Je, asili ya majini ni ipi?

Hii elimu umeptapa wapi rudi kasome biblia vizuri
 
Unataka kufahamu asili ya majini kwa misingi ya Dino gani?
 

Qur an sura ya 51 aya ya 56, "Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi".
Alie waumba majini ni Mungu na lengo ya kuwaumba kwake ni kama lengo la kuumbwa kwetu; kumuabudu yeye.

Qur an sura ya 27 aya ya 07, "Na alikusanyiwa Sulaiman majeshi yake ya majini, na watu, na ndege; nayo yakapangwa kwa nidhamu".
Nabii Suleiman aliwatumia majini katika kazi mbalimbali ikiwa ni pamoja na ujenzi.
 
Hiyo elimu ya uhusiano wa uislamu na majini umeipata wapi mkuu?
Wanamezeshwa na wachungaji makanisani ili waichukie dini nyingine . Mbaya zaid wanashindwa hata kuigusa quran kwa dhana mbovu walizomezeshwa...sasa cjui watajuaje kilichoandikwa ndani yke.
 
Wanamezeshwa na wachungaji makanisani ili waichukie dini nyingine . Mbaya zaid wanashindwa hata kuigusa quran kwa dhana mbovu walizomezeshwa...sasa cjui watajuaje kilichoandikwa ndani yke.
Nani anashindwa kuigusa quran wewe!!!!

Mbona unaongea vitu kwa kukisia tu.??.tumejuaje kwamba majini walisilimu baada ya kusikia neno kutoka kwa muhamad..????
Tumejuaje allah aliapa kwa aliyeumba kiumeni na kike????
Tumejuaje mbingu ya allah ina ahadi ya mito ya pombe na wanawake.????

Acha kuandika mitizamo yako humu.
 
Go Back to school !!
 
Basi endelea kuisoma with open mind tafuta unachotaka utakipata. Huenda ukaja kugundua kwann waislam wanaifuata biblia kuliko wakristo, tena kwa matendo sio kwa kuongea kisha useme unaangalia moyoni!
 
Basi endelea kuisoma with open mind tafuta unachotaka utakipata. Huenda ukaja kugundua kwann waislam wanaifuata biblia kuliko wakristo, tena kwa matendo sio kwa kuongea kisha useme unaangalia moyoni!
Mpaka sasa nimegundua waislam wanaisoma biblia kuliko kitabu chao quran, lakini shida ni msaada wa kuielewa hawana.

Ninaendelea kuisoma quran si tu nikiwa na akili huru peke yake,bali pia nikiwa na uchu wa kuitumia kuwaonyesha zaidi ni jinsi gani allah amefanywa kuwa msanii tofauti na Mungu menyezi.
 
Go Back to school !!
You are one of those foolish and stupid Muslim thug, aren't you? If you have nothing constructive to say! Just keep quiet, go to your mosque where you can meet majini for daily prayers that are never answered by Allah. If you are one of those who profess to being a Muslim but never pray 5 times a day! Go to your nearest bar for a beer and "nguruwe kwa dhaurula lakini husishibe." Lastly, respond I'm waiting!
 
Hata mimi pia.
 
Mkuu..! Mdomo uliponza kichwa
 
MAJINI SI MALAIKA, KUNA MALAIKA NA MAJIN, MALAIKA WAMEUMBWA KWA MWANGA NA MAJINI WAMEUMBWA KWA MOTO, MALAIKA NI VIUMBE WANAOTEKELEZA AMRI YA MW. MUNGU NA HAWAMKOSEI MW. MUNGU, HAWALI HAWANYWI HAWAZAI NA HAWANA HISIA ZOZOTE KM KUTAMANI, MALAIKA WANA UWEZO AU NGUVU KULIKO MAJINI, MF WA MALAIKA HAO NI, MALAIKA JIBRIL, MIKAIL, ISRAIL, ISRAFIL, RAQIB, ATID, NA KILA MMOJA ANA KAZI YAKE SPECIAL, KWA MF, ISRAIL NI KUTOA ROHO NDIYE ANAYEFISHA VIUMBE VYOTE PAMOJA NA MAJINI, ISRAFIL NDIYE ATAKAYEPULIZA PARAPANDA CKU YA KIYAMA ITAKAPOFIKA, MIKAIL KAZI YAKE NI KULETA MVUA NA RADI NK. MAJINI NI VIUMBE WALIOISH DUNIA HII KABLA YA KUUMBWA BINADAMU, WALIISHI KM TUNAVYOISHI, ILA TU BAADA YA KUMUASI MW. MUNGU NDIPO ALIPOWAONDOA KTK DUNIA HII NA KUMUUMBA BINADAMU ILI AJE KUTAWALA DUNIA HII, BAADA YA KUUMBWA BINADAMU NDIPO WALIPOMUOMBA MW. MAMBO MATATU, 1. WASIWEZE KUONEKANA KWA MWANADAMU NA WAMUINGIE BINADAMU WANAVYOTAKA KTK MWILI, 2. WAISHI UMRI MREFU, NA 3. WAWEZE KUJIBADILISHA UMBO LOLOTE WANALOTAKA, NDIPO MW. MUNGU ALIPOWAKUBALIA.
ILA WAPO MAJINI WANAOMUABUDU MW. MUNGU NA PIA WAPO WAASI,
NA CKU YA KIYAMA WATAHUKUMIMIWA KWA MATENDO YAO KM BINADAMU.

KWENYE KITABU CHA QURAN MW. MUNGU ANASEMA "CKUWAUMBA BINADAMU NA MAJINI ILA WANIABUDU"
NA IPO CHAPTER KWENYE QURAN INAYOWAZUNGUMZIA MAJINI.

KWA UFUPI TU, WANAJUA ZAIDI WANAWEZA KUKUELEWESHA.
 
So In Islam there's truth and untruth! Tell us about the untruth and truth of Islam then?

Islam is the religion of Allah and He accept only Islam, to say that there's untruth in it is like insulting Allah.

Ali-Imran 3:19. Religion with Allah is Islam. Those to whom the Scripture was given differed only after knowledge came to them, out of envy among themselves. Whoever rejects the signs of Allah-Allah is quick to take account.

Ali-Imran 3:85. Whoever seeks other than Islam as a religion, it will not be accepted from him, and in the Hereafter he will be among the losers.

61:7. And who is a greater wrongdoer than he who attributes falsehoods to Allah, when he is being invited to Islam? Allah does not guide the wrongdoing people.

You are a disgrace to your fellow Muslim? I think you must be punished by Sharia law where your head gets chopped off for blasphemy.
 
Huu ni Ujinga ambao unaelekea kwenye Upumbava au USHETANI ! ! Je hayo majibu ya Matusi ndiyo Mafundisho ya Ukristo ?? [emoji1] [emoji1] pole sana ndugu
 
Huu ni Ujinga ambao unaelekea kwenye Upumbava au USHETANI ! ! Je hayo majibu ya Matusi ndiyo Mafundisho ya Ukristo ?? [emoji1] [emoji1] pole sana ndugu
Hapo ndipo utajua nyiye vibaraka na kiongozi wenu shetani. Kwani shetani wenu Allah umeona wapi akimsifia mkristo hata akitenda mazuri?
Aliyetukana nani? Wewe umeambiwa ukweli kwamba ni mjinga na mpumbavu!
Kwani Qur'an imewafundisha wakristo hawatokwambia wewe mjinga na mpumbavu? Utakapo achana na Qur'an ya majini utaondokana na huo ujinga na upumbavu. Mimi kama mkristo lazima nikukemee ili ujue kweli, ufunuliwe macho.
 
Waislamu ndiyo walikukaririsha kuwa majini ndiyo pepo wachafu?

Na kama ukristo hauyajuwi hayo mnajuaje kama pepo wachafu ndiyo hayo majini?

Mnaweza vipi kuyatoa katika miili ya binadamu huku hamna ilmu ya hayo majini au huwa mnakisia?
Kwa post hiyo uliyoijibu, ulitakiwa tu ujue kwakuwa wewe ni great thinker kwamba pepo wachafu na majini ktk mdahalo huu ni vitu viwili tofauti. Pepo wachafu wameumbwa kwa nuru (malaika) Wakahasi. Majini yameumbwa kwa moto, na ni viumbe kamili vyenye wema na ubaya. Swali lako bado tu litakuwa na mantiki kweli?
 
Kumbe ww huwa unayaona msikitini, basi itakuwa mganga wa kienyeji ww.
Jibu kwanza utupe ilmu mkuu, kweli huwa mnatoa mikono baada ya swala hata ukiwa pekee? Kama kweli nini mantiki yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…