa neno la Mungu kubadilishwa, kuondolewa na hata kutupiliwa mbali kwa matakwa ya mwanaadamu?
?
Neno Ni Yesu(Yoh 1:3) na haliwezi kubadilishwa na mwanadamu wala kuingiliwa na mwanadamu wala shetani,
Ni ujinga kwa mwanadamu kuendelea kuhoji juu ya maandishi yalyohifadhi story za zamani za sheria na neema, .....sasa tumeianza enzi ya ufalme je! Hayo makaratasi yanamsaada gani kwetu? Biblia imehifadhi tu historia ya matendo ya Mungu kwa mwanadamu na matendo ya mwanadamu kwa Mungu, yakwamba Ibrahim alikuwa na imani, Musa awa kiongozi Mkubwa, daudi alikuwa mfalme Yesu alizaliwa na Bikira Paulo na Peter wawa mitume , tena wanhubir Neno ambaye Ni Yesu...... Wanaoendelea kuihoji na kuikosoa historia ama kuitetea historia ni wapinzani wa Mungu, wanamuamini Mungu ili wamchunguze na sio kumfuata.

Kazi mpya za Roho Mtakatfu hazjahifadhiwa kwenye Biblia, na hicho ndicho kitu kinachotuhangaisha , wakristo.

Lakin ukweli utabaki palepale, yakwamba Mungu Ni Mungu hana mipaka wala hawekewi principal na mwanadamu za kufnya kazi.

Mimi mandiko yooote yaliyojaa hekima nimazuri na ya halali mbele za Mungu, hata wewe ukiandka waraka wenye hekima na haumpingi Mungu, basi Mimi nitakuwa upande huo na nitasoma .....kwasababu hakuna siku Mungu kashusha Biblia toka juu na kutupatia sisi, .....ninachojua Ni Yesu tu ndie alietoka mbinguni na Roho Mtakatfu na hao ndio wanaoongoza hatma ya mwanadamu na sio Biblia.

Tatizo haya ni maneno yako na hiyo John 1 unayosema si maneno ya Yesu na yametoka kwenye biblia na hapo ndipo penye utata . Ndipo linakuja swali , Ipi biblia sahihi?
 
Tatizo la Kutafsiri

Wataliano wana usemo usemao "Wafasiri ni waongo". Msemo huu una ukweli ndani yake na umetokana na uchunguzi makini. Kuchukua kitu fulani kilichoandikwa katika lugha fulani na kujaribu kukiingiza katika lugha nyingine huwa inaleta matatizo kwa sababu mara nyingi wafasiri hupambana na maneno katika lugha moja ambayo hayamo katika lugha nyingine. Neno jingine badala yake lazima litumike na matokeo yake ni kubadilika kwa maana.

Agano la kale mwanzo kabisa liliandikwa kwa Kiebrania, lakini lilitafsiriwa katika karne ya tatu kwenda katika lugha ya Kigiriki kwa ajili ya Wayahudi waliokuwa wanaishi nje ya Palestina (ambao walikuwa wanaongea Kigiriki - badala ya Kiebrania). Tafsiri hii iliitwa "septuagint" na ilitumika sana hata na wakristo wa mwanzo.

Agano Jipya liliandikwa katika lugha ya Kigiriki lakini maadamYesu mwenyewe alitumia lugha ya kiaramaiki, hii ina maana kwamba maneno yake yalilazimika kutafsiriwa na hivyo kusababisha uwezekano wa makosa

Tafsiri ya kigiriki iliyokuwa ikiitwa Septuagint iliunganishwa na maandiko ya Agano Jipya yaliyokuwa katika lugha ya kigiriki katika karne ya nne. Maandiko haya yaliyounda Biblia kamili sasa hivi yanaeleweka kama "Codexsinaiticus" na "Codex Vaticanus" na hizi ndio nakala za maandiko ya zamani kabisa zilizopo leo. Hakuna maandiko ya mwanzo kuliko haya yaliyonusurika kutupiliwa mbali.

Katika karne ya nne, Biblia ilitafsiriwa kwenda katika lugha ya Kilatini na Mt. Jerome.
Na hii ilibakia kuwa lugha ya Biblia hadi karne ya kumi na sita ambapo watu wa Mageuzi kama John Wycliffe, William Tyndale na Martin Luther walipoifasiri Biblia katika lugha mbalimbali za watu - jambo ambalo lilikuwa haliruhusiwi kabisa na viongozi wa kanisa wa wakati ule na ili kufanikisha lilimgharimu Tyndale maisha yake. Walifanya hivi ili kuwazuia watu kuyasoma, kuyaelewa au kuyahisi maandiko yao Matakatifu - haya yalifanywa makusudi na viongozi wa kanisa.

Tafsiri nyingine zilifuatia ndani ya muda mfupi. Karibu na mwisho wa karne ya kumi na sita kulikuwa na tafsiri za lugha mbalimbali na tafsiri mbalimbali za lugha moja ambazo zilileta malumbano na mabishano makubwa jambo lililomfanya Mfalme James I wa Uingereza kuteua kamati ya wanazuoni hamsini na nne ili kuandaa toleo "rasmi" na litakalotambulika na mamlaka. Watu hawa (kamati) walizisoma tafsiri zote zilizokuwepo wakati ule na, mnamo mwaka 1611, walitoa toleo lililoitwa "King James Versions of the Bible" yaani toleo la Biblia la Mfalme James - ambalo lilikuwa ndio toleo rasmi miongoni mwa Wakristo kwa mamia ya miaka.
Hapa ningeweza kuungana naww kwa kiwango flani, mfno kiebrania neno lililotumika kama uchawi ambalo ndo limetafsriwa ivo na watafsri wa lugha, halimaanishi hivyo katka lugha ya kiebrania, maana huko linamaanisha duka linalouza madawa ama sumu, sa sijajua maana halisi ya kutuandikia uchawi ilimaanisha nn, nafikiri nikwasababu hata waganga wa kienyeji tunawaita wachawi,

Na sio hivyo tu kuhusu tafsri, hata wachungaji wanatafsri zao, mfno: ukienda kanisa hili kikafunguliwa kitabu cha mathayo 13:1-5 kikafafanuliwa , afu siku nyingne uende kwa mwingne kwenye hicho hicho kifungu utakuta panaelezewa tofauti kabisa,

Hivyo ndivyo mambo yalivyo......ilimradi hawapingani na Mungu, basi yatufaa tusonge mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Biblia ni dini au nisehemu ya dini?! Au ni reference ya dini au reference ya Mungu au reference ya imani za dini? au ni kitabu tu kama vingine?!
 
Hapa ningeweza kuungana naww kwa kiwango flani, mfno kiebrania neno lililotumika kama uchawi ambalo ndo limetafsriwa ivo na watafsri wa lugha, halimaanishi hivyo katka lugha ya kiebrania, maana huko linamaanisha duka linalouza madawa ama sumu, sa sijajua maana halisi ya kutuandikia uchawi ilimaanisha nn, nafikiri nikwasababu hata waganga wa kienyeji tunawaita wachawi,

Na sio hivyo tu kuhusu tafsri, hata wachungaji wanatafsri zao, mfno: ukienda kanisa hili kikafunguliwa kitabu cha mathayo 13:1-5 kikafafanuliwa , afu siku nyingne uende kwa mwingne kwenye hicho hicho kifungu utakuta panaelezewa tofauti kabisa,

Hivyo ndivyo mambo yalivyo......ilimradi hawapingani na Mungu, basi yatufaa tusonge mbele

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawapingani vipi na tunaambiwa biblia ni maneno ya Mungu? Halafu hiyo kupingana ndio msingi wa tofauti za makanisa? Hivi Mkatoliki anaweza kwenda kuabudu Kanisa la Mormon? Au Jehovah witness?
 
Back
Top Bottom