Je ataweza kuningojea??Najiuliza Sana.

Je ataweza kuningojea??Najiuliza Sana.

nipe namba yake nikulindie? Tehe mara nyingine mkubali maisha ni sacrifice uwe tayari kwa ups and downs. nilikaa huko Sweden miaka 2 pia kwa masters. amini kama ni wako utamkuta vinginevyo nafsi na maendeleo yako ndiyo vyako sio mapenzi. Get it RIGHT MAN.
 
Kaka situation yako inasikitisha.


Mwanamke akiwa mwenyewe anapata sana vishawishi. Ex-boyfriends, mabosi etc.

Ila mwanamke anaweza kumudu hali hii iwapo TU, anampenda kwa DHATI mpenzi wake. Hii hata iweje piga ua msichana ataendelea kusubiri TU.

Kama sivyo basi kama ana marafiki wa kike wanaweza kumuinfluence na matokeo yake akakutana na njemba zikachukua kimoja.

Social networks zinaongoza kwa kutongozwa wanawake. FACEBOOK!!

Ila pia hata wewe ulipo huko unaweza kushawishika kumuacha solemba mwenzi wako. Group discussion na akina dada usiku hatari sana.

CHA KUFANYA

Sijui mpenzi wako mnaishi vipi kwenye ukweli, uwazi na mawasiliano ila nakushauri yafuatayo:

1. Mpenzi wako asiwe kabisa FACEBOOK

2. Mawasiliano kati ya wewe na mpenzi wako yawe ni ya kila saa/kila baada ya muda/kila siku. Hakuna ubusy kwenye mawasiliano. Mimi hapa nilipo ungejua niko wapi lakini nawasiliana na mke wangu KILA wakati. Kwa siku mara 50+ labda.

3. Mkeep busy awe anawasiliana na ndugu zako, dada, mama, kaka, shangazi, etc. Maana umesema ilikuwa mfunge ndoa so anafahamika

4. Jaribu pia kufahamu muda gani anakuwa free/fahamu ratiba yake(nadhani unafahamu). Mfano kama anafanya kazi unajua kabisa kuanzia labda saa mbili mpaka muda fulani(lunch) atakuwa busy. Unaweza kumtumia message moja mbili ukamuacha aendeleze taifa. Unafahamu anarudi saa ngapi, anarudi na usafiri gani etc. Kama ilikuwa karibu mfunge ndoa vyote hivi unafahamu

5. Punguza wivu utadata. Kuwa na wasiwasi tu iwapo unaona si kawaida kutowasiliana nawe. Jaribu kuwaza labda simu kwenye charge au chochote kingine. Wanawake si rahisi kucheat kama wako IN LOVE

6. Mpe majukumu mengine labda kufuatilia harusi fulani, kiwanja, biashara etc.

7. HAKIKISHA kutokuwepo kwako inakuwa ni PHYSICAL TU ila MENTALLY uko nae. Unajua amekula nini, amevaa nini amefika kazini saa ngapi, amekutana na challenges gani. Pia na wewe share nae unayojifunza.

8. Si vibaya ukijitutumua ukamtumia kinauli akaja kukutembelea au wewe ukarudi likizo. Miaka miwili ni mingi ingawa narudia tena kama ANAKUPENDA ATASUBIRI TU.

Yako mengi sana sana sana ila mimi ninajitahidi kudeal na long distance relationship na honestly namshukuru Mungu naimudu.

Mkuu asante sana,tena sana!!ushauri wako ni mzuri nitaufanyia kazi maana yote uliyoongea ni KWELI NA HAKIKA!
 
Sasa unacheka nini Mr. Wise? Mkuu Wi-Fi anakuambia wewe kuwa, pamoja na na kuwa uko abroad, kesho asubuhi kwa saa za Bongo, si ajabu tukawa nawe hapa hapa jukwaani tukijadili mada yako wakti weye ungekuwa umelala kwa saa za uko kwenu abroad! Get it right?

Oooh!!niliona amesema hainihusu.
 
nipe namba yake nikulindie? Tehe mara nyingine mkubali maisha ni sacrifice uwe tayari kwa ups and downs. nilikaa huko Sweden miaka 2 pia kwa masters. amini kama ni wako utamkuta vinginevyo nafsi na maendeleo yako ndiyo vyako sio mapenzi. Get it RIGHT MAN.

Thanks!!Je vip wako ulimkuta mkuu?
 
nilimkuta na sasa tuna mtoto mzuri tu na sijasikia hata mnong'ono kuwa alikuwa na mtu mwingine. Kikubwa ni kukubali hali na kumuasure unamtegemea yeye tu. Mwanamke anahitaji assurance sio ua physical presence.
 
Sasa unacheka nini Mr. Wise? Mkuu Wi-Fi anakuambia wewe kuwa, pamoja na na kuwa uko abroad, kesho asubuhi kwa saa za Bongo, si ajabu tukawa nawe hapa hapa jukwaani tukijadili mada yako wakti weye ungekuwa umelala kwa saa za uko kwenu abroad! Get it right?
Mkuu, naomba nipinge msemo wako!
Kwani walioko abroad wote masaa yameachana sana na hapa bongo, au kwako kuwa abroad ni kwenda marekani na Canada tu...?
 
Kiongozi soma, shule muhimu saaaaaana! akikusaliti utapata mwingine haina shida
 
nilimkuta na sasa tuna mtoto mzuri tu na sijasikia hata mnong'ono kuwa alikuwa na mtu mwingine. Kikubwa ni kukubali hali na kumuasure unamtegemea yeye tu. Mwanamke anahitaji assurance sio ua physical presence.

Thanks for the point!!!Noted.
 
Mkuu hii kitu nina uzoefu nayo,ngoja nisiseme sana ila,mpaka sasa niko ugenini kimasomo lakini mwenzangu hakuvumilia.Hivyo haya mambo ni nusu kwa nusu na inatofautiana kati ya mtu na mtu ndiyo maana kila mtu anakupa uzoefu wake kulingana na alivyoona au kutendewa.Uwe tayari kwa lolote.Ngoja niishie hapa maana nina machungu sana!Nikutakie kila la kheri.
 
Mkuu, naomba nipinge msemo wako!
Kwani walioko abroad wote masaa yameachana sana na hapa bongo, au kwako kuwa abroad ni kwenda marekani na Canada tu...?

Mkuu achana na ayo bwana!!I think He was confused with the word "ABROAD" We fahamu kua uyu ni Mtanzania mwenzetu tu,na wa Tz huwa tunajuana hulka zetu...........Naomba mchango wako kuhusiana na hii Thread yangu.
 
Kawaida Asiyekuwepo basi na lake halipo...hata ufanyaje lazima utagongewa tu...believe me dude..la msingi we mpotezee tu tafuta mchuchu mwingine hukohuko....otherwise utakufa kwa presha,,
 
Kawaida Asiyekuwepo basi na lake halipo...hata ufanyaje lazima utagongewa tu...believe me dude..la msingi we mpotezee tu tafuta mchuchu mwingine hukohuko....otherwise utakufa kwa presha,,

Duh!!mkuu
 
Wakuu,
Niko abroad nimekuja kufanya masters ya miaka mi2,nimemuacha my sweet girl wangu Tz na ana umri wa miaka 26 now!anajitegemea anafanya kazi na nimemuacha anaishi peke yake,kabla sijaja huku tulitamani sana tufunge ndoa ila ilishindikana,kila mara alitamani mtoto maana tulipokua tukiwa pamoja alikua anasema anatamani awe na mtoto kipindi hiki cha umri huu yaani 26yrs,mi pia nilitamani nimuache na ujauzito ila sikumuacha nao. Kwasasa huwa tunawasiliana kwenye simu,Ila tatizo sasa mi nina wivu nahisi kama ndani ya hii miaka miwili anaweza kunisaliti hata mara moja,kuna wakati nikimpigia simu akiwa hapokei nahisi kama yupo na mtu huko. Plizzzz maoni yenu,Can she wait till am back??au na mi nihesabie kama sina kitu nikirudi nianze kutafuta upya?Bcoz I feel like doing that now.
Thanks.....hope to hear from You guys.
Kama unaona sisi tutafaidi basi acha hiyo master uje uchil na Mchuchu wako..
 
Hapo ndipo panapo mawazo, alafu kibaya zaidi huwa naamini sana msemo huu "Never Trust any woman except your Mother"
Same here. The only woman who deserve my trust, unconditional uncompromise love and my full attention is my mother. the rest can knock themselves out to hell, anytime/
 
Mwanamke huyo anataman kichanga sana pia kinachomwumiza akili zaid ni umri wake,Kwa akili za wanawake lazima amvulie nguo ya ndan mwanaume
 
Thanks mkuu!!!nitafanyia kazi ushauri wako....ni kweli ananipenda kupitiliza yaani ilifikia wakati alikua anafanya vitu kwangu ambavyo naamini mwanamke mwingine hawezi fanya,ila mi ndio huwa SIMUAMINI HATA KIDOGO hadi kuna wakati huwa ananishangaa kutomuamini kwangu

he! umejuaje kuwa vitu alivyokufanyia mwanamke mwingine hawezi fanya km nn vile?
 
Back
Top Bottom