mkuu wala usichanganyikie, give it 50/50 as anything can happen. We concentrate kwenye shule yako hadi upate kilichokupeleka huko, hayo mengine yatajiseti yenyewe, au umeambiwa akiolewa ndo hutapata mwanamke mwingine? au jamaa wakipitia wataweka alama?
Muhimu: huna haja ya kujilaumu eti ooh hamkufunga ndoa, ooh sikuweka ujauzito, ndg yangu hivyo vyote havisaidii. Kuna watu wanasalitiwa na wake itakuwa mchumba? halafu hata ukiweka ujauzito si atajifungua na kuwa fresh tena, so kama ni kugawa atagawa tu!
Mambo ya relationship ni magumu sana ndg yangu usione watu wanajadili hapa ukadhani ni rahisi kiihivyo. Muhimu ni kumtegemea Mungu lakini kwa akili zetu ni ngumu asikwambie mtu. Wenzio tunaombea tusijue tu na jamaa wasiingize virusi, wala sina muda wa kuwaza eti mke wangu atanisaliti, afterall kuwaza kutasaidia nini sasa!
We shukuru Mungu umepata nafasi ya kwenda kupiga shule abroad, hayo mengine ni matter of time tu. Zidi kumuombea, kuwa mwaminifu kwake, in short do your part! Vinginevyo utapata kichaa bure, unapiga simu haipokelewi au haipatikani unaanza kuhisi yuko kwa jamaa anagonga! tena usipoangalia ndo utaharibu zaidi kwa kumuhisi hisi kila wakati.