Je, asili ya majini ni ipi?

Je, asili ya majini ni ipi?

soma hii hapa :-
katika Qur’an 3:7 “Yeye ndiye aliyekuteremshia kitabu (hiki Qur’an) ndani yake zimo aya Muhkam (nyepesi kufahamika) ambazo ndizo msingi (asili) wa kitabu (hiki) na ziko nyingine Mutashabihat (zinababaisha kama habari za akhera,za peponi na motoni na mengine ambayo yamekhusika na Roho).Wale ambao nyoyoni mwao mna upotofu wanafuata zile zinazo babaisha kwa kutaka kuwaharibu watu na kutaka kujua hakika yake vipi; na hakuna ajuaye hakika yake vipi ila Mwenyezi Mungu. Na wale waliozama katika ilimu husema:”Tumeziamini,zote zimetoka kwa Mola wetu.”Na hawakumbuki isipokuwa wenye akili.”
Kadhalika aya hii iko wazi.
 
Mkuu wangu hakuna shetani wa kijini

Bali kaa ukijua jini ndo shetan ,satan ,pepo ,lucifer ambaye ni muisilamu mwenzenu anayemwababudu allah na mda mwingine nyie waisilamu kwenda kusali hadi mlazimishwe na lucifer ,satan ambayo ndo majin

Mda mwingine had huwa mnayatolea sadaka kama kuyachinjia mbuz na kuku na huwa mnayatumia kuzulu watu waisilamu ndo wafuga majin wakubwa ambayo hayana nafasi ya kutubu mbele za mungu ndo maana hakuna utofauti kati ya lucifer na allah
Kwetu sisi ni haramu kuongea kitu usichokijua,inaonekana kwenu nyinyi kuongea kitu usichokijua ndio msingi mama na unapatilizwa sana.

Kwa mtindo huu unanipotezea muda wangu na sitofaidika na chochote toka kwako.Yote uliyo yaandka hapo huwezi kuyatolea ushahidi wa kielimu.Sababu hali iko hivyo,kuebdelea kujadiliana na wewe ni kupoteza muda mzee.Allah aliyejuu anasema "Sikuwaumba majini na watu isipokuwa waniabudu".Shetani mzee ni sifa,kama sifaa ya kunya kwa kiumbe hai,binadamu anakunya na mnyama anakunya vile vile.
 
Kwani wewe ilikuwaje mama yako akawa akikuita ngedere wakati fulani?????

Wewe ni ngedere???
Mimi mama yangu hajawahi kuniita ngedere.

Lakini pia neno shetani lina maana yake,na ndiyo hata huyo muovu mkuu akaitwa hivyo shetani na pia Petro akaitwa hivyo.
 
Kwetu sisi ni haramu kuongea kitu usichokijua,inaonekana kwenu nyinyi kuongea kitu usichokijua ndio msingi mama na unapatilizwa sana.

Kwa mtindo huu unanipotezea muda wangu na sitofaidika na chochote toka kwako.Yote uliyo yaandka hapo huwezi kuyatolea ushahidi wa kielimu.Sababu hali iko hivyo,kuebdelea kujadiliana na wewe ni kupoteza muda mzee.Allah aliyejuu anasema "Sikuwaumba majini na watu isipokuwa waniabudu".Shetani mzee ni sifa,kama sifaa ya kunya kwa kiumbe hai,binadamu anakunya na mnyama anakunya vile vile.
Kwanini shetani ni sifa???
 
Umenukuu aya mzee,hujaleta tata na uongo.Embu leta tata upewe majibu.Pia nakupa faida katika Qur'an pia zipo aya nasih na mansukh,iliyopo na aliyofuta,yaani ipo aya ambayo inasomwa lakini hukumu yake haifanyiwi kazi sababu ilifutwa na aya nyingine kihukumu na mfano wake.
Embu andika kama umehitimu elimu ya msingi.hii ni nini umeandika!!!!
 
Uislamu ni mkweli mtupu....
Umesema vyema kuwa uislamu ni ukweli mtupu! Sasa baadhi ya wenzenu hawaelewi hivyo. Mnaitaji kufundisha hao waislamu wenzenu waelewe maana ni aibu kuja kwenye uzi kudhalilisha waislamu wenzake kwamba ndani Qur'an kuna untruth (mamba yasiyo kweli au uongo!)
Na attach maelezo yake hapo chini
 
Attachments

  • 20170205_123138.png
    20170205_123138.png
    22.7 KB · Views: 54
  • 20170205_122734.png
    20170205_122734.png
    30.8 KB · Views: 36
Uliza swali mzee,hilo sio swali hiyo ni shubuha.Kuna maswali na kuna shubuha.Nakupa fursa tena ya kuuliza swali.
Nimekuuliza kwanini shetani ni sifa???unataka swali lingine hujajibu la kwanza???

Shubuha ni kitu gani??ndio jibu la swali langu???
 
Kwetu sisi ni haramu kuongea kitu usichokijua,inaonekana kwenu nyinyi kuongea kitu usichokijua ndio msingi mama na unapatilizwa sana.

Kwa mtindo huu unanipotezea muda wangu na sitofaidika na chochote toka kwako.Yote uliyo yaandka hapo huwezi kuyatolea ushahidi wa kielimu.Sababu hali iko hivyo,kuebdelea kujadiliana na wewe ni kupoteza muda mzee.Allah aliyejuu anasema "Sikuwaumba majini na watu isipokuwa waniabudu".Shetani mzee ni sifa,kama sifaa ya kunya kwa kiumbe hai,binadamu anakunya na mnyama anakunya vile vile.
Kwahiyo kumbe kuswali na majini na kuyatolea sadaka majin ni sifa
 
Mimi mama yangu hajawahi kuniita ngedere.

Lakini pia neno shetani lina maana yake,na ndiyo hata huyo muovu mkuu akaitwa hivyo shetani na pia Petro akaitwa hivyo.
Mh kwa hiyo??.

Ndiyo maana nakwambia jina lina mwenyewe hilo,ukiitwa wewe maana yake umemuwakilisha haimaanishi umekuwa yeye.
 
Ibilisi ni jina la nani ? Usiandike "Muhasi" sahihi ni muasi.aomba unitajie hivyo vitabu vilivyoitangulia Qur'an kwa majina,kisha niambie vimesemaje kuhusu hilo.
Nashukuru kwa kunisahihisha lugha Mkuu, vitabu vilivyotangulia Quran ktk imani za kiibrahimu huvijui? Huijui torati, zaburi na injili kwa ufafanuzi wa kiislamu. Si hivi ktk ufafanuzi wa vitabu vya dini nyingine.

Vyote viko ktk mfululizo mmoja, isipokuwa Quran tu ndo imepingana na hivyo. Vyote vinaonesha malaika waovu, pepo waovu.

Tatzo, uislamu unahubiri kuvijua hivi vitabu wakati kopi zake hazipo zinazoeleza vinginevyo na kopi zilizopo. Jicho jeupe tuamini ktk kusadikika au nadharia?

We nioneshe separate tourati, injili au zaburi ambayo imeandika mnavyosimulia. Tufundishane hapa.
 
Akili iliyo salama ni akili iliyosalimika kutokana uchafu wa kupandikizwa kwa fikra potofu,ujinga,matamanio ya nafsi na chuki za kijinga.
Okay! Hapa nimekupata saaaaana Mkuu! Kwa kifupi ni akili isiyo weza kufikiri vyema, inakula inacholishwa tu. Haina uwezo wa kufikiri wapendavyo, ni kama malaika wa kiislamu. Pia hapa unamaanisha, kwenda mbinguni (kama kuna pepo) ni kwa uwezo wa Mungu tu. Wateule.
 
Binadamu hajakamilika.Hujabatilisha uongo wako.Kanusha kama wewe si muongo mzee.Ila vitu virahisi sana.
Mm ndo nimetuhumiwa kwa uongo, kwa jambo ambalo kwa sasa namini ni la Ukweli. Jukumu la kukanusha litabaki kwako tu Mkuu.
 
Umenukuu aya mzee,hujaleta tata na uongo.Embu leta tata upewe majibu.Pia nakupa faida katika Qur'an pia zipo aya nasih na mansukh,iliyopo na aliyofuta,yaani ipo aya ambayo inasomwa lakini hukumu yake haifanyiwi kazi sababu ilifutwa na aya nyingine kihukumu na mfano wake.

Sura 54:19 inasema kuwa mji wa Aad uliharibiwa kwa siku moja na sura 69:6,7 inasema kuwa uliharibiwa kwa 'usiku' sita na siku nane (seven nights and eight days). Hapo kuna mkanganyiko au la?

2. Sura 19:17 inaonyesha kuwa malaika alimtokea Mariamu lakini sura 3:42 inasema walikuwa malaika wengi.

3. Sura 28:40 inasema kuwa farao alizama na kufia kwenye maji lakini sura 10:92 inasema kuwa farao huyo alipona.

4. Sura 18:86 inasema kuwa jua huzama kwenye chemchemi ya maji yenye tope. Unadhani hii ni sahihi. Jua lina joto la zaidi ya nyuzijoto 6000 kwenye uso wake. Lakini maji yakifika nyuzijoto 100 yanageuka mvuke. Je, maji yanayotajwa kwenye sura hii ni maji gani? Unadhani ni Mungu aliyeumba jua na maji ndiye anayesema haya?

5. Sura 15:19 inasema kuwa dunia ni bapa kama meza (flat). Kama Mungu ndiye aliumba dunia na ndiye alileta Quran, anaweza kusema jambo kama hili?

6. Sura 86:6,7 inasema kuwa manii ya mwanamume hutokea kati ya uti wa mgongo na mbavu. Hii ni sayansi ya wapi? Ni kutoka kwa Mungu aliyeumba wa mbingu na nchi na uti wa mgongo na mbavu kweli? Kama haitoki kwa Mungu basi hata kitabu chenyewe nacho hakitoki kwa Mungu, au siyo?

7. Sura 19:27,28 inasema kuwa Mariamu alikuwa ni dada wa Haruni. Lakini tangu Haruni aishi ilipita miaka 1300 ndipo alipozaliwa Mariamu. Ni Mungu gani basi anayeweza kusema maneno kama haya?

8. Sura 28:8 inasema kuwa farao na Hamani waliishi wakati mmoja na mahali pamoja. Lakini historia iko wazi kwamba kuna tofauti ya miaka takribani 1000 kati ya watu hawa. Vilevile, farao aliishi Misri wakati Hamani aliishi Uajemi kwenye ngome iliyoitwa Shushani.

Hivi nyinyi waislamu mkisoma qurain huwa hamuelewi au mnafanya makusudi?
ukitaka nikuongeze na kuongeza
 
Unaweza kunitajia hata misingi iliyowekwa katika uislamu na binadamu,kama ulivyotolea mfano maswahaba wa mtume alayhisalaamu.Uislamu ni elimu,tena elimu pana sana,mimi kuwa muislamu haimaanishi naujua uislamu wote,ndio maana nikakwambia niambie mtume alipatwa na nini katika huo mkasa na alimwambia nini mkewe...?
Kuhusu aliloambiwa mtume na mkewe baada ya kutoka kwa jabali na lile mtume aliloanza kumwambia mkewe, hiyo ni kwizi ifanyie kazi na uje ulete mrejesho hapa. Kuhusu ya yakibinadamu, uislamu umejengwa ktk mafunzo ya Quran, hadith na sunna. Suna na Hadithi ni ya ubidamu wema.
 
nikweli alisoma hapa:-
katika Qur’an 3:7 “Yeye ndiye aliyekuteremshia kitabu (hiki Qur’an) ndani yake zimo aya Muhkam (nyepesi kufahamika) ambazo ndizo msingi (asili) wa kitabu (hiki) na ziko nyingine Mutashabihat (zinababaisha kama habari za akhera,za peponi na motoni na mengine ambayo yamekhusika na Roho).Wale ambao nyoyoni mwao mna upotofu wanafuata zile zinazo babaisha kwa kutaka kuwaharibu watu na kutaka kujua hakika yake vipi; na hakuna ajuaye hakika yake vipi ila Mwenyezi Mungu. Na wale waliozama katika ilimu husema:”Tumeziamini,zote zimetoka kwa Mola wetu.”Na hawakumbuki isipokuwa wenye akili.”
Kwahiyo kulingana na hii aya 3:7 inaonyesha kwamba yule jamaa alikuwa right kusema kuwa kuna ukweli na uwongo kwenye uislamu!?
Hebu tuangalie pia tafsiri ya kiingereza itatufunulia ukweli zaidi.
Sura 3:7. "It is He who revealed to you the Book. Some of its verses are definitive; they are the foundation of the Book, and others are unspecific. As for those in whose hearts is deviation, they follow the unspecific part, seeking descent, and seeking to derive an interpretation. But none knows its interpretation except Allah and those firmly rooted in knowledge say, "We believe in it; all is from our Lord." But none recollects except those with understanding."
Hapo ni wazi Allah anasema baadhi ya verses(Aya) ni definitive na zingine unspecific.
Sasa definitive ni nini?
Na unspecific ni nini?

Qur'an inabidi itusaidie hapa katika Sura hiyohiyo 3:7 tafsiri ya kiswahili na Sheik Ali Muhsin Al-Burwani inasema:-
"Yeye ndiye aliye kuteremshia Kitabu hichi. Ndani yake zimo Aya muhkam, zenye maana wazi. Hizo ndizo msingi wa Kitabu hichi. Na ziko nyengine za mifano......."
Kwahiyo Definitive kulingana na Qur'an maana yake ni "Muhkam, zenye maana wazi"
Tuje kwa Unspecific kulingana na Qur'an maana yake ni Aya "zingine za mifano" Ni kweli neno Unspecific lina maana kama Qur'an inavyodai? Hapana! Kwa kiswahili fasaha maana yake ni "hisiyo maalum" Kwanini Qur'an au watafsiri wana tudanganya?
Labda waislamu watufahamishe hizo haya za mifano ni zipi? Mbona aya za mifano kutoka kwa Allah hatuzioni? Tuonyesheni japo aya moja ya mfano!

My conclusion ni kwamba, wanao tafsiri Qur'an wana uhaba wa elimu au Labda wanafanya kusudi kuficha ukweli ambao utaumbua Qur'an kuwa ya uwongo.
 
Back
Top Bottom