Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,598
- 18,419
"Matendo ya Mitume 11:26Hili nalo ni swali la kuwauliza ?
Lazima nikushirikishe kwa sababu umesema Ukristo sio dini..
Swali lako ni kwamba umetumia definition ipi ya dini kujua kwamba Ukristo sio dini ?
Hilo swali ndo litamaliza mjadala wetu..
Ukishindwa kulijibu maana yake hoja yako ni ya uongo kwasababu unaongelea kitu ambacho hukijui.
Shukraan..
hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia."
Wanafunzi wa Yesu Kristo waliitwa Wakristo kwanza kabisa huko Antiokia.
Wakristo maana yake ni
Wanafunzi wa Yesu Kristo. ( na sio Dini)
Ukristo ni uwanafunzi wa Yesu Kristo,
Mkristo maana yake ni Mwanafunzi wa Yesu Kristo.
Na sio Dini.
Yesu aliwaagiza Wanafunzi wake waende kuwafanya Mataifa kuwa wanafunzi wake na wakaitwa Wakristo kwanza huko Antiokia.
[emoji117]Sasa kuna Neno Dini hapo ?
Haya endelea kuuliza nitakujibu kwa maandiko na sio kwa Google.