Je ataweza kuningojea??Najiuliza Sana.

Je ataweza kuningojea??Najiuliza Sana.

Inategemea huyo mtu wako anavalue vipi uhusiano wenu. Binafsi imenitokea nilimuacha my boyfriend nikaenda kusoma lakini alichonifanyia nilihisi kudata kwa maumivu niliyopata. Tulikuwa tunawasiliana vizuri tu mpaka narudi home likizo baada ya mwaka nakuta mwenzagu ana mtu mwingine tayari. So prepare for anything lakini kikubwa uwe na imani.
 
Pole Adie!!hope haitanitokea, ikitokea nitamwaga vibaya mno.
 
Wakuu,
Niko abroad nimekuja kufanya masters ya miaka mi2,nimemuacha my sweet girl wangu Tz na ana umri wa miaka 26 now!anajitegemea anafanya kazi na nimemuacha anaishi peke yake,kabla sijaja huku tulitamani sana tufunge ndoa ila ilishindikana,kila mara alitamani mtoto maana tulipokua tukiwa pamoja alikua anasema anatamani awe na mtoto kipindi hiki cha umri huu yaani 26yrs,mi pia nilitamani nimuache na ujauzito ila sikumuacha nao. Kwasasa huwa tunawasiliana kwenye simu,Ila tatizo sasa mi nina wivu nahisi kama ndani ya hii miaka miwili anaweza kunisaliti hata mara moja,kuna wakati nikimpigia simu akiwa hapokei nahisi kama yupo na mtu huko. Plizzzz maoni yenu,Can she wait till am back??au na mi nihesabie kama sina kitu nikirudi nianze kutafuta upya?Bcoz I feel like doing that now.
Thanks.....hope to hear from You guys.

....it always starts with " Bcoz I feel like doing that now!".....

Uzalendo umekushinda, wewe ndio upo tayari kumsaliti bro, ila no rahisi zaidi kuo justify hiyo kwa kutafuta sababu, visingizio na mtu wa kumnyooshea kidole 😉
 
Etiiii????

Siriazi mwanaume wangu wa kwanza kunibikiri anakaa abroad mpaka sasa nilikuwa namuona baada ya mwaka ikaenda hatujaonana baada ya miaka 2 na nusu.
Sikuwahi kumcheat hata siku moja tulikuwa karibu sana yaani karibu sana.
Kitu pekee ambacho tulikuwa tunaona ni mapungufu ni vile siwezi kumshika hawezinishika tu baasi mengine yote yalikuwa the same.
Too bad alivyorudi bongo tukagombana kwa kitu kidogo sana na tukaachana.
Nimekupa mfano wangu kuwa anaweza kuvumilia ila na wewe mpe ushirikiano.
 
Thanks mkuu!!!nitafanyia kazi ushauri wako....ni kweli ananipenda kupitiliza yaani ilifikia wakati alikua anafanya vitu kwangu ambavyo naamini mwanamke mwingine hawezi fanya,ila mi ndio huwa SIMUAMINI HATA KIDOGO hadi kuna wakati huwa ananishangaa kutomuamini kwangu

......kama ndio hivi, usijipe presha. Yeye anajua humuamini, hata akijiaminishaje sijui kama utamuamini.

Kama kuna kipindi ulitakiwa umuamini, ni kipindi kile mpo pamoja Bongo.

Kaka ee?! Msiba huu, anza kuiombolezea nafsi yako. Ulishindwa mwenyewe kumwonyesha msingi mkuu ktk mahusiano, i.e Kumuamini nae akaridhika anaaminiwa ili naye ajithaminishe anavyojiamini.

Msiba huo, omboleza siku tatu maisha yaendelee...
 
Kaka situation yako inasikitisha.

Mwanamke akiwa mwenyewe anapata sana vishawishi. Ex-boyfriends, mabosi etc.

Ila mwanamke anaweza kumudu hali hii iwapo TU, anampenda kwa DHATI mpenzi wake. Hii hata iweje piga ua msichana ataendelea kusubiri TU.

Kama sivyo basi kama ana marafiki wa kike wanaweza kumuinfluence na matokeo yake akakutana na njemba zikachukua kimoja.

Social networks zinaongoza kwa kutongozwa wanawake. FACEBOOK!!

Ila pia hata wewe ulipo huko unaweza kushawishika kumuacha solemba mwenzi wako. Group discussion na akina dada usiku hatari sana.

CHA KUFANYA

Sijui mpenzi wako mnaishi vipi kwenye ukweli, uwazi na mawasiliano ila nakushauri yafuatayo:

1. Mpenzi wako asiwe kabisa FACEBOOK

2. Mawasiliano kati ya wewe na mpenzi wako yawe ni ya kila saa/kila baada ya muda/kila siku. Hakuna ubusy kwenye mawasiliano. Mimi hapa nilipo ungejua niko wapi lakini nawasiliana na mke wangu KILA wakati. Kwa siku mara 50+ labda.

3. Mkeep busy awe anawasiliana na ndugu zako, dada, mama, kaka, shangazi, etc. Maana umesema ilikuwa mfunge ndoa so anafahamika

4. Jaribu pia kufahamu muda gani anakuwa free/fahamu ratiba yake(nadhani unafahamu). Mfano kama anafanya kazi unajua kabisa kuanzia labda saa mbili mpaka muda fulani(lunch) atakuwa busy. Unaweza kumtumia message moja mbili ukamuacha aendeleze taifa. Unafahamu anarudi saa ngapi, anarudi na usafiri gani etc. Kama ilikuwa karibu mfunge ndoa vyote hivi unafahamu

5. Punguza wivu utadata. Kuwa na wasiwasi tu iwapo unaona si kawaida kutowasiliana nawe. Jaribu kuwaza labda simu kwenye charge au chochote kingine. Wanawake si rahisi kucheat kama wako IN LOVE

6. Mpe majukumu mengine labda kufuatilia harusi fulani, kiwanja, biashara etc.

7. HAKIKISHA kutokuwepo kwako inakuwa ni PHYSICAL TU ila MENTALLY uko nae. Unajua amekula nini, amevaa nini amefika kazini saa ngapi, amekutana na challenges gani. Pia na wewe share nae unayojifunza.

8. Si vibaya ukijitutumua ukamtumia kinauli akaja kukutembelea au wewe ukarudi likizo. Miaka miwili ni mingi ingawa narudia tena kama ANAKUPENDA ATASUBIRI TU.

Yako mengi sana sana sana ila mimi ninajitahidi kudeal na long distance relationship na honestly namshukuru Mungu naimudu.

best advice of all times!
 
Mkuu wise,
Kabla majanga hayajanitokea nilikuwa nawaheshimu wanawake sana. Kuna msichana mmoja nilimpenda sana mpaka nikaanza kumuandaa kuwa wife. Ghafla nikaanza kuhisi mabadiliko flani katk tabia yake. Akaanza kunijibu vibaya,mara nikimpigia hana stori nyingi kama zamani and so on. Kwa kipindi chote tulichokuwa pamoja sikuwahi kugusa simu yake hata siku moja. Nilimuamini sana na yeye alijua. Aliishi km 5 tu kutoka ninapoishi. Mfanyakazi nami mfanyakazi. Siku moja rafiki yangu akanishauri niibuke kwake usiku pamoja na mambo mengine nifanye ambush kwenye simu yake. Nikafanya hivyo. Niliyoyakuta kwenye simu yake nachelea kusema yamekuja kubadilisha maisha yangu
1. Nilikuwa mwaminifu sana sasa mi siyo,msichana huyu amesababisha niwaone wanawake kama viumbe katili sana
2. Simwamini mwanamke yeyote labda mama angu mzazi pekee
3. Amesababisha nichelewe kusetle kimaisha,nilipashwa nimuoe miaka miwili iliyopita. Mpaka sasa bado ninasaka mke

By the way kwenye simu yake nilikuta ana mawasiliano na watu zaidi ya watatu
1. Wakwanza ndio jamaa wa pembeni aliyekuwa anajimegea mpaka nyumbani kwake analala kila baada ya siku moja au mbili
2. Wapili x boyfriend wake wa chuo kikuu huyu alikuwa mji mwingine,ila kila akisafiri huonana na ku do mawasiliano yalikuwa very active
3. Watatu ni jamaa ambae kwa maelezo yake waliwahi kufanya nae one night stand! Bado walikuwa wanawasiliana
Hivyo mi ni wa nne. Achilia mbali wale waliokuwa kwenye reserve list

Ndugu zangu reveletion hii iliniathiri sana kisaikolojia,nilikuwa naona aibu kuwasimulia watu,so niliumia mwenyewe kimoyomoyo for three good months,makansela nilisaka japo kwa fee nikakosa. Perfomance kazini ikashuka,nilikonda. Chakula sili.
Time heels,namshukuru mungu nikaachana na hayo.
Ila nadhani somehow imeniachia kovu. I dont trust these animals any more. Siku hz. Nikama nimekuwa katili kidogo. Sikuwa hivi. Ingawa nina improve. Sitaki niingie kwenye ndoa na hizi baggages. Nikisha heel completely ndo ntafanya maamuzi ya kuchukua mke.

Never ever ever ever trust a woman completely be alert all times....ishini nao kwa akili
 
Pole mkuu,
Asante kwa ushauri,nitakua makini tena zaidi ya makini katika ili.
 
wewe ni mr unwise maana unaongea ----- ambao wewe ulitakiwa ufanye mwenyewe so shame on you
 
Imani ni kuwa na uhakika na mambo yatarajiwayo. Ikiwa km unahisi gash wako anaibiwa, itatokea hata ufanyeje?? Kama unamwamimi Mungu kwamba ndiye mwenye mpango wa kuwaunganisha ninyi kuwa mwili mmoja, wasiwasi ni nini Mkuu??Tatizo unazitegemea akili zako na huoni uwepo wa Mungu kwenye relationship yako. Unapoteza muda mwingi sana kuwaza jambo la ajabu kabisa!! Akitaka kukucheat hatosubiri uende ng'ambo ndo aanze, hata ukiwa nae anaweza definately!!
We soma, after all miaka miwili inaisha punde na mnawasiliana frequently.
Kuna mdau anakushauri umpigie simu eti hata mara 50 kwa siku. How poor is this idea!! Kwa hiyo hutasoma na yeye hatafanya kz ili uweze kumchunga?
Kiongozi take this, kama unampenda huyo gash wako, tulia na umuombee. Kinachokuhangaisha ni hisia tu! Wewe ndo utakua chanzo cha kubreak kama hutatumia akili.

All the best in your relationship and wish God to lead you my buddy.
 
Asante mkuu!!!kajifunze kuandika then come and comment, I didn't get u.
Am sorry.
 
Thanks mkuu!!Angalizo langu : Si kila sehemu panafaa kutumia huo mstari wa Imani yaani (Ebr 11:1)
Imani (FAITH) ni neno pana sana kaka,si sawa na hisia (maana kwenye thread yangu nimetumia neno huwa nahisi) pia nilazima tujue kuna tofauti kati ya KUHISI na KUAMINI.....abt kumtanguliza Mungu ktk hili tupo pamoja mkuu coz "With God all things are Possible".
Asante sana kwa Ushauri,
God bless u.
 
miaka 2 siyo mingi kama watu wanafungwa jela miaka 10 wanatoka.

iliwai kunitokea hiyo lakin ndani ya miez 6 mdogo wake uyo bint akaniambia kuna vikao vya harus dada yao anaolewa iliniuma nikazoea.

baadae akaachika akaniomba msamaha niligoma kurudiana naye ikawa mwisho sasa hiv ni rafik tu tunachat.

Miaka miwili ni mingi saaana,tena Ughaibuni,Kaka huyo siyo wako tena,Komaa na na ELIMU TU. Mkasa kama huu ulimtokea kaka yangu wa damu,kuna binti alisomameshwa na family yetu kwa njozi za kuja kuwa mwanafamily.
Brother alipotoka kwenda S.A kuongeza elimu kama wewe,na kashemeji kakiwa Mtaani kamemaliza,wanawasiliana na mipango ya ndoa juu bt Mwaka mmoja na nusu Ulitosha kwa binti KUPATA KA ZYGOTE.
 
Mkuu wise,
Kabla majanga hayajanitokea nilikuwa nawaheshimu wanawake sana. Kuna msichana mmoja nilimpenda sana mpaka nikaanza kumuandaa kuwa wife. Ghafla nikaanza kuhisi mabadiliko flani katk tabia yake. Akaanza kunijibu vibaya,mara nikimpigia hana stori nyingi kama zamani and so on. Kwa kipindi chote tulichokuwa pamoja sikuwahi kugusa simu yake hata siku moja. Nilimuamini sana na yeye alijua. Aliishi km 5 tu kutoka ninapoishi. Mfanyakazi nami mfanyakazi. Siku moja rafiki yangu akanishauri niibuke kwake usiku pamoja na mambo mengine nifanye ambush kwenye simu yake. Nikafanya hivyo. Niliyoyakuta kwenye simu yake nachelea kusema yamekuja kubadilisha maisha yangu
1. Nilikuwa mwaminifu sana sasa mi siyo,msichana huyu amesababisha niwaone wanawake kama viumbe katili sana
2. Simwamini mwanamke yeyote labda mama angu mzazi pekee
3. Amesababisha nichelewe kusetle kimaisha,nilipashwa nimuoe miaka miwili iliyopita. Mpaka sasa bado ninasaka mke

By the way kwenye simu yake nilikuta ana mawasiliano na watu zaidi ya watatu
1. Wakwanza ndio jamaa wa pembeni aliyekuwa anajimegea mpaka nyumbani kwake analala kila baada ya siku moja au mbili
2. Wapili x boyfriend wake wa chuo kikuu huyu alikuwa mji mwingine,ila kila akisafiri huonana na ku do mawasiliano yalikuwa very active
3. Watatu ni jamaa ambae kwa maelezo yake waliwahi kufanya nae one night stand! Bado walikuwa wanawasiliana
Hivyo mi ni wa nne. Achilia mbali wale waliokuwa kwenye reserve list

Ndugu zangu reveletion hii iliniathiri sana kisaikolojia,nilikuwa naona aibu kuwasimulia watu,so niliumia mwenyewe kimoyomoyo for three good months,makansela nilisaka japo kwa fee nikakosa. Perfomance kazini ikashuka,nilikonda. Chakula sili.
Time heels,namshukuru mungu nikaachana na hayo.
Ila nadhani somehow imeniachia kovu. I dont trust these animals any more. Siku hz. Nikama nimekuwa katili kidogo. Sikuwa hivi. Ingawa nina improve. Sitaki niingie kwenye ndoa na hizi baggages. Nikisha heel completely ndo ntafanya maamuzi ya kuchukua mke.

Never ever ever ever trust a woman completely be alert all times....ishini nao kwa akili

I'm very sorry for what happened to you. I can imagine how you are feeling right now.

Nakuombea upate akupendae, wa ukweli, atakayeku'heshimu' na kuelewa maana ya HESHIMA(kutunza uaminifu) maana wanaume out there wanapenda sana kutongoza na kulala na wasichana wengi tena wa watu.

Nakuombea upate MUAMINIFU asiyeyumbishwa hata na CHEMBE ya HILA za wanaume wengi wakware.

Nakuombea upate mchumba bora ambaye anajivunia kuwa na wewe. Ambaye anafahamu maana SAHIHI ya kuwa mwanamke msafi mbele za MUNGU sio kufanya MAPENZI na kuwa na mahusiano na wanaume zaidi yako.

Nakuombea upone kidonda chako. Iko siku na ni very soon utapata wa ukweli kutoka kwa Mungu.
 
Back
Top Bottom