Je, asili ya majini ni ipi?

Mkuu! Ha ha ha ha ha ha
Unachekesha sana
Ushawahi ona wapi jini akaitwa majina ya kikristo?


Hakuna jina hata moja la kikristo la majini
Tafuta popote na ulete mrejeo hapa
Kwanza jina la kikristo ndiyo lipi?
 
Ni wapi biblia ilipotaja kuwa majini ni malaika waliyoasi?
 
Ngoja nkutoe mashaka basi kidogo.

Katika hawa majini wapo waasi na wapo wanaomuabudu Allah. Ndio uislam una uhusiano na majini, kwanini tukatae wakati Mungu ndio aliowaumba? Kama tulivo sisi wapo wema na wapo wabaya, na wabaya ndo huitwa mashetani.

Labda nikuulize wewe, nani kawaumba mapepo?
 
Lete reference sio unamwaga sera kama sio msomi
 
Kasema kila binadamu akizaliwa anakuwa na jini(sio kila muislamu tu).Ndio maana huko makanisani mwenu,kutwa mnatoana majini,na hawatoki.Huoni kama maneno yake ni kweli.Kama majini yangekuwa kwa waislamu tu,hayo mnayotoana makanisani ni malaika?
Ungemalizia kabisa according to Quran mkuu, Ila kwenye biblia hakuna kitu kama hicho
 
Ni wapi katika biblia palipotaja kuwa Jini ni malaika aliyeasi?

Na ikiwa malaika nao wanamkosea mungu kama tulivyo binadamu je,nao husamehewa wakiomba msamaha kwa mungu?
 
Angalia kwenye Biblie utalipata mkuu!
Nimeuliza jina la kikristo ndiyo lipi sasa unaponiambia ningalie biblia tu ndiyo nitajuaje kuwa hili ndiyo jina la kikristo na hili siyo?

Nisaidie niweze kujua majina ya kikristo ndiyo yapi.
 
Na wewe unajiona umeandika point, there is no difference between Iblis and Satan.
 
Isaya 14:14 inamzungumzia nani?

11. Thy pomp is brought down to the grave, and the noise of thy viols: the worm is spread under thee, and the worms cover thee. 12 How art thou fallen from heaven, O Lucifer, son of the morning! how art thou cut down to the ground, which didst weaken the nations. 13. For thou hast said in thine heart, I will ascend into heaven, I will exalt my throne above the stars of God: I will sit also upon the mount of the congregation, in the sides of the north:
14. I will ascend above the heights of the clouds; I will be like the most High. 15. Yet thou shalt be brought down to hell, to the sides of the pit.
 
Mbona nasikia Mashahidi wa Yehova hawana sifa za kuwa wakristo.
Anzisha mada katika hili nikupe ishu kamili, sio tu kuwa hawana sifa ya kuwa wakristo, bali kuna uhusiano na masonic katika kuanzishwa kwake.
 
Nimeuliza jina la kikristo ndiyo lipi sasa unaponiambia ningalie biblia tu ndiyo nitajuaje kuwa hili ndiyo jina la kikristo na hili siyo?

Nisaidie niweze kujua majina ya kikristo ndiyo yapi.
Haya ni Baadhi ya majina ya kikristo yaliyomo ndani ya Biblia

Mathayo 1:2-15
[2]Ibrahimu alimzaa Isaka; Isaka akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake;
[3]Yuda akamzaa Peresi na Zera kwa Tamari; Peresi akamzaa Esromu; Esromu akamzaa Aramu;
[4]Aramu akamzaa Aminadabu; Aminadabu akamzaa Nashoni; Nashoni akamzaa Salmoni;
[5]Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu; Boazi akamzaa Obedi kwa Ruthu; Obedi akamzaa Yese;
[6]Yese akamzaa mfalme Daudi.
Daudi akamzaa Sulemani kwa yule mke wa Uria;
[7]Sulemani akamzaa Rehoboamu; Rehoboamu akamzaa Abiya; Abiya akamzaa Asa;
[8]Asa akamzaa Yehoshafati; Yehoshafati akamzaa Yoramu; Yoramu akamzaa Uzia;
[9]Uzia akamzaa Yothamu; Yothamu akamzaa Ahazi; Ahazi akamzaa Hezekia;
[10]Hezekia akamzaa Manase; Manase akamzaa Amoni; Amoni akamzaa Yosia;
[11]Yosia akamzaa Yekonia na ndugu zake, wakati wa ule uhamisho wa Babeli.
[12]Na baada ya ule uhamisho wa Babeli, Yekonia akamzaa Shealtieli; Shealtieli akamzaa Zerubabeli;
[13]Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eliakimu; Eliakimu akamzaa Azori;
[14]Azori akamzaa Sadoki; Sadoki akamzaa Akimu; Akimu akamzaa Eliudi;
[15]Eliudi akamzaa Eleazari; Eleazari akamzaa Matani; Matani akamzaa Yakobo;
 
Hujanijibu ina mzungumzia nani .
 
Anzisha mada katika hili nikupe ishu kamili, sio tu kuwa hawana sifa ya kuwa wakristo, bali kuna uhusiano na masonic katika kuanzishwa kwake.
Sasa mimi ntaanzishaje mada wakati wewe ndiyo mwenye kulijua hili suala! unaonaje wewe ukafungua Uzi na ukatoa elimu hiyo?
 
Ukristo wa hayo majina ni upi maana baadhi hutumika na dini zengine?
 
Mtayatoaje wakati ndugu zenu mnaswali nao pamoja. Mkimaliza mnapeana mikono yawezekana hata hujui kwanini mwislamu hutoa mkono baada ya swala hata akiwa peke yake pale umeswali na majini
Kumbe ww huwa unayaona msikitini, basi itakuwa mganga wa kienyeji ww.
 
Waislamu ndiyo walikukaririsha kuwa majini ndiyo pepo wachafu?

Na kama ukristo hauyajuwi hayo mnajuaje kama pepo wachafu ndiyo hayo majini?

Mnaweza vipi kuyatoa katika miili ya binadamu huku hamna ilmu ya hayo majini au huwa mnakisia?
 
Sasa utatoaje majini msikitini wakati ni maislam!!!hujui hata unachoandika sheikh.
Hata makristo pia ypo tena mengi zaidi, ndio yamewapa wachungaji kazi...yamewaajiri uawatoe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…