mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,516
Nani ana chuki na uislam wewe!!!, mimi niuchukie uislam kwa kip???Maislam ndiyo akina nani hao?
Huwa naona ulivyo na chuki juu ya dini ya Uislam.
Toa maoni yako ila usidhihaki imaan za watu ukijua wewe umeshaipata Pepo, kustarabika ni nguzo muhimu kwa muumini yeyote wa dhehebu lolote hasa wewe sijui una imaan gani na wapo unafata maamrisho ya Yesu yanakusaidia nini
Siuchukii uislam, nachukia logic za kipuuzi za waislam.mfano angalia hapa.
Mmeamua kuwa na mtume wenu mliyeamua kumpa jina issah, mkampa na sifa zake mlizoona zinamtosha kabisa.hakuna mkristo mwenye kujishughulisha na hizo pumba, wote kimya tu.
MPUMBAVU mmoja anakuja kusema Yesu ndio issah
.unajiuliza huyu anatafuta kitu gani, jibu hupati.Any way hicho ulichonukuu ni ndio ikweli wenyewe.nilimjibu mwenzako aliyekuwa ameanza kuniparua kwamba majini hayajatajwa katika bible, sasa angalia mtu anagombania mpaka majini
.