Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 6,811
- 12,610
Je, Afrika yenye utajiri mwingi, inakuwaje bara maskini zaidi duniani, anauliza Captain Ibrahim Traore Raisi wa mpito wa Burkina faso.
Captain Ibrahim Traore ni Raisi wa mpito wa Burkina Faso baada ya kufanya mapinduzi ya kijeshi akiwa na umri wa miaka 35 tu.
Rais huyu wa mpito wa Burkina Faso anawashutumu viongozi wa Afrika kwa kua 'Omba Omba'
All in all, Viongozi wengi wenye maono ya ki Africanism Huwa hawana maisha marefu.
Endeleeni pumzika Kwa amani Hayati John Pombe Magufuli na Thomas Sankara maana mitazamo yenu kuhusu Bara la afrika kujitosheleza Kwa chakula, mikataba ya kilaghai na kuacha kua omba omba misaada nje mlitufundisha Kwa vitendo.
Nini nini maoni yako.