Wakuu,
Niko abroad nimekuja kufanya masters ya miaka mi2,nimemuacha my sweet girl wangu Tz na ana umri wa miaka 26 now!anajitegemea anafanya kazi na nimemuacha anaishi peke yake,kabla sijaja huku tulitamani sana tufunge ndoa ila ilishindikana,kila mara alitamani mtoto maana tulipokua tukiwa pamoja alikua anasema anatamani awe na mtoto kipindi hiki cha umri huu yaani 26yrs,mi pia nilitamani nimuache na ujauzito ila sikumuacha nao. Kwasasa huwa tunawasiliana kwenye simu,Ila tatizo sasa mi nina wivu nahisi kama ndani ya hii miaka miwili anaweza kunisaliti hata mara moja,kuna wakati nikimpigia simu akiwa hapokei nahisi kama yupo na mtu huko. Plizzzz maoni yenu,Can she wait till am back??au na mi nihesabie kama sina kitu nikirudi nianze kutafuta upya?Bcoz I feel like doing that now.
Thanks.....hope to hear from You guys.
Ushaur Wangu,tafta Kiburudsho Huko Uliko,vingnevyo Utakufa Na Pressure Cku C Zako!!! Hv Aliko Ana Do Na Mwngne Ndo Utakufa Na Pressure Cku C Zako,km Vp Tafta Kiburudsho Huko Cha Tempo,hapo Ndo Wvu Utapungu
Hilo nalo nalifikiria sana mkuu.
Thanks mkuu!!!nitafanyia kazi ushauri wako....ni kweli ananipenda kupitiliza yaani ilifikia wakati alikua anafanya vitu kwangu ambavyo naamini mwanamke mwingine hawezi fanya,ila mi ndio huwa SIMUAMINI HATA KIDOGO hadi kuna wakati huwa ananishangaa kutomuamini kwangu
Nina wasiwasi na hiyo Masters yako unayochukua kutokana na namna unavyoandika pamoja na jinsi ya kujenga hoja.
Nina wasiwasi na elimu yako!
But, nimependa punctuation yako ktk uzi huu.
Asante.
Mkuu story yako imenipa majonzi..kuna Dr. mmoja UDSM alikuwa anatufundisha sasa akatupa simulizi kuwa alipokuwa kwenye masomo yake ya masters South Africa wakaja wajanja wakamuopoa mke wake aliyemuacha tz alikuwa hajampa effect e.g mimba..jamaa alirudi na akaanza maisha upya..Naona the same thing kitatokea kwako kama hutokuwa makini!! Amua moja ili upomye moja!!!!!!!
Nina wasiwasi na hiyo Masters yako unayochukua kutokana na namna unavyoandika pamoja na jinsi ya kujenga hoja.
Nina wasiwasi na elimu yako!
But, nimependa punctuation yako ktk uzi huu.
Asante.
ungeoa kabisa ingesadia
miaka 2 siyo mingi kama watu wanafungwa jela miaka 10 wanatoka.
iliwai kunitokea hiyo lakin ndani ya miez 6 mdogo wake uyo bint akaniambia kuna vikao vya harus dada yao anaolewa iliniuma nikazoea.
baadae akaachika akaniomba msamaha niligoma kurudiana naye ikawa mwisho sasa hiv ni rafik tu tunachat.
Hii ndiyo JF mkuu ambayo kila mtu ana-claim ni msomi.. mtu yupo abroad lakin muda wa kulala (kwa hapa TZ) ukifika na yeye amelala then asubuhi tupo naye hapa kama kawaida..
(just saying) hii haina uhusiano na mleta mada!!
:shock::shock::shock: ama kweli akili ni nywele kila mtu ana zake!Ushaur Wangu,tafta Kiburudsho Huko Uliko,vingnevyo Utakufa Na Pressure Cku C Zako!!! Hv Aliko Ana Do Na Mwngne Ndo Utakufa Na Pressure Cku C Zako,km Vp Tafta Kiburudsho Huko Cha Tempo,hapo Ndo Wvu Utapungu
Dah,,inachanganya sana mkuu.
Hii ndiyo JF mkuu ambayo kila mtu ana-claim ni msomi.. mtu yupo abroad lakin muda wa kulala (kwa hapa TZ) ukifika na yeye amelala then asubuhi tupo naye hapa kama kawaida..
(just saying) hii haina uhusiano na mleta mada!!
hii icnge saidia hata kidogo. labda angemwachia kizygot!
Kwi kwi kwi!!dah hapa imenibidi nicheke kumbe kuna mijitu ikiwa na masters tu ina-claim misomi.