Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Hizo aya ulizoziandika Hakuna ushahidi wa kusemwa Na Mungu wala Yesu, wala Hao waandishi hawajulikani ni Nani.
Umerukia gari kwa mbele, mimi sikukujibu wewe, niliyemjibu ame elewa.

Kwani Qurani aliandika nani ?
Tuanzie hapa.
 
Umerukia gari kwa mbele, mimi sikukujibu wewe, niliyemjibu ame elewa.

Kwani Qurani aliandika nani ?
Tuanzie hapa.
Huyo ndiye aliyeandika aya ulizozitoa?

Mngaliandikiana private , hapa ni uwanjani, Sorry
 
Huyo ndiye aliyeandika aya ulizozitoa?

Mngaliandikiana private , hapa ni uwanjani, Sorry
We huwezi kujadiliana na mimi tukaelewana.
Kwakuwa hupo kwa ajiri ya kujifunza, bali kubishana.
Basi endelea na kubisha.
 
Simjui Mkuu.
Pole kwa kukukwaza
Sasa umesema kweli, Huo ndiyo uungwana. Shukrani.

Ni kweli Hakuna mtu anayewajua Na ndiyo inakuwa ni vigumu kuthibitisha Kama kweli ni maneno ya Mungu au ya Yesu.
 
Wewe kwako ni kina nani ndugu yangu ?
Adam ni banadamu wa kwanza kuumbwa kwa mujibu wa biblia na Suleiman alikuwa mfalme

Kuwa na Nabii unatakiwa utoe unabii
prophesy -say that (a specified thing) will happen in the future.
Nikikuuliza kwa nini unamuita Muhammad nabii utajibu nini?
 
Sasa umesema kweli, Huo ndiyo uungwana. Shukrani.

Ni kweli Hakuna mtu anayewajua Na ndiyo inakuwa ni vigumu kuthibitisha Kama kweli ni maneno ya Mungu au ya Yesu.
Huu ndio Ukweli wako ulikuwa unauhitaji.
Ndio maana nimekujibu hivyo ili ulidhike na kutulia.
Kwakuwa maandiko yanasema wazi kabisa.
Mjibu mwenye Hekima kutokana na Hekima yake.
Au kama inavyosema Mithari 26: 4-5.
 
Tuwekee aya yesu anasema Mimi ni Mungu niliyevaa mwili wa kibinadamu, mashuzi peleka kanisani kwako
Kama Yesu sio MUNGU, Mungu nani?!
HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PAULO MTUME WAKE[emoji123][emoji106]
 
Unajua majuto ni mjukuu huja badae, usipotumia akili yako wakati huu usifikiri unaweza kuitumia baada ya kufa kwako.

Inatakikana utulie umuombe mungu alafu usome ili ujue ukweli wa mambo usikariri tu. Soma thibitisha then fuata.

Sio unasema kwa jina la yesu sawa linatibu lakini jee yesu mwenyewe ndiyo kafundisha ivyo.
Acha mkwala mbuzi!
Kwanza ww mungu wako allah kakupi muhuri![emoji13][emoji56]
[emoji116][emoji116]
Allah Subhanahu Wa Ta'ala alisema:

خَتَمَ اللَّهُ عَلٰى قُلُوبِهِمْ وَعَلٰى سَمْعِهِمْ ۖ وَعَلٰىٓ أَبْصٰرِهِمْ غِشٰوَةٌ ۖ وَلَهُمْ عَذَاب
"Mwenyezi Mungu ameweka muhuri juu ya nyoyo zao na masikio yao. Na juu ya maono yao kuna pazia. Nao watapata adhabu kubwa."
(QS. Al-Baqara 2: Mstari wa 7)

ukiangalia aya hapo juu ni nani wa kulaumiwa kwa wasio Amini wakati allah ndio alie sababisha watu wasiamini?! ambaye ameweka muhuri juu ya nyoyo zao na vizibo?

YESU NI MUNGU KAMILI NA NI MWAJADAMU KAMILI[emoji123][emoji106]
 
Acha mkwala mbuzi!
Kwanza ww mungu wako allah kakupi muhuri!
emoji13.png
emoji56.png

emoji116.png
emoji116.png

Allah Subhanahu Wa Ta'ala alisema:

خَتَمَ اللَّهُ عَلٰى قُلُوبِهِمْ وَعَلٰى سَمْعِهِمْ ۖ وَعَلٰىٓ أَبْصٰرِهِمْ غِشٰوَةٌ ۖ وَلَهُمْ عَذَاب
"Mwenyezi Mungu ameweka muhuri juu ya nyoyo zao na masikio yao. Na juu ya maono yao kuna pazia. Nao watapata adhabu kubwa."
(QS. Al-Baqara 2: Mstari wa 7)

ukiangalia aya hapo juu ni nani wa kulaumiwa kwa wasio Amini wakati allah ndio alie sababisha watu wasiamini?! ambaye ameweka muhuri juu ya nyoyo zao na vizibo?

YESU NI MUNGU KAMILI NA NI MWAJADAMU KAMILI
emoji123.png
emoji106.png
Ukimsoma Allah huwezi elewa kazi za shetani ni zipi, na za Allah ni zipi

Yeye ndio anafunga watu wasiamini alafu yeye ndo atawahukumu kwa kutokuamini.

Yeye ndio alie danganyishia watu kwa kuweka Yesu bandia msalabani alafu Yeye ndo anasema atawahukumu kwa kuamini Yesu kasulubiwa
 
Mungu wa wakristo hayupo serious.unamuua mtoto wako wa pekee akamuacha shetani ambae anapotosha watu mpaka leo. Wakati angemuuua shatan kusingekuwa na dhamabi Tena.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Then hata nawashangaa wanao jiita wafuasi wake[emoji56][emoji13]
Kuna vicheka hapa
[emoji1370][emoji1370]

بَدِيعُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ۖ أَنَّىٰ يَكُونُ لَهُ وَلَدٌ وَلَمْ تَكُن لَّهُ صَاحِبَةٌ ۖ وَخَلَقَ كُلَّ شَيْءٍ ۖ وَهُوَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ ( 101 )
Yeye ndiye Muumbaji wa mbingu na ardhi bila ya ruwaza. Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke? Naye ndiye aliye umba kila kitu. Naye ni Mwenye kujua kila kitu.

: وَمَرْيَمَ ابْنَتَ عِمْرَانَ الَّتِي أَحْصَنَتْ فَرْجَهَا فَنَفَخْنَا فِيهِ مِن رُّوحِنَا وَصَدَّقَتْ بِكَلِمَاتِ رَبِّهَا وَكُتُبِهِ وَكَانَتْ مِنَ الْقَانِتِينَ ( 12 )
Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake, na tukampulizia humo kutoka roho yetu, na akayasadiki maneno ya Mola wake Mlezi na Vitabu vyake, na alikuwa miongoni mwa wat'iifu.

وَالَّتِي أَحْصَنَتْ فَرْجَهَا فَنَفَخْنَا فِيهَا مِن رُّوحِنَا وَجَعَلْنَاهَا وَابْنَهَا آيَةً لِّلْعَالَمِينَ ( 91 )
Na mwanamke aliye linda uke wake, na tukampulizia katika roho yetu, na tukamfanya yeye na mwanawe kuwa ni Ishara kwa walimwengu

Surah 6: 101 ilisema kwamba ni vipi Mwenyezi Mungu anaweza kupata mwana bila mke? Ni nani alikuwa anauliza Swali hili la kipumbavu katika quran tukufu?
Sura ya 66: 12 na 21: 91 baadaye ilikiri kwamba Mwenyezi Mungu alimpa ujauzito Mariamu kwa kupulia uke wa binti amran (farjaha)
Na isa alipo zaliwa akamkataa sio mwanae [emoji2301][emoji15][emoji2957]

Ana tofauti gani na mkora wa huku uswazi?![emoji2956][emoji2956][emoji2956]
 
Mungu wa wakristo hayupo serious.unamuua mtoto wako wa pekee akamuacha shetani ambae anapotosha watu mpaka leo. Wakati angemuuua shatan kusingekuwa na dhamabi Tena.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Hapana Mungu ndiye muasisi wa Demokrasia.
Hivi kuna demokrasia bila kuruhusu upinzani ?
Watanzania si mlichagua kuwa na vyama vingi na sasa mnalilia Katiba Mpya ili muimarishe Demokrasia ?

Mosi.
Mungu hataki kuwa
Dikteta kama Kim-Jong Un, Raisi wa Korea Kaskazini, ambaye anaua raia wake ili kuwatisha ili wamsikilize yeye tu.

Mungu hataki hivyo, kwakuwa kuna watu hawamtaki Mungu kabisa, anawaheshimu sana, na amewapa muda ili wamrudie kumtii yeye kwa hiari yao.

Ibirisi Lucifer, Shetani Mkuu naye ni mungu pia, na ana miungu yake na waumini anaowaongoza.
Nenda YouTube bofya " Satanic Church" utayaona makanisa ya Shetani na waumini wake.

Shetani hatakiwi kuuwawa, kwakuwa ana wafuasi wengi tu, kwa kujua au kuto kujua. Na wanapenda maisha ya Kishetanishetani, wanataka kuwa huru, hawataki kuamrishwa amrishwa, waache hiki na watende kile.

Pili
Mungu ndiye Muumba wa kila kitu.
Huwa hashauriwi na yeyote. Anafanya kile anachoona kinampendeza Yeye.

Ni kama wewe unapochonga kinyago cha mti wa mpingo, unaweza kukipamba maua na kikiweka kama pambo sebureni.
Siku ikikupendeza unaweza ukakigeuza kuni na kukichoma moto kikaungua kabisa.
Atakuuliza nani ?

Tatu.

Mungu haui mtu, bali unamuondoa duniani na kumpeleka anako ona yeye kunafaa.
Yesu Kristo alimnyanyua na kumpeleka Mbinguni.

Na hakuna namna ya kumchukua mtu zaidi ya Njia ya Kifo. Kwakuwa inabidi auache mwili wake ndipo achukuliwe.

Mwili ni jumba linalokuwezesha kuishi hapa duniani tu.

Mungu akikuchukua unatakiwa uondoke bila mwili, ndio maana unauacha mwili wako na watu wanaufukia.
Wewe huyoooo, unaondoka.
 
Huu ndio Ukweli wako ulikuwa unauhitaji.
Ndio maana nimekujibu hivyo ili ulidhike na kutulia.
Kwakuwa maandiko yanasema wazi kabisa.
Mjibu mwenye Hekima kutokana na Hekima yake.
Au kama inavyosema Mithari 26: 4-5.
Kwa hivyo kumbe ilikuwa unasema uongo? Sasa tuambie ukweli wa huyo alieziandika zile aya ulizozileta ni Nani Na kwa ushahidi gani?
 
Kama Yesu sio MUNGU, Mungu nani?!
HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PAULO MTUME WAKE[emoji123][emoji106]
Sasa tuwekee aya Yesu kasema Mimi ni Mungu kamili aliyevaa mwili wa kibinadamu
 
Back
Top Bottom