[emoji871]Mada na iendelee.
{Baada ya michango mbalimbali ya hii mada nzuri kabisa natumaini imeanza kueleweka kuwa.
Aina zote za Biblia zinazungumzia jambo moja la msingi sana.
[emoji117]Kumshawishi Mwanadamu kuishi vile Muumba wake anataka.
Pia imekubaliwa kuwa zama hizi ni zama za [emoji1666]Agano Jipya kama ilivyotabiriwa na Nabii Yeremia 31:31.
[emoji524]Hivyo basi Biblia vyovyote iwavyo, ama iwe ya vitabu 72 au 66, ni lazima iwe na Kitabu cha Injiri chenye mafundisho ya Alfa na Omega, Yesu Kristo.}
Ufunuo wa Yohana 21:6
Akaniambia, Imekwisha kuwa. Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Mimi nitampa yeye mwenye kiu, ya chemchemi ya maji ya uzima, bure.
{[emoji523]Maana kwa Utakatifu wake Mungu amempa madaraka makubwa juu ya Binadamu wote.}
Mathayo 28:17
Nao walipomwona, walimsujudia; lakini baadhi yao waliona shaka.
Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
Mathayo 28:19
Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
Mathayo 28:20
na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
{[emoji525]Ndiye Nabii pekee anayetuhakikishia kuwa siku ya Kiyama Atarudi duniani kuwachukua wale waliofuata mafundisho yake.
Pia ndiye Nabii pekee aliye wapa Wanadamu ahadi kubwa ya maisha ya baadae kwamba.
1. Atawapa UZIMA wa Milele
2. Atawapa sifa ya kuwa WANA wa Mungu.}
Yohana 14:1
Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi.
Yohana 14:2
Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali.
Yohana 14:3
Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo.
Yohana 14:4
Nami niendako mwaijua njia.
Yohana 14:5
Tomaso akamwambia, Bwana, sisi hatujui uendako; nasi twaijuaje njia?
Yohana 14:6
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
{ [emoji892]Yesu ametuhakikishia Wanadamu kuwa ndiye aliyepewa majukumu makubwa Siku ya Kiyama. Vitabu vingi vya kuaminika vinakili hivyo}
Yohana 6:36
Lakini naliwaambia ya kwamba mmeniona wala hamwamini.
Yohana 6:37
Wote anipao Baba watakuja kwangu; wala ye yote ajaye kwangu sitamtupa nje kamwe.
Yohana 6:38
Kwa kuwa mimi sikushuka kutoka mbinguni ili niyafanye mapenzi yangu, bali mapenzi yake aliyenipeleka.
Yohana 6:39
Na mapenzi yake aliyenipeleka ni haya, ya kwamba katika wote alionipa nisimpoteze hata mmoja, bali nimfufue siku ya mwisho.
Yohana 6:40
Kwa kuwa mapenzi yake Baba yangu ni haya, ya kwamba kila amtazamaye Mwana na kumwamini yeye, awe na uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya mwisho.
Yohana 1:1
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
Yohana 1:2
Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
Yohana 1:4
Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
Yohana 1:12
Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
{[emoji519][emoji520][emoji526][emoji531][emoji1650][emoji1649][emoji1636][emoji126]Wakati watu wa Dini nyinginezo wanaahidiwa zawadi za Pombe, Wanawake, Asali, Maziwa, Matunda, huko kwa Mungu wao.
[emoji460]️[emoji462][emoji3037]Wakristo wana ahidiwa kuwa WANA wa Mungu.
Ni cheo kikubwa kuliko vyeo vyote. Ukiwa Mwana wa Mungu unahitaji nini tena.
Wakati tayari umepewa uweza wa kuutawala ulimwengu}
[emoji906][emoji3037][emoji1624]Turudi kwa wengine.
[emoji2101][emoji2100]Ni habari ya Ukweli, kuwa Masihi Yesu Kristo ndiye atakaye kuja siku ya Mwisho ya Kiama, na baadhi ya majukumu yake nimeyanukuu hapo juu.
Sasa atakapo tuuliza
Je Mlifuata mafundisho yangu ?
Tumtamjibu nini?
Kama
Je MLIBATIZWA baada ya kuisikia Injiri kama nilivyo wa agiza ?
Mtamjibu nini Wandugu ?
[emoji848][emoji848][emoji848]
Marko 16:15
Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
Marko 16:16
Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
{ [emoji519][emoji520]Iko haja kubwa ya kutulia na kujitathmini.
Mmoja wa Mashehe wa Uamsho ambaye ameachiwa toka mahabusu na Serikali ya awamu ya Sita, amezungumza jambo la msingi sana.
Kwamba
" Hatuwezi Kushindana na Mwenye Nguvu"
Yesu Kristo Ndiye Mwenye Nguvu }