Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

UTANGULIZI
Historia ya Biblia ya kikristo ni ndefu jinsi vitabu vilivyopatikana lakini ntaandika kwa kifupi sana na mengine tutaandaika tunavyozidi kuchangia kwenye uzi huu. Na pia nitoe rai mapema kuwa uzi huu sio wa kidini bali wa kielimu/historia hivyo sitegemei watu kurushiana matusi ya kuhusu dini sijui Mungu yupo au hayupo!! N.k
View attachment 993939
Prologue
Biblia ya kikristo ni mjumuiko wa vitabu mbalimbali vya manabii/Mitume wa Mungu ambao vimejumuishwa pamoja ili kutoa muongozo wa kiimani kwa wakristo kote ulimwenguni. Biblia inatambulika kama iliandikwa na vitabu kujumuishwa kwa uweza wa MUNGU hivyo ni kitabu kitakatifu, lakini kilichonishtua ni kugundua kwamba kati ya wakristo wanatumia Biblia tofauti kabisa yaani Wakatoliki Biblia yao ina vitabu 73, waprotestant vitabu 66, Orthodox Tawahedo (Ethiopia) ina vitabu 81 hili limenifanya nifungue uzi ili tumalize mkanganyiko huu na naomba tusome taratibu na kwakuelewa mada inazungumzia nini kabla ya kuchangia kwa kuongozwa na ushabiki au mihemko.

Historia
Wayahudi (Israel) walikuwa wanaandika maandiko wanayovuviwa na Mungu wao Yahweh tokea miaka 600 kabla ya Yesu na walikuwa na fixed canon ya vitabu 24 (39 ukivigawa) mpaka kipindi cha nabii wa mwisho Malachi 400 BC hivyo inasemekana ndio vitabu pekee vilivyokuwepo. kufikia karne ya 4 kabla ya kristo (KK) wayahudi waliokuwa uhamishoni hasa misri walitafsiri vitabu vya agano la kale vilivyoandikwa kiebrania kwenda kigiriki na kuzaa Biblia iliofahamika kama ''Septuagint''.... Biblia hii ilipata ushawishi sana kuliko ya kiebrania na ieleweke kwamba ni Biblia hii ndio imetumika mpaka na Yesu alipokuwa akinakili maandiko ya agano la kale kiufupi 70% ya quotes kutoka agano la kale kwenye vitabu vya Agano jipya vimetolewa kwenye Greek Septuagint. Kufikia hapa kukawepo na Biblia mbili kuu hivyo twende pamoja.
View attachment 993940
Mgogoro
Ikumbukwe Septuagint ilijumuisha vitabu vya kimafundisho ambavyo Hebrew bible haikuvitambua vitabu hivi vinajumuisha Macabees, Sirach,Wisdom of solomon n.k. Sasa ikafika mahali Septuagint (kigiriki) ikawa inatumika zaidi kuliko maandiko ya kiebrania (wayahudi) hivyo kwa mujibu wa mwanahistoria Heinrich Graetz ikabidi kikundi cha wayahudi kikutane kwa kilichoitwa council of Jamnia kilichofanyika 70 Baada ya kristo ambapo ndio kiliweka msimamo wa vitabu gani vya biblia ya kiebrania ndio vitambulike kwa wayahudi wote yote hii ili kuzuia upepo wa Biblia ya Greek sepruagint na hivyo hapa wakawa na msimamo wa vitabu vichache hasa vya agano la kale 39 tofauti na 46 vya septuagint. Hivyo tokea hapa madhehebu tofauti ya kikristo yakachukua Biblia mojawapo ya pande hizi mfano RC wao waliendelea na Greek Septuagint ambayo ndio ilitumiwa na mitume ila waprotestant wao waliamua kuendelea na Hebrew Bible wakiamini ndio halali na haijachakachuliwa pia madhehebu mengine kma Tawahedo Orthodox na mengineo yalikuwa na misimamo yao juu ya vitabu fulani hivyo utakuta baadhi ya makanisa yana vitabu kati ya hivyo 39 hadi 46 vya agano la kale.

Martin Luther
Karne ya 16 kiongozi wa wanamabadiliko/protestants walioamua kujitenga na ukatoliki Dr. Martin Luther naye aliamua kufanya tafsiri ya Biblia kwenda lugha ya kijerumani. Kiliandikwa 1520-34 na katika kuifanyia majumuisho naye alitaka kupunguza vitabu 7 vya agano jipya vikiwemo Ufunuo,Yuda,Waebrania na Yakobo n.k kwa kile alichokiita kwamba "havikuwa na uvuvio wa Roho mtakatifu" na hata leo hii kwenye Luther bible cha waprotestant hivyo vitabu 4 vimewekwa vya mwisho kabisa katika biblia yao na nakala za mwanzoni viliwekwa kundi moja na vitabh vilivyoitwa ''apocrypha''.

Pia luther alikipinga vikali kitabu cha esther nakutaka kifutwe kutoka kwa Biblia. Alisema hakina uvuvio wa Roho mtakatifu maana hakuna mahala kinamtaja MUNGU!! Martin luther alipinga pia uwepo wa kitabu cha James/Yakobo kwenye Biblia sabau kwanza kiliandikwa karne ya 2 ambapo muandishi wanayedai ni Yakobo kaka yake yesu alishakuwa amekufa toka mwaka 67 BK hivyo aliona kma ni kilifojiwa tu.
View attachment 993938

HITIMISHO
Sasa baada ya kuwa nimepitia baadhi ya hoja za wana JF humu hasa zinazogusa maslahi ya kikristo huwa wana conclude kuwa Biblia haina makosa maana ilivuviwa na Roho mtakatifu sasa nilikuwa nataka wajuzi mnisaidia maswali yafuatayo

1.je kauli hii inapotolewa huwa ina maana ya Biblia ipi ambayo ilivuviwa na Roho?

2. Je Biblia gani ni halali

3. Manabii wanasema usiongeze au kupunguza neno kwenye Vitabu vyao sasa Je kama mmoja ndio yupo sahihi ina maana wengi wamepotoshwa??

4. Na kama wamepotoshwa je nini hatma ya ukristo kama wahuni wachache wanaweza ongeza maneno au kupunguza kwenye Biblia

5. Swali la mwisho naamini MUNGU anaona haya makosa Je ina maana karuhusu neno lake lipotoshwe?? Na kama sio kwanini mpaka sasa kaacha wahuni wachezee NENO lake.

Naomba kuwasilisha

Cc: ningeomba Moderator kina Active na Mhariri msihamishe uzi huu jukwaa la dini ili niweze kupata mawazo ya wana JF wote hta wasio na access na jukwaa la dini, nitashukuru kwa hilo.
HAKUNA kitabu cha dini kilichoandikwa na Mungu, vyote vimetungwa na binadam na kuvutia jamii iliyomzunguka.
 
Maneno ya Mungu utayasikia kutoka ndani yako kwa sababu Mungu yuko ndani yako. Yule anayehubiriwa makanisani ni mungu wa deal. - toa ndugu toa - Mungu wa kweli anakuongoza kwenye kutambua mema na mabaya toka ndani yako. Hawa wanaotafsiri maneno ya Mungu ni deal tu. Ona walivyojimilikisha ardhi, mahekalu, vyuo n.k. kwa kivuli cha dini zao.
Hautakuja kuyajua hayo mpaka pale utakapokuwa umefunguka jicho la rohoni - jicho la tatu. Mnamchangia mchungaji / mtumishi wa mungu mahela wakati wahumini wanahangaika na maisha.
Imeandikwa Dini ya kweli ni hii - saidia wajane, maskini na yatima - mengine mbwembwe tu. Sio kwamba napinga dini ila kuna umuhimu wa kuchunguza kwa kina wanaosambaza hizo dini nyuma ya pazia wana nini?
Punguza mihemko kama jambo hulijui Bora kukaa kimya kuliko kuandika usichokijua huwezi kusema eti viongoz wa dini wamejimilikisha ardhi chuo ni wapiga deal hujui maandiko .mf. wayahudi walijenga hekalu je ni kosa kwa vile lilijengwa juu ya ardhi? Kuna wengine wameambia wakifanya kaz madhabahuni watakula vya madhabahu nao Mungu alikosea?
 
Haya mafunuo aliyo watupia muham mad toka adui wa jibril na kuwatupia na kulazazimishwa kukariri kwa bakora za makalio imewapakua ubongo wenu woote na kuwa misukule [emoji15][emoji2301]
[emoji1370][emoji1370]
لَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ 97
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Kama unabisha hufuati ilimu ya ADUI WA JIBRIL Tuwekee Andiko humu muham mad Alipo pewa utume kama alivyo pewa Musa
[emoji1370][emoji1370]
فَلَمَّا أَتَاهَا نُودِيَ يَا مُوسَىٰ ( 11 )
Basi alipo ufikia akaitwa: Ewe Musa!

إِنِّي أَنَا رَبُّكَ فَاخْلَعْ نَعْلَيْكَ ۖ إِنَّكَ بِالْوَادِ الْمُقَدَّسِ طُوًى ( 12 )
Hakika Mimi ndiye Mola wako Mlezi! Basi vua viatu vyako. Kwani upo katika bonde takatifu la T'uwa.

وَأَنَا اخْتَرْتُكَ فَاسْتَمِعْ لِمَا يُوحَىٰ ( 13 )
Nami nimekuteua wewe; basi sikiliza unayo funuliwa.

Kama alivyo hukumia mola wako ww ni finnar jehannam halidina fiha Abadan [emoji24][emoji2956][emoji2956]
[emoji1370][emoji1370]
وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا ( 71 )
Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

Weka Ushahidi muham mad Allah amemtuma[emoji101]
Unamkataa mtume na unasoma kitabu kilichoshuka kupitia Muhammad

Una maajabu
 
Usihangaike, wewe fuata tu maono yako kwenye akili, ujue jema ni lipi na baya ni lipi. Imba kwenye moyo wako"usimtendee mwenzio usichopenda utendewe " Ukitaka kuapa tumia katiba ya nchi yako.
 
Nlishangaa eti umesoma quran miezi mitatu [emoji23][emoji23][emoji23] ndo uje uiongelee Huna utimamu wewe hiki unachoongea ongea ukiwa na full authority weka andiko Hilo hapa kinyume na hapo umeshindwa kujibu biblia halisi Ni ipi

Ipe fursa akili yako kufanya kingine haya maji marefu
Tena miezi mitatu ni matumizi mabaya ya muda
Sura hii 108 Allah kaongea mistari mitatu unategemea uchukue mwaka kukariti mistari mitatu. Na maneno 10

Nimeweka hoja hapo kwamba ukiwa muislamu huna Hakika na utakapo pelekwa na Allah , mpaka Muhammad mwenyewe alisema hajui , maana Allah kashaumba wa motoni na wa bikra 72 toka tumboni mwa mama zao
 
We unamuonea wivu mtume wa ulimwengu wote kusamehewa? Haya kuwa wewe mtume Kama wale kina bulldozer usamehewe na wewe

Jibu bibilia halisi Ni ipi?
Issue ilikuwa kuna mtu alisema Muhammad hana dhambi,

Lakini tukaona Allah kampa leseni ya kufanya dhambi atakavyo
 
Hii leseni iko wapi ?
48:2 That Allah may forgive thee of thy sin that which is past and that which is to come.....

Leseni ya kufanya dhambi hiyo hapo ya Muhammad only Allah amaesha msamehe dhambi zilizopita na atakazofanya

Na Aya zingine alikuwa Muhammad akifanya dhambi Allah anashusha Aya haraka kumruhusu,

Aya hii ilishushwa na Allah haraka baada ya Muhammad kukamatwa anambaka maria kwenye nyumba ya mke wake anaitwa Hafsa ,ila chimbuko la aya lilitoka kwa Umar ndio alitamka maneno Perhaps his lord Yani akimaanisha Mungu wake Muhammad anaweza kumpa wake wengine akiwapa talaka nyie, Muhammad akacopy haraka maneno ya Umar akatengeneza Koran chap ila akasahau kwamba kama ni maneno ya Allah hatakiwi kutumia maneno kama perhaps (labda) maana Allah was supposed to be God na hatakiwi kutumia maneno ya kubaatisha

66:5 Perhaps his Lord, if he divorced you [all], would substitute for him wives better than you ....
 
48:2 That Allah may forgive thee of thy sin that which is past and that which is to come.....
Anasema Allah :

2. Ili Mwenyezi Mungu akusamehe makosa yako yaliyo tangulia na yajayo, na akutimizie neema zake, na akuongoe katika Njia Iliyo Nyooka, (al-Fath'i : 2)

Hapo hakuna leseni,sababu aya imekuja kwa sharti,hujatuonyesha sharti hilo.

Kwa mfano sisi tumeambiwa ya kuwa kuna mambo tukifanya yanafuta madhambi yetu madogo.

Kuambiwa kusamehewa madhambi yaliyo pita na yajayo si leseni sababu hilo ni sharti.
Leseni ya kufanya dhambi hiyo hapo ya Muhammad only Allah amaesha msamehe dhambi zilizopita na atakazofanya
Hii si leseni,mpaka uweke andiko linalo onyesha amri ya kifanya hivyo. Nataka uniambir sababu ya kushuka aya hii ni ipi ? Rejea aya ya kwanza na zinazo fata.
Na Aya zingine alikuwa Muhammad akifanya dhambi Allah anashusha Aya haraka kumruhusu
Kama aua gani ?
Aya hii ilishushwa na Allah haraka baada ya Muhammad kukamatwa anambaka maria kwenye nyumba ya mke wake anaitwa Hafsa
Ushahidi wa hili naiomba.
ila chimbuko la aya lilitoka kwa Umar ndio alitamka maneno Perhaps his lord Yani akimaanisha Mungu wake Muhammad anaweza kumpa wake wengine akiwapa talaka nyie,
Naomba ushahidi.
Umar akatengeneza Koran chap ila akasahau kwamba kama ni maneno ya Allah hatakiwi kutumia maneno kama perhaps (labda) maana Allah was supposed to be God na hatakiwi kutumia maneno ya kubaatisha
Ushahidi tafadhali.
66:5 Perhaps his Lord, if he divorced you [all], would substitute for him wives better than you ...
Anasema Allah :

5. Asaa Mola wake Mlezi, akikupeni talaka, akampa wake wengine badala yenu nyinyi, walio bora kuliko nyinyi, wanynyekevu, Waumini, wat'awa, walio tubu, wenye kushika ibada, wafanyao kheri, wajane na wanawari. (at-Tahriim : 5)

Ushahidi wa sababu ya kushushwa hii aya.
 
Anasema Allah :

2. Ili Mwenyezi Mungu akusamehe makosa yako yaliyo tangulia na yajayo, na akutimizie neema zake, na akuongoe katika Njia Iliyo Nyooka, (al-Fath'i : 2)

Hapo hakuna leseni,sababu aya imekuja kwa sharti,hujatuonyesha sharti hilo.

Kwa mfano sisi tumeambiwa ya kuwa kuna mambo tukifanya yanafuta madhambi yetu madogo.

Kuambiwa kusamehewa madhambi yaliyo pita na yajayo si leseni sababu hilo ni sharti.

Hii si leseni,mpaka uweke andiko linalo onyesha amri ya kifanya hivyo. Nataka uniambir sababu ya kushuka aya hii ni ipi ? Rejea aya ya kwanza na zinazo fata.

Kama aua gani ?

Ushahidi wa hili naiomba.

Naomba ushahidi.

Ushahidi tafadhali.

Anasema Allah :

5. Asaa Mola wake Mlezi, akikupeni talaka, akampa wake wengine badala yenu nyinyi, walio bora kuliko nyinyi, wanynyekevu, Waumini, wat'awa, walio tubu, wenye kushika ibada, wafanyao kheri, wajane na wanawari. (at-Tahriim : 5)

Ushahidi wa sababu ya kushushwa hii aya.
Umar aliona wale za Muhammad wameungana wanamletea noma Muhammad kwamba kwa nini yupo nao na bado anabaka watumwa wake , Umar ndio akasema it may be if he divorce you Allah Yani labda akiwapa talaka nyie nyote Mungu wake atampa wake wengine, Muhammad alichukua maneno kama yalivyo akapachika kwenye Koran akasahau Mungu hatakiwi kuongea na maneno ya kubaatisha

Umar said: I agreed with my Lord on three matters, I said: .....
And the wives of the Messenger of Allah ﷺ got together as a result of the jealousy between them, and I said to them. It may be if he divorced you(all) that his lord will give him instead of you, wives better than you[at Tahreem 66:5], and it was revealed like that.
Al Bukhari 402
 
Koran 66:1 Tafsiri Al- Jalalayn

O Prophet! Why do you prohibit what God has made lawful for you in terms of your Coptic handmaiden Māriya — when he lay with her in the house of Hafsa who had been away but who upon returning and finding out became upset by the fact that this had taken place in her own house and on her own bed — by saying ‘She is unlawful for me!’ seeking by making her unlawful for you to please your wives? And God is Forgiving Merciful having forgiven you this prohibition.

Allah alainwambi asiombe msamaha wake zake maana Allah karuhusu kubaka mtumwa ambae alikuwa ni house girl kwa Hafsa
 
Hujakibu swali langu.
 
Naona ina ruka ruka hujibu yangu. Nasubiri jibu la maswali yangu.
 
Naona ina ruka ruka hujibu yangu. Nasubiri jibu la maswali yangu.
Nikujibu mara ngapi , dhambi alikuwa Muhammad anafanya Allah alijitokeza mara moja na kumruhusu, KUHUSU Aya za Umar za kutumia Maneno ya labda nimekuwekea Hadith ,

Allah ametumia maneno ya labda anatia mashaka
Alafu ni nani aliwaambia mu ongezi Aya number 0 Koran nzima
 
Hujakibu swali langu.
Najua issue Yako kubwa mno ni kuelewa kingereza, usitumie nguvu kubwa ,copy maneno nenda google translate paste yakupe kwa kiswahili , japokuwa sio perfect Sana ila utapata idea
 
Ushahidi wa leseni nautaka.
 
Najua issue Yako kubwa mno ni kuelewa kingereza, usitumie nguvu kubwa ,copy maneno nenda google translate paste yakupe kwa kiswahili , japokuwa sio perfect Sana ila utapata idea
Nasoma ya asili ambayo wewe huwezi kuyasoma,kisha nasoma ya Kiingereza kwa kujenga hoja.

Sasa wewe umekosa vyote.
 
Nasoma ya asili ambayo wewe huwezi kuyasoma,kisha nasoma ya Kiingereza kwa kujenga hoja.

Sasa wewe umekosa vyote.
Siku hizi lugha sio barrier tena inafanyia translation haraka ndani ya sekunde , ila katika kufuatilia translation za waislamu wanadanganya Sana ku ficha mambo mengi mno, ni bora utumie google kuliko ku amini translation za waislamu

Unakuta anatranslate mapka unaogopa kwa nini kafanya hivyo

Leseni ya Muhammad kufanya dhambi ipo 48:2 Leta translation ya kingereza unayo amini wewe

Alafu kuna maswali yangu unakwepa
1_ kwanini Allah alikuwa anatumia lugha za kubaatisha
2_ kwa nini waislamu mmeweka Aya 0 Koran nzima
 
Siku hizi lugha sio barrier tena inafanyia translation haraka ndani ya sekunde , ila katika kufuatilia translation za waislamu wanadanganya Sana ku ficha mambo mengi mno, ni bora utumie google
Tatizo siyo Google kutranslate,shida unapatia ku translate.

Hii inaonekana huijui lugha ya asili,hili tatizo ndiyo maana unakosea. Ukiona wanakosea sana,soma vitabu vya asili,hili najua huliwezi.
Leseni ya Muhammad kufanya dhambi ipo 48:2 Leta translation ya kingereza unayo amini wewe
Sina haja ya kufanya hivyo,ndiyo maana ulipo ileta nikaileta ya Kiswahili na marejeo ya Kiarabu yapo.

Aya imekuja wazi sana,na inataka jawabu lenye sharti,ndiyo maana ikasema "Ili....". Ukisoma aya ya kwanza ina kupa majibu ya sharti hilo.

1_ kwanini Allah alikuwa anatumia lugha za kubaatis
Kadhalika katika dini kuna ofa si kwake tu Mtume bali mpaka kwetu sisi. Mtume alisamehewa madhambi yaliyo pita na yajayo,lakini kutokana na hilo hakubweteka,mpaka mke wake akastaajabu,ya kuwa iweje umesamehewa madhambi yaliyo pita na yajayo,lakini bado una simama usiku kufanya ibada mpaka miguu ina vimba ? Mtume akamwambia kwanini nisiwe mja mwenye kushukuru.

Ukarukia suala la kuharamisha yale aliyo halalisha Allah,ile ilikuwa ni jitihada yake mtume,ndiyo maana Allah akamkosoa,hili mpaka kwetu lipo,kwamba Allah ametusamehe kwa yale mambo yote tuliyo yafanya hali ya kuwa hatujui.

Hoja yako iko wapi ? Elezea wapi na ni lini mtume alifanya madhambi kwa makusudi kama mimi na wewe au lini alifanya dhambi ? Mtume alikuwa hakosei katika kufikisha ujumbe,ndiyo maana aliyo kuwa anakosea ni kwa kutokujua na alikuwa anakosolewa.

Kuna nukta nyingine umeigusia kuhusu Mtume kukopi kwa swahaba Umar,nitakuuliza ali nakilo vipi hali ya kuwa alikuwa hajui kusoma wala kiandika ? Ukiona ambacho kimesemwa na swahaba na kika kubaliwa au ukakikuta katika Qur'aan ujue Allah amekiunga mkono na akampa Mtume,kisha mtume akawasomea maswahaba. Soma sababu iliyo pelekea kuwekwa adhana,hii ilikuwa ni shauri la maswahaba,Allah akalipitisha,hii ni kwa sababu Allah amewaridhia maswahaba wa Mtume.

1_ kwanini Allah alikuwa anatumia lugha za kubaatisha
Sijakwepa swali,sababu maswalo yako ya kitoto,mepesi na ya kipuuzi pia,huonyesha ni kwa namna gani huijui Qur'aan bali huisomi.

"Ili" hili tamko la sharti,kuonyesha,ukifanya kadha utalipwa kadha au itakuwa kadha,tamko hilo limetanguliwa kabla yake sharti ya kuifanya "ili" iwe jibu. Halafu mjinga kama eti,uje uikosoe Qur'aan wakati Qur'aan ni fasaha. Sharti limetangulia na aya zilizofata zimefafanua sharti hili. Mfano wa jawabu la sharti ni lukuki sana,mathalani "....ili mpate kuwa Wacha mungu" sentensi hii imetanguliwa na sharti ambalo ni sababu ya tamko "ili" kuwa jibu la sharti hilo. Mfano mwingine ni "Nasoma sana ili nije kuwa fulani"' sharti ni "Nasoma sana" kisha "ili" ni jawabu la sharti likiambatana na ufafanuzi.
2_ kwa nini waislamu mmeweka Aya 0 Koran nzima
Hilo swali sijalielewa. Uliza vizuri.
 
Back
Top Bottom