Maana kuna first lady kama rais ni mwamaume akiwa Rais ni mwanamke mumewe ataitwaje
Naomba kuwasilisha
Maana kuna first lady kama rais ni mwamaume akiwa Rais ni mwanamke mumewe ataitwaje
Naomba kuwasilisha
LowassaMaana kuna first lady kama rais ni mwamaume akiwa Rais ni mwanamke mumewe ataitwaje
Naomba kuwasilisha
Hiyo First Gentleman imekaa vyema na kwa mara ya kwanza niliisikia kwenye Movie series ya 24 Hrs ilipotokea Marekani imepata Rais mwanamke(Madam President Taylor).Season 8.Sio lazima English dictionary iseme
The husband of the nation au national husband
men gentleman au kwa kiswahili chetu mume wa rais