Dah!!naweza niko strong naweza kujilinda till am back,nampenda sana!!sikuweza kumuoa kuna mambo yaliingiliana kabla sijaondoka
hii inaitwa kamari
anything is possible
kusubiriwa au kutoswa
au kumegewa huku unasubiriwa lol
Ukimtumia tu hela anunue motokali hesabu kama MMEACHANA!Nina uzoefu na maisha ya msichana TZ na ownership ya motokali hasa kama mme yupo mbali!Mwenzenu yalinikuta!
mkuu, If you love someone you should let her go, if she was made for you, she will come back but if she does not, then she never was. that is my princple.
hii inaitwa kamari
anything is possible
kusubiriwa au kutoswa
au kumegewa huku unasubiriwa lol
Kwa nini haukumuoa kabla haujaondoka? Kama shule ilikuwa priority usijute. Hata akiwahiwa utapata mwingine. Kata masters hiyo na uwe macho kuangalia phd scholarships uunganishe kabisa. Wewe mwenyewe nna wasiwasi hautaweza kumngojea!
Mmmh! Trust me atakusubiri! Sisi wanawake tukipenda, nothing z impossible.Hapo tatizo ni je! Ukirudi bado utakuwa unamtaka au utaona sio hadhi yako!?...yalinikuta majanga miye sitasahau, nilimsubiri mtu 3 solid yrz! Akaja akanitema kweupee! But duuh! I realy loved him and I still do. But can't complain much coz alinipa hasira ya kutafuta pesa.
Sent from my BlackBerry 9520 using JamiiForums