Je ataweza kuningojea??Najiuliza Sana.

Je ataweza kuningojea??Najiuliza Sana.

Miaka miwili ni mingi saaana,tena Ughaibuni,Kaka huyo siyo wako tena,Komaa na na ELIMU TU. Mkasa kama huu ulimtokea kaka yangu wa damu,kuna binti alisomameshwa na family yetu kwa njozi za kuja kuwa mwanafamily.
Brother alipotoka kwenda S.A kuongeza elimu kama wewe,na kashemeji kakiwa Mtaani kamemaliza,wanawasiliana na mipango ya ndoa juu bt Mwaka mmoja na nusu Ulitosha kwa binti KUPATA KA ZYGOTE.

Duh mkuu,kwa case yako sio kwamba uyo binti hakumpenda bro wako ila alikua anataka huduma mlizokua mkipatia as future wife wa bro wako?maana hii ipo nayo wapo ambao hawajazimika hawa utazama wanapata maslahi gani,then mwisho wanakimbia,kuna jamaa alisomesha O-level yote,alafu binti alipomaliza akasema "samahani kusema kweli mi sikukupenda"
 
I'm very sorry for what happened to you. I can imagine how you are feeling right now.

Nakuombea upate akupendae, wa ukweli, atakayeku'heshimu' na kuelewa maana ya HESHIMA(kutunza uaminifu) maana wanaume out there wanapenda sana kutongoza na kulala na wasichana wengi tena wa watu.

Nakuombea upate MUAMINIFU asiyeyumbishwa hata na CHEMBE ya HILA za wanaume wengi wakware.

Nakuombea upate mchumba bora ambaye anajivunia kuwa na wewe. Ambaye anafahamu maana SAHIHI ya kuwa mwanamke msafi mbele za MUNGU sio kufanya MAPENZI na kuwa na mahusiano na wanaume zaidi yako.

Nakuombea upone kidonda chako. Iko siku na ni very soon utapata wa ukweli kutoka kwa Mungu.

Thanx mkuu,nashukuru sana kwa maombezi yako namuomba mungu anisaidie niache tabia mbaya.amina
 
Wakuu,
Niko abroad nimekuja kufanya masters ya miaka mi2,nimemuacha my sweet girl wangu Tz na ana umri wa miaka 26 now!anajitegemea anafanya kazi na nimemuacha anaishi peke yake,kabla sijaja huku tulitamani sana tufunge ndoa ila ilishindikana,kila mara alitamani mtoto maana tulipokua tukiwa pamoja alikua anasema anatamani awe na mtoto kipindi hiki cha umri huu yaani 26yrs,mi pia nilitamani nimuache na ujauzito ila sikumuacha nao. Kwasasa huwa tunawasiliana kwenye simu,Ila tatizo sasa mi nina wivu nahisi kama ndani ya hii miaka miwili anaweza kunisaliti hata mara moja,kuna wakati nikimpigia simu akiwa hapokei nahisi kama yupo na mtu huko. Plizzzz maoni yenu,Can she wait till am back??au na mi nihesabie kama sina kitu nikirudi nianze kutafuta upya?Bcoz I feel like doing that now.
Thanks.....hope to hear from You guys.

kukuvumilia inawezekana kabisa, ila inategemea na wewe utakavyoonesha ushirikiano. Ila kwa maelezo yako naona kama vile ww ndio unataka kumsaliti, au umeshapa mwingine huko?
 
kukuvumilia inawezekana kabisa, ila inategemea na wewe utakavyoonesha ushirikiano. Ila kwa maelezo yako naona kama vile ww ndio unataka kumsaliti, au umeshapa mwingine huko?

Dah...hapana madam, nimemisssssssss
 
Mkuu
Mi nataka kuanzisha Tution ya Geography O-Level Humu;....Twende
1. Angalia nyuzi za longtude za maeneo husika kama ni East or West then note down
2. Tafuta tofauti ya nyuzi za maeneo husika
3. Chukua ile tofauti ya nyuzi uliyoipata kisha Gawanya kwa 15
4. Namba uliyoipata ndio tofauti ya masaa kwa maeneo hayo usika
5. Kumbuka eneo lilopo East sana kupita eneo jingine ndio litakua liko mbele kwa masaa uliyoyapata
Mfano: London,UK is 0' and Dar es salaam,Tanzania is 45' East
Then, the difference in degrees (45'-0' = 45' )
the difference in hours 45/15 = 3hrs
But Dsm iko East ya London, that means Dar es imeizidi London kwa masaa ma 3.

Now NATUMAI WA TZ WENZANGU HAWATACHANGANYIKIWA NA NENO ABROAD TENA[/QUOTE]

We acha hizo...umetuona watanzania mambumbu kiasi hicho??? Acha kutudanganya wewe!!!!! Maana Abroad in nje ya nchi kama vile Kenya, Rwanda, Zambia n.k. Hayo mahesabu yako yanachanganya tuu na ni misleading kabisa na hayatoi maana ya abroad. Tofauti ya masaa hata Dar na Kigoma masaa yanatofautiana. Kama siku hizi O-level geography wanasoma hivyo wala sishangai vijana ku-kawambwa.
 
tegemea kusaidiwa kidogo na washkaji,mpe nafas ndan ya hiyo miaka uone km anakupenda na u were meant to b together ,km utarud na kumkuta bado anakusubir ujue anakupenda kwa dhat
 
[QUOTE]
We acha hizo...umetuona watanzania mambumbu kiasi hicho??? Acha kutudanganya wewe!!!!! Maana Abroad in nje ya nchi kama vile Kenya, Rwanda, Zambia n.k. Hayo mahesabu yako yanachanganya tuu na ni misleading kabisa na hayatoi maana ya abroad. Tofauti ya masaa hata Dar na Kigoma masaa yanatofautiana. Kama siku hizi O-level geography wanasoma hivyo wala sishangai vijana ku-kawambwa.[/QUOTE]

Mkuu sorry!!nadhani umechangia pasipo kujua swala hapo lilikua nini,ngoja nikueleweshe ni hvi Kuna mdau alipoona neno abroad ye akazama kwenye masaa akasema kuna watu wanadai wako abroad lakini hiki fika muda wa kulala utakuta bado wapo huku jukwaani wanachangia thread zao, so yeye hakuelewa kua abroad si lazima ipishane masaa na Tz kama tunavyopishana na US, Australia na kwengineko..so nikaweka namna ya kujua utofauti wa masaa kati ya sehemu moja na nyingine ili siku nyingine akisikia neno abroad kichwani asiweke mawazo kua yeye akilala na uyo wa abroad amelala.

Pole sana kwa kuchangia pasipo elewa!!
 
Back
Top Bottom