Je Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Kisoda2

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Messages
1,822
Likes
479
Points
180
Kisoda2

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined May 30, 2008
1,822 479 180
Kukuuliza haina maana nimetoka nje ya mada. Sasa kwakuwa wewe ni mfuasi/muabudu mungu mwezi/makopo/Jiwe etc.
Jibu ni hili. Na mistari hii inakuhusu sana mtu kama wewe.

Matthew 7:3-5 King James Version (KJV)
3 And why beholdest thou the mote that is in thy brother's eye, but considerest not the beam that is in thine own eye?

4 Or how wilt thou say to thy brother, Let me pull out the mote out of thine eye; and, behold, a beam is in thine own eye?

5 Thou hypocrite, first cast out the beam out of thine own eye; and then shalt thou see clearly to cast out the mote out of thy brother's eye.
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,279
Likes
11,288
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,279 11,288 280

Mkuu sasa mambo ya kutoa boriti sijui kibanzi yanahusiana nini na mada?? Yaani assume mimi naabudu mawe na nina boriti sijatoa jichoni mwangu pamoja na mabaya yote duniani je nikiuliza hili swali kuhusu biblia gani inafaa alafu wewe ukanipa huu mstari utakuwa umenisaidia kweli??

Baki kwenye mada umesema bible zote wapo sawa sasa huu mstari wa mathayo ukisoma Samaritan Bible haitambui kabisa kitabu cha mathayo hivo huu mstari sitouona je hadi hapo huoni Biblia haziwezi kuwa sawa?? Yaani ww unayesoma Mathayo mkristo wa Israel anakuona umepotoka sababu bible yake haitambui hizo 4 gospels sasa wote mpo sawa mkuu???

Embu tujikite kwenye mada kejeli zije baadae
 
Hakuna kejeli hapo.
Nimekuuliza swali la msingi sana. ili nikikujibu nikujibu kwa kile unachoamini ili unielewe.
Jibu lako limekuja la hovyo. Hiyo ndiyo size ya jibu lako PERIOD!.
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,279
Likes
11,288
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,279 11,288 280
Hakuna kejeli hapo.
Nimekuuliza swali la msingi sana. ili nikikujibu nikujibu kwa kile unachoamini ili unielewe.
Jibu lako limekuja la hovyo. Hiyo ndiyo size ya jibu lako PERIOD!.
Kama hoja imekushinda unaenda kujisomea alafu unarudi na majibu sio kulazimisha fikra zako ziwe sahihi ilihali hazina mashiko.

Wewe jibu swali unaposema Biblia zipo sawa ilihali zinakinzana je kivipi zote ziwe halali

Mfano kuna Biblia hazitambui kabisa uwepo wa Yesu kama messiah sababu imefuta kabisa Gospels i.e. Samaritan Bible maana inatambua Torah pekee kama vitabu vitakatifu na vingine vyote ni BATILI!!

sasa ni vizuri ungeitetea hoja yako kwa upana kuliko kuhangaika na nachoamini mimi maana hakiwezi badili swali langu so tujadili muktadha sio WATU!
 
Kisoda2

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Messages
1,822
Likes
479
Points
180
Kisoda2

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined May 30, 2008
1,822 479 180
Kama hoja imekushinda unaenda kujisomea alafu unarudi na majibu sio kulazimisha fikra zako ziwe sahihi ilihali hazina mashiko.

Wewe jibu swali unaposema Biblia zipo sawa ilihali zinakinzana je kivipi zote ziwe halali

Mfano kuna Biblia hazitambui kabisa uwepo wa Yesu kama messiah sababu imefuta kabisa Gospels i.e. Samaritan Bible maana inatambua Torah pekee kama vitabu vitakatifu na vingine vyote ni BATILI!!

sasa ni vizuri ungeitetea hoja yako kwa upana kuliko kuhangaika na nachoamini mimi maana hakiwezi badili swali langu so tujadili muktadha sio WATU!
Unaposema tusijadili WATU, kwani hivyo vitabu wanatumia MBUZI KUABUDU? Mbona unakuwa kama siyo Muislam?
Swali langu kuhusu imani yako ndio linanipa uwanja mpana wa kukupa jibu kulingana na kile unachoamini. Kinyume na hapo huwezi kubali jibu langu sawa na ilivyo sasa! Maana tayari wewe unajibu lako.
La kwangu bado lipo pale pale. ZIPO SAWA KULINGANA NA UELEWA NA UFAHAMU WA MTUMIAJI!
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,279
Likes
11,288
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,279 11,288 280
Unaposema tusijadili WATU, kwani hivyo vitabu wanatumia MBUZI KUABUDU? Mbona unakuwa kama siyo Muislam?
Swali langu kuhusu imani yako ndio linanipa uwanja mpana wa kukupa jibu kulingana na kile unachoamini. Kinyume na hapo huwezi kubali jibu langu sawa na ilivyo sasa! Maana tayari wewe unajibu lako.
La kwangu bado lipo pale pale. ZIPO SAWA KULINGANA NA UELEWA NA UFAHAMU WA MTUMIAJI!
Kwanza hii mentality ya kila anayehoji Biblia kwamba lazima ni muislam imetoka wapi?? Mie huwa niko balanced sana na mijadala ya kidini nisome hapa navyoitetea Biblia soma kuanzia hiyo page mpaka mjadala ulipoisha.

Zifahamu siri 7 zilizofichika kuhusu sikukuu ya Pasaka - JamiiForums

2. Back to mada.... Unasema viko sawa kulingana na uelewa wa mwanadamu hapo nakubaliana na wewe 100%. Ila wote tunafahamu mawazo ya Mungu ndio tunatakiwa kuyafuata sio ya mwanadamu sasa basi mbele ya macho ya Mungu ni anafurahi kuona Biblia zikikinzana?? Je anawatreat wote sawa machoni pake??

Karibu
 
Kisoda2

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Messages
1,822
Likes
479
Points
180
Kisoda2

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined May 30, 2008
1,822 479 180
Kwanza hii mentality ya kila anayehoji Biblia kwamba lazima ni muislam imetoka wapi?? Mie huwa niko balanced sana na mijadala ya kidini nisome hapa navyoitetea Biblia soma kuanzia hiyo page mpaka mjadala ulipoisha.

Zifahamu siri 7 zilizofichika kuhusu sikukuu ya Pasaka - JamiiForums

2. Back to mada.... Unasema viko sawa kulingana na uelewa wa mwanadamu hapo nakubaliana na wewe 100%. Ila wote tunafahamu mawazo ya Mungu ndio tunatakiwa kuyafuata sio ya mwanadamu sasa basi mbele ya macho ya Mungu ni anafurahi kuona Biblia zikikinzana?? Je anawatreat wote sawa machoni pake??

Karibu
Hata Shetani hujigeuza malaika wa Nuru apate kuwahadaa wanadamu!

Vema kama walitambua hilo kwa 100%.
Kuhusu Mungu anawaonaje, anafurahia na je, anawa treat namna gani machoni pake? Huu ni mjadala mwingine. Ila kwa kifupi tu. Wote ni viumbe wake na kwake mtarudi na kupimiwa kwa kiwango sawa na ulivyotenda. Cha msingi utambue kuwa umepewa uhuru wa kuchagua kati ya Mungu wa kweli umfate au miungu mingine.

Hii mistari ituongoze.

1 John 4:1-6 New International Version (NIV)
On Denying the Incarnation
4 Dear friends, do not believe every spirit, but test the spirits to see whether they are from God, because many false prophets have gone out into the world. 2 This is how you can recognize the Spirit of God: Every spirit that acknowledges that Jesus Christ has come in the flesh is from God, 3 but every spirit that does not acknowledge Jesus is not from God. This is the spirit of the Antichrist, which you have heard is coming and even now is already in the world.

4 You, dear children, are from God and have overcome them, because the one who is in you is greater than the one who is in the world. 5 They are from the world and therefore speak from the viewpoint of the world, and the world listens to them. 6 We are from God, and whoever knows God listens to us; but whoever is not from God does not listen to us. This is how we recognize the Spirit[a] of truth and the spirit of falsehood.

Roho wa Mungu akuongoze vyema kuifikia kweli!
Ubarikiwa sana.
 
MAKOSHNELI

MAKOSHNELI

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
547
Likes
683
Points
180
MAKOSHNELI

MAKOSHNELI

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
547 683 180
UTANGULIZI
Historia ya Biblia ya kikristo ni ndefu jinsi vitabu vilivyopatikana lakini ntaandika kwa kifupi sana na mengine tutaandaika tunavyozidi kuchangia kwenye uzi huu. Na pia nitoe rai mapema kuwa uzi huu sio wa kidini bali wa kielimu/historia hivyo sitegemei watu kurushiana matusi ya kuhusu dini sijui Mungu yupo au hayupo!! N.k
abu 73, waprotestant vitabu 66, Orthodox Tawahedo (Ethiopia) ina vitabu 81 hili limenifanya nifungue uzi ili tumalize mkanganyiko huu na naomba tusome taratibu na kwakuelewa mada inazungumzia nini kabla ya kuchangia kwa kuongozwa na ushabiki au mihemko.
Moderator[/USER] kina Active na Mhariri msihamishe uzi huu jukwaa la dini ili niweze kupata mawazo ya wana JF wote hta wasio na access na jukwaa la dini, nitashukuru kwa hilo.
Umeandika vizuri japo kuna makosa kidogo ya kimtazamo umeyafanya mwanzoni mwa mada yako umeomba mjadala huu usijadiliwe kidini wakati unazungumzia kitabu cha dini nadhan sio sahihi kuijadili biblia na vitabu vyake kwakutumia historia,vitabu vya biblia hujadiliwa kwa kutumia maandiko ya Mungu Mwenyewe dhidi ya maandiko yake mwenyewe
Mfano.......
1.Mungu Mwenyewe kasema yeye sio mwandishi wa mkanganyiko (AUTHOR OF CONFUSSION)
1 wakolintho 14:33,soma biblia ya KJV ndio utapata maana nzuri zaidi '33 For God is not the author of confusion, but of peace, as in all churches of the saints " Kwahiyo kama Mungu kasema sio mwandishi wa kuchanganya bali wa amani kwa kanisa loote la watakatifu wake kamwe mkanganyiko wowote utakao husisha maandiko yake umetengenezwa na yule adui mwovu shetani kwa lengo la kuvuruga uelewa wa watu

2.Mungu sio mwanadamu mpaka aseme uongo
Hesabu 23:19

sasa kwakutumia hizo nguzo mbili hapo tunaweza tukavichambua vitabu hivyo vilivyozidi zaidi ya hapo 66 kwenye hiyo biblia ya kiprotestant kama ulivyoiweka, sasa kwa haraka haraka ipo hivi,maandiko mengi kwenye biblia yanatengeneza kitu kinaitwa "HARMONY" yaani yanatengeneza muunganiko flani mmoja yanaungana mkono na hayapingani yenyewe kwa yenyewesababu yoote yametoka kwa Mungu mmoja,mfano kuna zile amri 10 za Mungu kwenye kitabu cha kutoka 20,utakuta kuanzia pale hadi mwisho wa biblia vitabu vingine vinaendelea kuzirejea,kuzikumbushia,kuzisistiza nk kwahiyo kama kikitokea kitabu cha ziada cha hapo 66 kinatakiwa kiungane mkono pafectly na vitabu vingine 66!

1. Naanza na kitabu cha HENOKO(ENOCH)
Ukisoma kitabu cha Yuda 1:14 kinasema hivi "
"Na Henoko, mtu wa saba baada ya Adamu, alitoa maneno ya unabii juu ya hao, akisema, Angalia, Bwana alikuja na watakatifu wake, maelfu maelfu,
15 ili afanye hukumu juu ya watu wote, na kuwaadhibisha wote wasiomcha Mungu, kwa ajili ya kazi zao zote za upotevu walizozitenda bila kumcha Mungu, na kwa ajili ya maneno magumu yote ambayo hao wenye dhambi wasiomcha Mungu wameyanena juu yake
.
Sasa swali linakuja hivi huu unabii wa Henoko (yule aliyepaishwa na Mungu kwenda mbinguni) umeandikwa wapi katika biblia hiyo ya vitabu 66 mpaka nabii Yuda akaunukuu????,inamaana hadi huyu nabii Yuda anaunukuu kuna mahala umeandikwa kama vile tu walivyokuwa wananukuu torati ya Musa sababu iliandikwa kwenye vile vitabu vya Musa!
Ukweli ni kwamba kuna kitabu cha HENOKO na ndio kuna huu unabii amabo mtume YUDA alikuwa ananukuu,haya maneno ya YUDA hayapatikani popote kwenye biblia Henoko alipoyasema zaidi ya kwenye kitabu chake alichoandika .

itaendelea..
 
Forum statistics

Threads 1,262,453
Members 485,588
Posts 30,122,838