Je, asili ya majini ni ipi?

Je, asili ya majini ni ipi?

unajifanya kichaa, majini ni ndugu zenu bana.muhamad kayasilimisha yakamkiri kuwa mtume wao, halafu wewe unaleta mambo ya uzushi.

Yaani yakakiri kabisa allah na mtume wake.
Soma Luka 10:17- 20
Wale wanafunzi sabiini na wawili wakarudi wakiwa na furaha.Wakasema Bwana hata mapepo wanatutii kwa jina lako.
Luke 10:17-20 And the seventy returned again with joy,saying,"Lord,even the demons are subject to us in your name....."
 
Tulia ni kupeni SOMO ,naona munadanganyana tu.jinni ni viumbe walikuwepo miaka Mingi sana hata b4 ya kuumbwa mwanadamu,Allah akahitaji aumbe mwanadamu duniani ndio akateremsha Malaika kuja kuwaangamiza na wengine wakauwawa wengi sana na wengine wakakimbia ktk majabali,baharini ,na maeneo mengine mafichoni,then Ndio wakamchukua Mtoto wa jinni wakampeleka mbinguni na akakulia huko lakn baadae akawa very genius kuliko malaika na. Hapo ndio akapewa cheo jina lake ni Azazil au Iblis na aliasi kwa Mungu baada ya kuasi akashushwa duniani na akabandikwa jina la Shetani baada ya kuasi.
Hawa majini asili yao wameumbwa kwa miale ya moto ,ushahidi huu unaopatikana baada ya Iblis kuasi kwa kutaaa kumpa heshima Nabii Adam baada ya kuumbwa.Iblis alisema siwezi kumsujudia kiumbe aliyeumbwa kwa udongo wakati mimi (Iblis)nimeumbwa kwa moto.
Kwa hiyo Iblis au Shetani ni jinni mkuu aliyemuasi Allah,na ameahidi kuwapotosha watu ili akaulingie nao motoni siku ya kiama,isipokuwa wale wanaomcha Mungu (Allah)sio miungu mengine ,
Iblis anashirikiana na majini wengine ktk kusudio Lao hilo la kupotosha watu ,na ameshatengeneza mtandao mkubwa sana hapa duniani anaingia mpk ktk baadhi ya dini hapa duniani lengo ni upotoshaji,(tafakari kwa kina acha ushabiki wingi wa diini zinazozuka kila siku)
Kwa hiyo kuna majini wema na wabaya km ilivyo kwa binaadam kwani lengo La viumbe woote ni kumcha Mungu (Allah)sio miungu wengineo.
Nalogoff ,nitarudi

Sasa kwa maelezo haya shetani naye hakuumbwa, yaani majini au utupe mwanzo wa jini kabla ya kuwepo tu siku nyingi.
 
Soma Luka 10:17- 20
Wale wanafunzi sabiini na wawili wakarudi wakiwa na furaha.
"Lord,even the demons are subject to us in your name....."
Wewe maamuma mapepo wanalitii jina la yesu mpaka leo kwa uwoga. kama huamini kalitaje msikitini usikie vijambo.ila si wafuasi wake.

Ni wafuasi wa uislam.unataka andiko???
 
Sasa huoni kwamba huko kwenu hamna kitu.

Yaani si allah wala mtume wake wote chali.

Sio eliya tu hata bikra maria naye hakufa, una lingine????
1.Yesu aliwahi kufa(kama mnavyosema)Alikufa msalabani
2. Nabii Issa hajakufa
3.
 
1.Yesu aliwahi kufa(kama mnavyosema)Alikufa msalabani
2. Nabii Issa hajakufa
3.
hilo kawaambie waislam wenzio waliovimbiwa viazi vya futari na mihogo.wanaopenda kufananisha Yesu masihi na watu wa hovyo hovyo.
 
Sasa huoni kwamba huko kwenu hamna kitu.

Yaani si allah wala mtume wake wote chali.

Sio eliya tu hata bikra maria naye hakufa, una lingine????
1.Allah yuko hai,hatakufa
2,Yesu alikufa msalabani,akazikwa
3,Issa Yuko hai
4.Idrissa yuko Hai
5Mariya Kafa,Kumbuka,kifo cha Maria hakijaandikwa kwenye biblia kwa kua wakati anakufa vitabu vya biblia vilikuwa vineshaandikwa.
Rejea Ufunuo 12:1-7 kuwa mama wa wakristo.
 
1.Allah yuko hai,hatakufa
2,Yesu alikufa msalabani,akazikwa
3,Issa Yuko hai
4.Idrissa yuko Hai
5Mariya Kafa
emoji1] hilo kawaambie waislam wenzio waliovimbiwa viazi vya futari na mihogo.wanaopenda kufananisha Yesu masihi na watu wa hovyo hovyo.
 
Wewe maamuma mapepo wanalitii jina la yesu mpaka leo kwa uwoga. kama huamini kalitaje msikitini usikie vijambo.ila si wafuasi wake.

Ni wafuasi wa uislam.unataka andiko???
Ni wafuasi wake ndio maana wanamtii,ndio ukaona mapepo mengi yako makanisani.Kila watu wakitolewa kanisani,ndio wanazidi.
 
Leta andiko linalomtaja jini kwanza katika bible.
Mie tena ndiyo unaniambia nitoe andiko linalomtaja jini kwenye bible? wakati nyie ndiyo mnasema jini ni malaika aliyeasi wakati bible haijazungumzia kuhusu majini.

Bible haijazungumzia majini hivyo nashangaa kuona wakristo wakisema majini ndiyo malaika waliyoasi au ndiyo mashetani wakati bible haina maelezo hayo. Huyo malaika aliyeasi ameitwa shetani kwenye bible na si jini.
 
Ni wafuasi wake ndio maana wanamtii,ndio ukaona mapepo mengi yako makanisani.Kila watu wakitolewa kanisani,ndio wanazidi.
Allah anakuona kwa uwongo wako.

Yeye kayaumba yamuabudu.wewe unasema yanaabudu mwingune, kwani Yesu ndiye allah.???
 
Sasa huoni kwamba huko kwenu hamna kitu.

Yaani si allah wala mtume wake wote chali.

Sio eliya tu hata bikra maria naye hakufa, una lingine????
Yesu afa msalabani,wewe wasema hakufa
Luka 23:47
Alipokwisha kusema hayo ALIKATA ROHO.......
 
Asante kwa kunielewa.

Sifa za hayo majina ni kuitwa wakristo.
Mgumu kuelewa ila twende hivyo hivyo.

Nimesema mimi au hata wewe unaitwa unaitwa binadamu kwa sababu una sifa za binadamu,kwa maana binadamu ana sifa zake wewe unaitwa binadamu kwa sababu unazo hizo sifa.

Sasa majina ya kikristo sifa zake ni zipi?kabla ya kumwita tu mtu la kikristo kwanza tungejua jina la kikristo sifa zake ni zipi?
 
Hili swala la jini lilishafanyiwa uchunguzi na wasomi na likapatiwa jibu kabla hujazaliwa.

Swali la wewe kujiuliza ni kwamba, kama Quran inasema viumbe fulani wasio onekana waliwai kumuasi Mungu na viumbe hao ni Sheitwan na Majini; na biblia inasema viumbe fulani waliwai kumuasi Mungu na viumbe hao ni Shetan kiongozi na Mapepo; Ni wazi hao viumbe waasi ni haohao, vitabu vkimanisha Majini ni Mapepo waliohasi Mungu. Ni simple logic tu sijui kwanini uelewi!
Katika Qur'an shetani ni kiumbe?
 
Allah anakuona kwa uwongo wako.

Yeye kayaumba yamuabudu.wewe unasema yanaabudu mwingune, kwani Yesu ndiye allah.???
Kutii na kuabudu ni vitu viwili tyofauti hata Yesu pia alikuwa akimuabudu na kumuomba Mungu
Yesu anamuabudu Mungu kabla ya kufa:
Luka 23:46
"Yesu akalia kwa sauti kuu,akasema Ee Baba,mikononi mwako naiweka roho yangu".
 
Mgumu kuelewa ila twende hivyo hivyo.

Nimesema mimi au hata wewe unaitwa unaitwa binadamu kwa sababu una sifa za binadamu,kwa maana binadamu ana sifa zake wewe unaitwa binadamu kwa sababu unazo hizo sifa.

Sasa majina ya kikristo sifa zake ni zipi?kabla ya kumwita tu mtu la kikristo kwanza tungejua jina la kikristo sifa zake ni zipi?

Sifa zake ni kuwa la kikristo.

Kwani wewe kuwa binaadam si zimeangaliwa sifa za binaadam???
 
Mie tena ndiyo unaniambia nitoe andiko linalomtaja jini kwenye bible? wakati nyie ndiyo mnasema jini ni malaika aliyeasi wakati bible haijazungumzia kuhusu majini.

Bible haijazungumzia majini hivyo nashangaa kuona wakristo wakisema majini ndiyo malaika waliyoasi au ndiyo mashetani wakati bible haina maelezo hayo. Huyo malaika aliyeasi ameitwa shetani kwenye bible na si jini.
Tusigombee majini.majini ni ya waislam na ni maislam pia.

Wala hayajatajwa katika bible na wala si maislam.
 
Kwa bahati mbaya sana mambo yahusuyo majini katika imani ya Kiislamu ni tofauti sana na vile tulivyosoma katika Biblia. Ingawa Quran na Hadithi za Muhammed, Mtume wa Waislamu, Vinatutaka sisi wakristo tumwamini allah S.W. mungu anayeabudiwa na Waislamu Misitikini.
Katika Suratul Waqia 51:56.
“ Sikuwaumba majini na watu ila wapate kuniabudu” katika Quran Suratul Al- Ankabut (Buibui), 29:46-47) “ Wala msibishane na watu waliopewa kitabu (kabla yenu) ila kwa yale (majadiliano) yaliyo mazuri isipokuwa wale waliodhulumu miongoni mwao na semeni tunaamini yaliyoteremshwa kwetu na yaliyoteremshwa kwenu na Mungu wetu na Mungu wenu ni mmoja nasi ni wenye kunyenyekea kwake”.
Waliopewa kitabu kwa mujibu wa Quran ni Wayahudi na Wakristo. Je, hoja kuwa Mungu wetu na Mungu wao wanayemwabudu kuwa ni mmoja je ni sahihi?. Tuchunguze kuhusiana na mafundisho ya Allah S.W. wa misikitini kuhusu majini ndipo tutajua ni mmoja au la!.
Muislam yeyote ili imani yake ikamilike ni lazima aamini yanayoonekana na yasiyoonekana katika Suratul Al- Baqarah (Ng’ombe Jike la Njano), 2:1-3.
“ Alif Lam Mym. Hiki ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake ni uongozi kwa wamchao mwenyezi Mungu ambao huyaamini yasiyoonekana (maadaam) yamesemwa na mwenyezi Mungu na Mtume wake) husimamisha sala na hutoa katika yale tuliyowapa.
Quran peke yake ukiichunguza utaona kuwa majini yamechukuliwa kama ni viumbe tofauti na mashetani, wanasema hivyo kwa sababu katika uislamu majini yamepewa hadhi kubwa sana na ya kipekee. Hadhi hiyo ni kwa sababu majini waliamini Quaran.
Tusomapo katika Quran Suratul al- Ahqaf, (Kichuguu cha mchanga) 46:29
“ Na (wakumbushe) tulipokuletea kundi la majini (kuja kwako) kusikiliza Quran. Basi walipoihudhuria walisema (kuambiana):- “ Nyamazeni (msikilizeni maneno ya Mwenyezi Mungu)” Na ilipokwisha (Somwa) walirudi kwa jamaa zao wakiwaonya”.
Na ndani ya Quran kuna sura nzima inayoitwa sura ya majini (Mashetani) hiyo ni sura ya 72. katika sura hiyo inasema 72:1-3, 14. “ Sema: imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini liliisikia (Qurani) likasema hakika tumesikia Qurani ya ajabu inaongoza katika uongofu. Kwa hivyo tumeiamini wala hatutamshirikisha yoyote tena na Mola wetu na kwa hakika utukufu wa Mola wetu umetukuka kabisa. Hakujifanyia mke wala mwana……………………. Nasi wamo miongoni mwetu na wamo miongoni mwetu waliokengeuka waliosilimu hao ndiyo waliotafuta uwongofu.
Kwa hiyo aya hizi zinaonyesha kuwa Quran ilipokuja ndipo majini waliposilimu. Kumbuka kuwa Quran imeanza mwaka 610 B.K kipindi ambacho Biblia tayari ili kuwepo kwa karibu karne 6.
Akifafanua asili ya majini Mwanazuoni mkubwa wa kiislamu aitwaye Abdalllah Saleh Farsy aliye kuwa Kadhi Mkuu Zanzibar, kisha akawa Kadhi Mkuu Kenya katika kitabu alichoandika kiitwacho “ Maisha ya Nabii Mohammad” ule Uk. 31 anasema “ Katika safari yake ya kurejea Taif ndipo walipomjia majini wakasilimu kama inavyoonesha haya katika Suratul Jinn. Majini ni viumbe vyepesi vinavyokaa angani. havina viwiliwili kwa hiyo haviwezi kuonekana na wanadamu ila vinapojibadili kwa umbo lenye kiwiliwili. Na vina uwezo huo wa kujibadili kwa sura ya kuweza kuonekana. WAO NA MASHETANI WANA ASILI MOJA. Kwa hiyo asili ya majini ni shetani.
Suala linalohusu malaika linawasumbua sana waislam hata hawana uhakika wake.
Tumesoma ndani ya Biblia kuwa kuna kundi la malaika waliokosa ambao ndiyo wanaoitwa majini lakini tusomapo Quran inatoa maelezo tofauti.
Quran suratul As- Sajdah, (kusujudu) , 32:13 “ Na tungelitaka tungempa kila mtu uwongofu wake (kwa lazima kama tulivyowapa malaika lakini binadamu amepewa huria ya kufanya alitakalo- lililo jema na baya).
Katika ulimwengu wa Kiislamu Malaika wote ni8 wema na wanamwabudu mungu.
Hapa ndiyo tatizo linapoanzia. Quran iliyokuja baadaye inasema malaika wote ni wema wakati biblia kitalu kilichoitangulia Quran kinasema kuna malaika walioasi na wakafukuzwa katika utukufu wa Mungu.
Katika Quran Suratul, al- Kahf, (Pango) 18:50 “ Na (Kumbukeni) tulipowaambia Malaika, Msujudieni Adamu. Basi wakamsujudia isipokuwa Ibilisi yeye alikuwa miongoni mwa majini na akavunja amri ya mola wake……..”
Katika aya hiyo tunaona ibilisi akilaumiwa kwa kutomsujudia Adamu ingawa amri ya kusujudu walipewa malaika kumbe kwa mujibu wa Quran Ibilisi alikuwa miongoni mwao hao malaika yaani na yeye akiwa malaika.
Kwa sababu Quran haina habari kuhusu malaika walioasi yaani majini ndiyo maana wanapata tabu kuhusu jambo hilo. Na ndiyo maana pamoja na kujua kuwa hayo majini ni mashetani, Muilsamu amehiari kushirikiana nayo kwa kuswali nayo msikitini. Na hata mwislamu huyu anapomaliza kusali husalimia kulia na kushoto akiwasalimia watu malaika na majini (mashetani) waliokuja kushiriki naye katika Ibada yake, soma katika (Irshadul Muslimiin, Sheikh Said Musa, Uk. 38).
Katika Tafsiri ya Quran ya Iman Jalalaini Uk. 6:151 anasema kuhusu majini “ Hao ni watoto wa Ibilisi”
Hii ndiyo sababu hata wanawake wa Kiislamu wakiwa katika kipindi cha hedhi hawaendi msikitini kwa sababu kuna majini na chakula cha majini ni damu. Tafakari kwa hiyo sifa ya hayo majini au mashetani kwa ujumla ni kuwa “ hujaribu kwa bidii sana kuwa karibu na waamini wale wanaosali, kufunga na kusoma Qurani “ (Asili ya majini, Dk. Ahmed H. Sakr Uk. 28) ndiyo maana baadhi ya waislam wao binafsi wasingependa kuwa waislamu lakini majini huwashurutisha kwenda kuswali.
Kwa sababu wao waislamu hawajui kupambanua kati ya majini ambayo ni roho chafu na wale malaika watakatifu wa Mungu Jehova, ndiyo maana hata akiwa katika sala yake hana uhakika kwa sababu huyo jinni (shetani) amemteka na anamfanyia atakavyo na yeye ni mtumwa wa huyo jinni (shetani)
Katika kitabu kiitwacho Mkweli Mwaminifu cha Sheikh Said Moosa Mohamed Al- Kindy wa Muscut Oman, juzuu 1-2 Uk 42 Hadithi Na. 74.
“ Anamwijia mmoja wenu shetani (Jini) katika sala basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi (yule mtu) inamuijia fikra ya kuwa umemtoka upepo (kafusa) naye haukumtoka, basi akiona namna hiyo asiondoke (kwenye sala}) mpaka asikie sauti ( ya kutoka upepo) au anuse harufu ( ya huo upepo uliyomtoka, ndio aondoke).
Huyo shetani, au jinni anayekuwa karibu sana na huyu mwamini wa kiislamu hamchezei tu mwislamu katika matako yake kama tulivyosoma hapo juu bali pia anapofanya tendo la ndoa .
Katika kitabu kiitwacho Asili ya Majini, cha Sheikh Dr Ahmad H. Sakr Uk. 116 anasema “ Hadithi ya Mtume inathibitisha jambo hili kuwa majini (mashetani) na watu wanaweza kuoana aliposema kwamba iwapo mtu ataingia katika uhusiano wa kindoa na mkewe anatakiwa ataje jina la Mwenyezi Mungu ajilinde kwa Mwenyezi Mungu dhidi ya shetani aliyefukuzwa mbali na rehema. Vinginevyo shetani hujiviringisha katika dhakari (sehemu ya siri za mwanaume) ya mtu huyo na atashirikiana naye katika tendo hilo. Tafakari yetu kuwa hiyo jinni anayeshiriki naye tendo la ndoa pamoja naye kwa mkewe ametumwa na nani?
 
Sifa zake ni kuwa la kikristo.

Kwani wewe kuwa binaadam si zimeangaliwa sifa za binaadam???
Bora tuache tu maana sioni kama tutaelewana,maana wakristo hata sifa za Mungu tu huwa shida kwao.
 
Back
Top Bottom