mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
Kwahiyo kuanzia hapa wakawa wafuasi wa yesu si ndio????Hivi hao sabiini waliofurahi kutiiwa na mapepo,walibatizwa?Au waliteuliwa tu?
Kutii kwa mapepo ndio kukubali hiyo dini.
Kwahiyo kuanzia hapa wakawa wafuasi wa yesu si ndio????Hivi hao sabiini waliofurahi kutiiwa na mapepo,walibatizwa?Au waliteuliwa tu?
Kutii kwa mapepo ndio kukubali hiyo dini.
Kwa uelewa wako yakawa mafuasi yake si ndio????Soma Luka 10:17-20,jinsi mapepo yanavyotii kwa Yesu.Kiumbe hakiwezi kutii kama hakijakufuata unavyotaka.
Wewe fikiria katika akili yako,ni bora mwanamke kufanya kazi ya uke.Au bora mwanamme kupakatwa, ni kama Lazaro wa ndani ya Biblia alivyopakatwa na Ibrahim.Utachaguwa ukapakatwe na Ibrahimu?Kwahiyo upendo unadhihirika kwa kuzikana pamoja!!!!
![]()
umekuja nilipopataka, wanafanywa wazuri ili wakagawanywe 70 kwa kila mwanaume
![]()
hivi hii ni tuzo kweli hii??au mimi nafikiri zaidi????
Wanazaliwa wengine,unafikiri miaka ya kutoka Yesu mpaka Mtume Muhammad ni padogo.Kwa uelewa wako yakawa mafuasi yake si ndio????
Sasa kama yalikuwa mafuasi ya yesu ambaye mmengangania alikuwa muislam, mbona yakaja kusilimu tena kwa muhamad???uislam wa yesu uko wapi hapo????
Hili swala la jini lilishafanyiwa uchunguzi na wasomi na likapatiwa jibu kabla hujazaliwa.Naona wakristo wameshindwa kuthibitisha kuwa Majini ndiyo Malaika waliyoasi waliyoelezwa kwenye biblia ila wanalazimisha kuwa majini ni malaika waliyoasi.
Yani malaika akiasi anakuwa jini ila ukimuuliza ni nini maana neno jini hajui.
Hujui ulichoandika! Yesu kamwe hakuzidiwa nguvu na haitatokea abadani! Yesu alijaribiwa na shetani ili maandiko yatimie. Yesu ana nguvu kubwa sana usipime, ndiyo maana yu hai leo!Hawa majini miongoni mwao,si ndio yule aliyemzidi Yesu nguvu,akambeba juu kwa juu.Na kumuweka na njaa siku arubaini.
Yaonyesha wana nguvu kuliko Yesu,kwa maana mmoja tu,alimpelekesha sana Yesu.
Allah na mtume wao watachukua wangapi wangapiWewe fikiria katika akili yako,ni bora mwanamke kufanya kazi ya uke.Au bora mwanamme kupakatwa, ni kama Lazaro wa ndani ya Biblia alivyopakatwa na Ibrahim.Utachaguwa ukapakatwe na Ibrahimu?
Luka 16:19-31


Kwahiyo tukubaliane kwamba majini ni waislam na ni wafuasi wa allah na waislam ni ndugu zao katika imaam si ndio???Wanazaliwa wengine,unafikiri miaka ya kutoka Yesu mpaka Mtume Muhammad ni padogo.
Wafikiri aliposema,mhubiri injili kwa kila kiumbe(jini pia kiumbe),hujui kama jini pia yumo katika kuhubiriwaKwahiyo kuanzia hapa wakawa wafuasi wa yesu si ndio????
Soma Luka 10:17-20Kwahiyo tukubaliane kwamba majini ni waislam na ni wafuasi wa allah na waislam ni ndugu zao katika imaam si ndio???
Wewe jiulize Ibrahimu,atakavyopakata wangapi wangapiAllah na mtume wao watachukua wangapi wangapi
Au pasu pasu hakuna mtu kumzidi mwingine![]()
![]()
![]()
Hata Elia pia yuko hai,alichukuliwa mbinguni na upepo wa kisuli suli,na yeye ndiye wa kwanza kwenda mbinguni na kuwa hai,yeye atakuwa na nguvu zaidi:Hujui ulichoandika! Yesu kamwe hakuzidiwa nguvu na haitatokea abadani! Yesu alijaribiwa na shetani ili maandiko yatimie. Yesu ana nguvu kubwa sana usipime, ndiyo maana yu hai leo!
Hata Elia pia yuko hai,alichukuliwa mbinguni na upepo wa kisuli suli,na yeye ndiye wa kwanza kwenda mbinguni na kuwa hai,yeye atakuwa na nguvu zaidi:Hujui ulichoandika! Yesu kamwe hakuzidiwa nguvu na haitatokea abadani! Yesu alijaribiwa na shetani ili maandiko yatimie. Yesu ana nguvu kubwa sana usipime, ndiyo maana yu hai leo!
Habari za majini makutoka Qur'an tukufu hizo hapo. Jini ameumbwa kwa upepo wa umoto, ndiyo maana kwa wakristo tunaita majini Pepo!Naona wakristo wameshindwa kuthibitisha kuwa Majini ndiyo Malaika waliyoasi waliyoelezwa kwenye biblia ila wanalazimisha kuwa majini ni malaika waliyoasi.
Yani malaika akiasi anakuwa jini ila ukimuuliza ni nini maana neno jini hajui.
Soma Luka 10:17-20
Halafu unambie hicho kitabu kilichoandikwa hayo ni cha dini gani.Ndio jibu hilo.
unajifanya kichaa, majini ni ndugu zenu bana.muhamad kayasilimisha yakamkiri kuwa mtume wao, halafu wewe unaleta mambo ya uzushi.Sasa huoni kwamba huko kwenu hamna kitu.Hata Elia pia yuko hai,alichukuliwa mbinguni na upepo wa kisuli suli,na yeye ndiye wa kwanza kwenda mbinguni na kuwa hai,yeye atakuwa na nguvu zaidi:
2 Wafalme 2:1-18
Ni jukumu letu kama tulivyoagizwa.Wafikiri aliposema,mhubiri injili kwa kila kiumbe(jini pia kiumbe),hujui kama jini pia yumo katika kuhubiriwa
Marko 16:15 na Yohana 13:35
Akawaambia enendeni ulimwenguni mwote mkaihubiri injili kwa kila KIUMBE....