Je, asili ya majini ni ipi?

Mkuu! Ha ha ha ha ha ha
Unachekesha sana
Ushawahi ona wapi jini akaitwa majina ya kikristo?


Hakuna jina hata moja la kikristo la majini
Tafuta popote na ulete mrejeo hapa
Ingia google tafuta types za majini na kazi zao


100+ utakuta

Astronomy -habari za nyota sijui Capricorn, cancer utazikuta pia

Google.com


Sina haja ya kuandika risala hapa nipo safari

Kigiriki,kiyahudi nk wamewa classify hao majini
 
Mkuu! Ha ha ha ha ha ha
Unachekesha sana
Ushawahi ona wapi jini akaitwa majina ya kikristo?


Hakuna jina hata moja la kikristo la majini
Tafuta popote na ulete mrejeo hapa
Alafu mkuu ebu ondoka ndani ya "CHUPA YA JINA LA KIKRISTO" kuna majina ya makabila kiinchi ama kibara


Binafsi sijawahi ona jina hili la dini fulani.
 
Naomba kujua kwamba waikristo hukemea jini
Je,
waislamu hukemea jini au huliomba kutoka?
 
Alafu mkuu ebu ondoka ndani ya "CHUPA YA JINA LA KIKRISTO" kuna majina ya makabila kiinchi ama kibara


Binafsi sijawahi ona jina hili la dini fulani.
Kwa hiyo majini
Wanatoka bara la asia ?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa hiyo majini
Wanatoka bara la asia ?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo mkuu unadhani jina watakalo yaita kijijin kwenu Nachirinji ndivyo watakavyoyaita bara la Asia?
 
Kwahiyo mkuu unalazimisha kuna pepo wasafi, Ila kwenye biblia hakuna sehemu ilioandikwa kuwa kuna pepo wasafi labda kama kuna sehemu unaijua imeandika naomba unijuze hapa.....nashukuru sana
 
Majini wameumbwa kwa moto ni viumbe kama ww.Allah anasema sikuumba majini na watu ila waniabudu
 
Kama majini huzaana ina maana hao wanaozaliwa nao pia moja kwa moja huwa ni waasi? na cha kunichanganya zaidi ni hiyo asili yao ya kuwa ni malaika.
Unachanganyikiwa na nini sasa Mapepo na Shetani asili yao kuwa malaika Ndugu?
 
Kama ingekuwa hakuna pepo wachafu na wasafi,wangeitwa pepo, tu.
Hahahahaha naona unatusahihisha mkuu, Ila mapepo ni machafu yote tu na kuita "pepo wachafu" tunakua tunakazia tu uchafu wao
 
Majini wazuri wanaitwa maruhani,majini wabaya wanaitwa mashetani
 
Kuamin na kujarib kujifananisha na aliewaumba na kukataa kumsujudia binadamu ilihali wanamwona kaumbwa kwa udongo tu wakat wao wameumbwa kwa moto
Umeongea mashudu na uongo wa lami kusema majini yalikataa kumuabudu Binadamu ilihali Biblia haijasema hivyo...acha uongo na uzandiki
 
Mbona sasa mna swali nayo misikitini na pia eti mwanamke akiwa kwenye siku zake haruhusiwi kuja misikitini kuogopa kujeruhiwa na hayo majini
 

I am sorry by saying you have very poor communication skills ,your problem is you read for the intent to reply not to understand.
I did Not say that in Quran there is truth and lies ,i did not say that in bible there is truth and lies .
I said in Islam there is truth and untruth ,I said in Christianity there is truth and untruth.,so you must be very smart to understand my words ,just get your mind right ,I am sure you will understand.
You are replying things I didn't even say ,interesting.
 
Hebu nieleweshe kwanini mna biblia ya agano la kale na biblia ya agano jipya? Lile la kale lilikuwa na mapungufu gani mpaka wakatengeneza agano jipya?
Biblia ni maneno ya mungu...je maneno ya mungu yana mapungufu? Kama hayana kwanini kuwe na biblia ya zamani na mpya?
Hilo agano jipya amelitunga nani?
Naomba unijibu maswali yangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…