Je, Anaitwaje?

Je, Anaitwaje?

kuna jamaa yangu flani amemaliza chuo kikuu ni mhasibu wa kampuni flani ya kizungu sasa siku moja bosi mzungu kamuona anahangaika kukusanya mabaki ya chakula baada ya lunch ikabid amuulize kulikoni, jamaa kamuelezea vizuri kwamba ni kwajili ya mbwa wake wakaanza kupiga stori sasa ikafikia kipind jamaa yangu anatakiwa aseme jinsia za mbwa wake (kwa kiingereza) akafikiria kama dakika moja nzima mwishon anapigaje eti boss... I.. have.. three... dogs,,, but one dog is... a....... MAN
Ha ha ha! Umetisha!
 
hajawahi tokea raisi mwanamke marekani lakini wanapo kua kwenye acting zao wanakuwepo na waume zao lakini huwa silence kuhusu jina la mume wa rais labda tuangalie reference kwenye hizi movies

president.....
 
Shida iko wapi hapa!?
Kwani Riz1 si 'first son' na familia 'first family'!? Japo sina uhakika ukiwa na wake wengi (mf. Mzee Rukhsa) kama wote walikuwa ni mafesti ledi.
Naye aitwe 'firs man'
 
Kama jina lake ni Hassan kwa mfano, basi ataitwa "first Hassan"
 
Majibu mengi yaliyotolewa hapa ni wazi ndio maana wajumbe wa mkutano mkuu wameliona hili na kuamua kuondoa huu utata. Ngoja niwasiliane na rafiki yangu aliyeko Liberia aniambie wanamwitaje (au yule mama ni single parent sijui)
 
hii topic hata mbeleni kwa wazungu wenyewe wenye lugha yao ni topic tata,ingawaje wanatumia neno First Gentleman kumaanisha hivyo
 
Mara nyingi wakuu wa nchi wa kike hawana official husband, yaani ndoa huvunjika tu. Yule wa Ujerumani anae lakini hawako in good term.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom