Je, asili ya majini ni ipi?

Je, asili ya majini ni ipi?

Umenukuu aya mzee,hujaleta tata na uongo.Embu leta tata upewe majibu.Pia nakupa faida katika Qur'an pia zipo aya nasih na mansukh,iliyopo na aliyofuta,yaani ipo aya ambayo inasomwa lakini hukumu yake haifanyiwi kazi sababu ilifutwa na aya nyingine kihukumu na mfano wake.
Kwahiyo kulingana na hii aya 3:7 inaonyesha kwamba yule jamaa alikuwa right kusema kuwa kuna ukweli na uwongo kwenye uislamu!?
Hebu tuangalie pia tafsiri ya kiingereza itatufunulia ukweli zaidi.
Sura 3:7. "It is He who revealed to you the Book. Some of its verses are definitive; they are the foundation of the Book, and others are unspecific. As for those in whose hearts is deviation, they follow the unspecific part, seeking descent, and seeking to derive an interpretation. But none knows its interpretation except Allah and those firmly rooted in knowledge say, "We believe in it; all is from our Lord." But none recollects except those with understanding."
Hapo ni wazi Allah anasema baadhi ya verses(Aya) ni definitive na zingine unspecific.
Sasa definitive ni nini?
Na unspecific ni nini?

Qur'an inabidi itusaidie hapa katika Sura hiyohiyo 3:7 tafsiri ya kiswahili na Sheik Ali Muhsin Al-Burwani inasema:-
"Yeye ndiye aliye kuteremshia Kitabu hichi. Ndani yake zimo Aya muhkam, zenye maana wazi. Hizo ndizo msingi wa Kitabu hichi. Na ziko nyengine za mifano......."
Kwahiyo Definitive kulingana na Qur'an maana yake ni "Muhkam, zenye maana wazi"
Tuje kwa Unspecific kulingana na Qur'an maana yake ni Aya "zingine za mifano" Ni kweli neno Unspecific lina maana kama Qur'an inavyodai? Hapana! Kwa kiswahili fasaha maana yake ni "hisiyo maalum" Kwanini Qur'an au watafsiri wana tudanganya?
Labda waislamu watufahamishe hizo haya za mifano ni zipi? Mbona aya za mifano kutoka kwa Allah hatuzioni? Tuonyesheni japo aya moja ya mfano!

My conclusion ni kwamba, wanao tafsiri Qur'an wana uhaba wa elimu au Labda wanafanya kusudi kuficha ukweli ambao utaumbua Qur'an kuwa ya uwongo.
 
Hebu saidia kunyoosha kaka.
Jibu hoja kinyume na hoja iliyotolewa ili kuipinga ile hoja ya awali, jibu kwanini wanawake hawaendi msikitini wakiwa breed? Hoja iliyoletwa hapa ni kwamba wanaogopa majini kunyonya damu zao, jibu kweli si kweli, hiyo ndo hoja hapa.
 
Sura 54:19 inasema kuwa mji wa Aad uliharibiwa kwa siku moja na sura 69:6,7 inasema kuwa uliharibiwa kwa 'usiku' sita na siku nane (seven nights and eight days). Hapo kuna mkanganyiko au la?

2. Sura 19:17 inaonyesha kuwa malaika alimtokea Mariamu lakini sura 3:42 inasema walikuwa malaika wengi.

3. Sura 28:40 inasema kuwa farao alizama na kufia kwenye maji lakini sura 10:92 inasema kuwa farao huyo alipona.

4. Sura 18:86 inasema kuwa jua huzama kwenye chemchemi ya maji yenye tope. Unadhani hii ni sahihi. Jua lina joto la zaidi ya nyuzijoto 6000 kwenye uso wake. Lakini maji yakifika nyuzijoto 100 yanageuka mvuke. Je, maji yanayotajwa kwenye sura hii ni maji gani? Unadhani ni Mungu aliyeumba jua na maji ndiye anayesema haya?

5. Sura 15:19 inasema kuwa dunia ni bapa kama meza (flat). Kama Mungu ndiye aliumba dunia na ndiye alileta Quran, anaweza kusema jambo kama hili?

6. Sura 86:6,7 inasema kuwa manii ya mwanamume hutokea kati ya uti wa mgongo na mbavu. Hii ni sayansi ya wapi? Ni kutoka kwa Mungu aliyeumba wa mbingu na nchi na uti wa mgongo na mbavu kweli? Kama haitoki kwa Mungu basi hata kitabu chenyewe nacho hakitoki kwa Mungu, au siyo?

7. Sura 19:27,28 inasema kuwa Mariamu alikuwa ni dada wa Haruni. Lakini tangu Haruni aishi ilipita miaka 1300 ndipo alipozaliwa Mariamu. Ni Mungu gani basi anayeweza kusema maneno kama haya?

8. Sura 28:8 inasema kuwa farao na Hamani waliishi wakati mmoja na mahali pamoja. Lakini historia iko wazi kwamba kuna tofauti ya miaka takribani 1000 kati ya watu hawa. Vilevile, farao aliishi Misri wakati Hamani aliishi Uajemi kwenye ngome iliyoitwa Shushani.

Hivi nyinyi waislamu mkisoma qurain huwa hamuelewi au mnafanya makusudi?
ukitaka nikuongeze na kuongeza
Mambo ya Allah na mwamedi! Siyo mchezo!
 
Kwetu sisi ni haramu kuongea kitu usichokijua,inaonekana kwenu nyinyi kuongea kitu usichokijua ndio msingi mama na unapatilizwa sana.

Kwa mtindo huu unanipotezea muda wangu na sitofaidika na chochote toka kwako.Yote uliyo yaandka hapo huwezi kuyatolea ushahidi wa kielimu.Sababu hali iko hivyo,kuebdelea kujadiliana na wewe ni kupoteza muda mzee.Allah aliyejuu anasema "Sikuwaumba majini na watu isipokuwa waniabudu".Shetani mzee ni sifa,kama sifaa ya kunya kwa kiumbe hai,binadamu anakunya na mnyama anakunya vile vile.
Haram kuongea kitu husichokijua??
Umepata kwenye Aya gani?
Tunachojua sisi nguruwe kwenu ndiyo haram lakini "kwa dharula kula lakini husishibe." Labda itusaidie zaidi kwa maandiko haram ni nini?
 
Jibu hoja kinyume na hoja iliyotolewa ili kuipinga ile hoja ya awali, jibu kwanini wanawake hawaendi msikitini wakiwa breed? Hoja iliyoletwa hapa ni kwamba wanaogopa majini kunyonya damu zao, jibu kweli si kweli, hiyo ndo hoja hapa.
Mkuu ulikijibiwa hili nijulishe.
 
Sura 54:19 inasema kuwa mji wa Aad uliharibiwa kwa siku moja na sura 69:6,7 inasema kuwa uliharibiwa kwa 'usiku' sita na siku nane (seven nights and eight days). Hapo kuna mkanganyiko au la?

2. Sura 19:17 inaonyesha kuwa malaika alimtokea Mariamu lakini sura 3:42 inasema walikuwa malaika wengi.

3. Sura 28:40 inasema kuwa farao alizama na kufia kwenye maji lakini sura 10:92 inasema kuwa farao huyo alipona.

4. Sura 18:86 inasema kuwa jua huzama kwenye chemchemi ya maji yenye tope. Unadhani hii ni sahihi. Jua lina joto la zaidi ya nyuzijoto 6000 kwenye uso wake. Lakini maji yakifika nyuzijoto 100 yanageuka mvuke. Je, maji yanayotajwa kwenye sura hii ni maji gani? Unadhani ni Mungu aliyeumba jua na maji ndiye anayesema haya?

5. Sura 15:19 inasema kuwa dunia ni bapa kama meza (flat). Kama Mungu ndiye aliumba dunia na ndiye alileta Quran, anaweza kusema jambo kama hili?

6. Sura 86:6,7 inasema kuwa manii ya mwanamume hutokea kati ya uti wa mgongo na mbavu. Hii ni sayansi ya wapi? Ni kutoka kwa Mungu aliyeumba wa mbingu na nchi na uti wa mgongo na mbavu kweli? Kama haitoki kwa Mungu basi hata kitabu chenyewe nacho hakitoki kwa Mungu, au siyo?

7. Sura 19:27,28 inasema kuwa Mariamu alikuwa ni dada wa Haruni. Lakini tangu Haruni aishi ilipita miaka 1300 ndipo alipozaliwa Mariamu. Ni Mungu gani basi anayeweza kusema maneno kama haya?

8. Sura 28:8 inasema kuwa farao na Hamani waliishi wakati mmoja na mahali pamoja. Lakini historia iko wazi kwamba kuna tofauti ya miaka takribani 1000 kati ya watu hawa. Vilevile, farao aliishi Misri wakati Hamani aliishi Uajemi kwenye ngome iliyoitwa Shushani.

Hivi nyinyi waislamu mkisoma qurain huwa hamuelewi au mnafanya makusudi?
ukitaka nikuongeze na kuongeza
Pole yao hawa wajamaa wanao mwamini satan allah
 
Majini ni malaika walio muasi Mungu pamoja na Shetani ,Majini yanatumiwa na shetani kutumikisha watu. wakrito wanayaita mapepo .Hakuna ushirika wowote kati ya ukristo na majini au mapepo ,kiufupi hayataki jina la Yesu. Ila kuna ushirika mkubwa kati ya uislamu na Majini ,wanaswali nayo wanasema ni maislamu .Mimi hapo ndio napata mashaka makubwa juu ya Dini hii.
Kwa bahati mbaya sana mambo yahusuyo majini katika imani ya Kiislamu ni tofauti sana na vile tulivyosoma katika Biblia. Ingawa Quran na Hadithi za Muhammed, Mtume wa Waislamu, Vinatutaka sisi wakristo tumwamini allah S.W. mungu anayeabudiwa na Waislamu Misitikini.
Katika Suratul Waqia 51:56.
“ Sikuwaumba majini na watu ila wapate kuniabudu” katika Quran Suratul Al- Ankabut (Buibui), 29:46-47) “ Wala msibishane na watu waliopewa kitabu (kabla yenu) ila kwa yale (majadiliano) yaliyo mazuri isipokuwa wale waliodhulumu miongoni mwao na semeni tunaamini yaliyoteremshwa kwetu na yaliyoteremshwa kwenu na Mungu wetu na Mungu wenu ni mmoja nasi ni wenye kunyenyekea kwake”.
Waliopewa kitabu kwa mujibu wa Quran ni Wayahudi na Wakristo. Je, hoja kuwa Mungu wetu na Mungu wao wanayemwabudu kuwa ni mmoja je ni sahihi?. Tuchunguze kuhusiana na mafundisho ya Allah S.W. wa misikitini kuhusu majini ndipo tutajua ni mmoja au la!.
Muislam yeyote ili imani yake ikamilike ni lazima aamini yanayoonekana na yasiyoonekana katika Suratul Al- Baqarah (Ng’ombe Jike la Njano), 2:1-3.
“ Alif Lam Mym. Hiki ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake ni uongozi kwa wamchao mwenyezi Mungu ambao huyaamini yasiyoonekana (maadaam) yamesemwa na mwenyezi Mungu na Mtume wake) husimamisha sala na hutoa katika yale tuliyowapa.
Quran peke yake ukiichunguza utaona kuwa majini yamechukuliwa kama ni viumbe tofauti na mashetani, wanasema hivyo kwa sababu katika uislamu majini yamepewa hadhi kubwa sana na ya kipekee. Hadhi hiyo ni kwa sababu majini waliamini Quaran.
Tusomapo katika Quran Suratul al- Ahqaf, (Kichuguu cha mchanga) 46:29
“ Na (wakumbushe) tulipokuletea kundi la majini (kuja kwako) kusikiliza Quran. Basi walipoihudhuria walisema (kuambiana):- “ Nyamazeni (msikilizeni maneno ya Mwenyezi Mungu)” Na ilipokwisha (Somwa) walirudi kwa jamaa zao wakiwaonya”.
Na ndani ya Quran kuna sura nzima inayoitwa sura ya majini (Mashetani) hiyo ni sura ya 72. katika sura hiyo inasema 72:1-3, 14. “ Sema: imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini liliisikia (Qurani) likasema hakika tumesikia Qurani ya ajabu inaongoza katika uongofu. Kwa hivyo tumeiamini wala hatutamshirikisha yoyote tena na Mola wetu na kwa hakika utukufu wa Mola wetu umetukuka kabisa. Hakujifanyia mke wala mwana……………………. Nasi wamo miongoni mwetu na wamo miongoni mwetu waliokengeuka waliosilimu hao ndiyo waliotafuta uwongofu.
Kwa hiyo aya hizi zinaonyesha kuwa Quran ilipokuja ndipo majini waliposilimu. Kumbuka kuwa Quran imeanza mwaka 610 B.K kipindi ambacho Biblia tayari ili kuwepo kwa karibu karne 6.
Akifafanua asili ya majini Mwanazuoni mkubwa wa kiislamu aitwaye Abdalllah Saleh Farsy aliye kuwa Kadhi Mkuu Zanzibar, kisha akawa Kadhi Mkuu Kenya katika kitabu alichoandika kiitwacho “ Maisha ya Nabii Mohammad” ule Uk. 31 anasema “ Katika safari yake ya kurejea Taif ndipo walipomjia majini wakasilimu kama inavyoonesha haya katika Suratul Jinn. Majini ni viumbe vyepesi vinavyokaa angani. havina viwiliwili kwa hiyo haviwezi kuonekana na wanadamu ila vinapojibadili kwa umbo lenye kiwiliwili. Na vina uwezo huo wa kujibadili kwa sura ya kuweza kuonekana. WAO NA MASHETANI WANA ASILI MOJA. Kwa hiyo asili ya majini ni shetani.
Suala linalohusu malaika linawasumbua sana waislam hata hawana uhakika wake.
Tumesoma ndani ya Biblia kuwa kuna kundi la malaika waliokosa ambao ndiyo wanaoitwa majini lakini tusomapo Quran inatoa maelezo tofauti.
Quran suratul As- Sajdah, (kusujudu) , 32:13 “ Na tungelitaka tungempa kila mtu uwongofu wake (kwa lazima kama tulivyowapa malaika lakini binadamu amepewa huria ya kufanya alitakalo- lililo jema na baya).
Katika ulimwengu wa Kiislamu Malaika wote ni8 wema na wanamwabudu mungu.
Hapa ndiyo tatizo linapoanzia. Quran iliyokuja baadaye inasema malaika wote ni wema wakati biblia kitalu kilichoitangulia Quran kinasema kuna malaika walioasi na wakafukuzwa katika utukufu wa Mungu.
Katika Quran Suratul, al- Kahf, (Pango) 18:50 “ Na (Kumbukeni) tulipowaambia Malaika, Msujudieni Adamu. Basi wakamsujudia isipokuwa Ibilisi yeye alikuwa miongoni mwa majini na akavunja amri ya mola wake……..”
Katika aya hiyo tunaona ibilisi akilaumiwa kwa kutomsujudia Adamu ingawa amri ya kusujudu walipewa malaika kumbe kwa mujibu wa Quran Ibilisi alikuwa miongoni mwao hao malaika yaani na yeye akiwa malaika.
Kwa sababu Quran haina habari kuhusu malaika walioasi yaani majini ndiyo maana wanapata tabu kuhusu jambo hilo. Na ndiyo maana pamoja na kujua kuwa hayo majini ni mashetani, Muilsamu amehiari kushirikiana nayo kwa kuswali nayo msikitini. Na hata mwislamu huyu anapomaliza kusali husalimia kulia na kushoto akiwasalimia watu malaika na majini (mashetani) waliokuja kushiriki naye katika Ibada yake, soma katika (Irshadul Muslimiin, Sheikh Said Musa, Uk. 38).
Katika Tafsiri ya Quran ya Iman Jalalaini Uk. 6:151 anasema kuhusu majini “ Hao ni watoto wa Ibilisi”
Hii ndiyo sababu hata wanawake wa Kiislamu wakiwa katika kipindi cha hedhi hawaendi msikitini kwa sababu kuna majini na chakula cha majini ni damu. Tafakari kwa hiyo sifa ya hayo majini au mashetani kwa ujumla ni kuwa “ hujaribu kwa bidii sana kuwa karibu na waamini wale wanaosali, kufunga na kusoma Qurani “ (Asili ya majini, Dk. Ahmed H. Sakr Uk. 28) ndiyo maana baadhi ya waislam wao binafsi wasingependa kuwa waislamu lakini majini huwashurutisha kwenda kuswali.
Kwa sababu wao waislamu hawajui kupambanua kati ya majini ambayo ni roho chafu na wale malaika watakatifu wa Mungu Jehova, ndiyo maana hata akiwa katika sala yake hana uhakika kwa sababu huyo jinni (shetani) amemteka na anamfanyia atakavyo na yeye ni mtumwa wa huyo jinni (shetani)
Katika kitabu kiitwacho Mkweli Mwaminifu cha Sheikh Said Moosa Mohamed Al- Kindy wa Muscut Oman, juzuu 1-2 Uk 42 Hadithi Na. 74.
“ Anamwijia mmoja wenu shetani (Jini) katika sala basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi (yule mtu) inamuijia fikra ya kuwa umemtoka upepo (kafusa) naye haukumtoka, basi akiona namna hiyo asiondoke (kwenye sala}) mpaka asikie sauti ( ya kutoka upepo) au anuse harufu ( ya huo upepo uliyomtoka, ndio aondoke).

Katika kitabu kiitwacho Asili ya Majini, cha Sheikh Dr Ahmad H. Sakr Uk. 116 anasema “ Hadithi ya Mtume inathibitisha jambo hili kuwa majini (mashetani) na watu wanaweza kuoana aliposema kwamba iwapo mtu ataingia katika uhusiano wa kindoa na mkewe anatakiwa ataje jina la Mwenyezi Mungu ajilinde kwa Mwenyezi Mungu dhidi ya shetani aliyefukuzwa mbali na rehema. Vinginevyo shetani hujiviringisha katika dhakari (sehemu ya siri za mwanaume) ya mtu huyo na atashirikiana naye katika tendo hilo. Tafakari yetu kuwa hiyo jinni anayeshiriki naye tendo la ndoa pamoja naye kwa mkewe ametumwa na nani?
We muongo kuna sehemu upo sahihi nazingine unadanganya japo ukweli unaujua eti waislam hawapendi uwislam napia majini wanawashurutisha kuswali unapotosha nyie wakristo mbona mnatumia majini kwenye makanisa yenu ilikujipatia pesa mbona hayo hamyasemi kama kweli unasema ukweli umejifanya kutumia vitabu kibao ili watu wakuamini eti jini ni miangoni mwa mashetani uwongo mtu jini nitofauti kabisa na shetani
 
Walivyo wajinga wanadhani sisi pia ni wajinga wa kumeza vitu bila kufikiri.tukiamua kuichambua quran wanayosema haina shaka wanakosa majibu.
we mpuuzi chambua bibilia kwanza chako hukijui unataka kuchambua vya watu punguani waheed , unajua even historia ya dini yako unakaa kumezeshwa uongo na upuuzi unajitia kujua huna unalo jua uislamu sio dini iliyo wekeza kwenye dogma ni dini ya elimu na hoja sio kuamini neno la mchungaji sijui askofu
 
We muongo kuna sehemu upo sahihi nazingine unadanganya japo ukweli unaujua eti waislam hawapendi uwislam napia majini wanawashurutisha kuswali unapotosha nyie wakristo mbona mnatumia majini kwenye makanisa yenu ilikujipatia pesa mbona hayo hamyasemi kama kweli unasema ukweli umejifanya kutumia vitabu kibao ili watu wakuamini eti jini ni miangoni mwa mashetani uwongo mtu jini nitofauti kabisa na shetani
Shetani kaumbwa kwa moto.
Jini kaumbwa kwa ndimi za moto.

Kwa akili za kawaida tu hawa jamaa wana mahusiano yaani ni ndugu kabisaa.
Quran inataka kutueleza kwamba hawa jamaa toka nitoke.
 
We muongo kuna sehemu upo sahihi nazingine unadanganya japo ukweli unaujua eti waislam hawapendi uwislam napia majini wanawashurutisha kuswali unapotosha nyie wakristo mbona mnatumia majini kwenye makanisa yenu ilikujipatia pesa mbona hayo hamyasemi kama kweli unasema ukweli umejifanya kutumia vitabu kibao ili watu wakuamini eti jini ni miangoni mwa mashetani uwongo mtu jini nitofauti kabisa na shetani
Hasemi uwongo Jini ndiye Shetani mkuu. Mbona Qur'an imekubali? Na swala hilo tulijadili tukafikia kukubaliana kwamba Jini, Shetani, Pepo ni kiumbe hicho hicho! Maandiko yako mengi kama inaitaji kusaidiwa.
 
we mpuuzi chambua bibilia kwanza chako hukijui unataka kuchambua vya watu punguani waheed , unajua even historia ya dini yako unakaa kumezeshwa uongo na upuuzi unajitia kujua huna unalo jua uislamu sio dini iliyo wekeza kwenye dogma ni dini ya elimu na hoja sio kuamini neno la mchungaji sijui askofu
Mbona povu tena!!! , jibu hoja sheikh majini.

Biblia niichambue kitu gani????
 
Mada hio ninzito kwasababu hapo kunaonyesha kuna imani yapande mbili lakini mkieleweshana vizuri wote mko pamoja kunatakiwa hekima kubwa
 
We muongo kuna sehemu upo sahihi nazingine unadanganya japo ukweli unaujua eti waislam hawapendi uwislam napia majini wanawashurutisha kuswali unapotosha nyie wakristo mbona mnatumia majini kwenye makanisa yenu ilikujipatia pesa mbona hayo hamyasemi kama kweli unasema ukweli umejifanya kutumia vitabu kibao ili watu wakuamini eti jini ni miangoni mwa mashetani uwongo mtu jini nitofauti kabisa na shetani
Naona unajitaid sana kutetea ushetan wenu
 
Mada hio ninzito kwasababu hapo kunaonyesha kuna imani yapande mbili lakini mkieleweshana vizuri wote mko pamoja kunatakiwa hekima kubwa
Sisi hatuwez kuwa pamoja na hawa wafuga majini
 
Tusigombee majini.majini ni ya waislam na ni maislam pia.

Wala hayajatajwa katika bible na wala si maislam.
Maislam ndiyo akina nani hao?

Huwa naona ulivyo na chuki juu ya dini ya Uislam.

Toa maoni yako ila usidhihaki imaan za watu ukijua wewe umeshaipata Pepo, kustarabika ni nguzo muhimu kwa muumini yeyote wa dhehebu lolote hasa wewe sijui una imaan gani na wapo unafata maamrisho ya Yesu yanakusaidia nini
 
Back
Top Bottom